CHADEMA hakikupaswa kuwa chama cha siasa

Makangarawe

Senior Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
101
Reaction score
24
Politics, the activities involved in getting and using power in public life,and being able to influence desicions that effect a country or a society,

Democracy-a system in which all people of certain party or country can vote to elect their leaders or representatives where there is fair and equal treatment of everyone in the organization,and their right to take part in making decisions.

Nimetoa maana hizo kwa kiingereza kwa makusudi kabisa. Ukiangalia maana zote mbili hizo zinaelekeza kupatikana kwa matokeo chanya kwa kikundi fulani au nchi, lakini Chadema siku zote wakifanya au wakitamka jambo litaleta matukio hasi ndani ya nchi, watu kufa, kugoma, mobilization za kipumbavu badala ya kuwasidia wananchi hata kuchimba visima au kuitisha michango ya maendeleo,badala yake huwachangisha wananchi wakisema hawana pesa, Ruzuku wanayoipata inakwenda wapi?

Kutokana na matokeo ya chama hiki je kinapaswa kuendelea kuitwa chama cha siasa? Au ni sehemu tu ya wahalifu fulani wenye kufadhiliwa na watu ili kuleta fujo na uharibifu ndani ya nchi,

Watizame vizuri wamekaa kishari shari, wanapohutubia sauti zao zimejaaa shari na hamasa za kufanya fujo, am recalling again, does CHADEMA DESERVE TO BE CALLED A POLITICAL PARTY OR SOMETHING ELSE?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Politics,the activities involved in getting and using power in public life,and being able to influence desicions that effect a country or a society,
Democracy-a system in which all people of certain party or country can vote to elect their leaders or representatives where there is fair and equal treatment of everyone in the organization,and their right to take part in making decisions.
Nimetoa maana hizo kwa kiingereza kwa makusudi kabisa,ukiangalia maana zote mbili hizo zinaelekeza kupatikana kwa matokeo chanya kwa kikundi fulani au nchi,lakini Chadema siku zote wakifanya au wakitamka jambo litaleta matukio hasi ndani ya nchi,watu kufa,kugoma, mobilization za kipimbavu badala ya kuwasidia wananchi hata kuchimba visima au kuitisha michango ya maendeleo,badala yake huwachangisha wananchi wakisema hawana pesa,Ruzuku wanayoipata inakwenda wapi?
Kutokana na matokeo ya chama hiki je kinapaswa kuendelea kuitwa chama cha siasa? Au ni sehemu tu ya wahalifu fulani wenye kufadhiliwa na watu ili kuleta fujo na uharibifu ndani ya nchi,
Watizame vizuri wamekaa kishari shari,wanapohutubia sauti zao zimejaaa shari na hamasa za kufanya fujo, am recalling again,does CHADEMA DESERVE TO BE CALLED A POLITICAL PARTY OR SOMETHING ELSE?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Shule za kata za wakaanga sumu wa magamba zinatoa matokeo hayo!! ona huyu anachukua notice za mwalimu wake naye kilaza anabandika hapa!! sitamlaumu!! ila nitawalaumu hawa wakaanga sumu wa magamba tu!!!!!!
 
Kwani Ben eight o'clock ameshaacha kutembea na zile sumu? Ahaa! Dili limekamilika sasa hana haja ya kuzunguka na sumu!
 
Wale waliokaa kiupole wanabaka dada zenu na kuwaambukiza ukimwi huwaoni?!
Je na wale wapole wanaohutubia hotuba za mipasho kutwa kucha kuomba misaada kwako ndiyo wanasiasa?!

Siku hizi kila mjing.a anajitahidi kudhihirisha hilo kwa kuiongelea cdm!

Hebu ongelea hata utatuzi wa matatizo ya familia yako basi tujue kweli una akili!!
 
Ule ni mradi wa mzee mtei na wajanja wachache wa ndani ya chadema.
 
Politics, the activities involved in getting and using power in public life,and being able to influence desicions that effect a country or a society,

Democracy-a system in which all people of certain party or country can vote to elect their leaders or representatives where there is fair and equal treatment of everyone in the organization,and their right to take part in making decisions.

Nimetoa maana hizo kwa kiingereza kwa makusudi kabisa. Ukiangalia maana zote mbili hizo zinaelekeza kupatikana kwa matokeo chanya kwa kikundi fulani au nchi, lakini Chadema siku zote wakifanya au wakitamka jambo litaleta matukio hasi ndani ya nchi, watu kufa, kugoma, mobilization za kipumbavu badala ya kuwasidia wananchi hata kuchimba visima au kuitisha michango ya maendeleo,badala yake huwachangisha wananchi wakisema hawana pesa, Ruzuku wanayoipata inakwenda wapi?

Kutokana na matokeo ya chama hiki je kinapaswa kuendelea kuitwa chama cha siasa? Au ni sehemu tu ya wahalifu fulani wenye kufadhiliwa na watu ili kuleta fujo na uharibifu ndani ya nchi,

Watizame vizuri wamekaa kishari shari, wanapohutubia sauti zao zimejaaa shari na hamasa za kufanya fujo, am recalling again, does CHADEMA DESERVE TO BE CALLED A POLITICAL PARTY OR SOMETHING ELSE?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Chadema ni chama cha wahalifu.
1.Silaha- mwizi, mvunja ndoa.
2.Lema-Jambazi.
3.Mbowe-Anakula ruzuku kivyake.
4.Sugu-Mpiganaji hadharani.
5.Afande sele- Bange, teja.
Endelea.........
6.....
7......
 
Kwani Ben eight o'clock ameshaacha kutembea na zile sumu? Ahaa! Dili limekamilika sasa hana haja ya kuzunguka na sumu!
Nayo hiyo ngonjera ilishindwa! kama ugaidi nk! Lakini hakuna ambaye atakanusha kuhusu Magamba kuwatumia akina Ighondu kupiga Ulimboka! Hakuna atakayebisha kuwa Mwangosi aliuawa na polic magamba! Hakuna atakayebisha kuwa bomu la arusha lilitupwa na policemagamba! hakuna atakayebisha kuwa Ka-mapuya alimbaka mjukuu wake na kumuambukiza ngoma!! BISHAAAA SASA BISHAAAA!!
 
Ule ni mradi wa mzee mtei na wajanja wachache wa ndani ya chadema.

Asante kwa kuliona wewe,unajua vijana wengi wa vyuo walikimbilia kule na uzalendo wao mwisho wamegundua janja ya nyani,u cannot fool people all the time!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ni kundi la waharifu wakubwa wakiongozwa na DJ MBOWE na muasi wa kanisa SLAA aka kibabu, aka baba wa uzeeni ( kapata mtoto akiwa na umri wa 60+)
 
Chadema ni chama cha wahalifu.
1.Silaha- mwizi, mvunja ndoa.
2.Lema-Jambazi.
3.Mbowe-Anakula ruzuku kivyake.
4.Sugu-Mpiganaji hadharani.
5.Afande sele- Bange, teja.
Endelea.........
6.....
7......

Kinana....jangili
 
Politics, the activities involved in getting and using power in public life,and being able to influence desicions that effect a country or a society,

Democracy-a system in which all people of certain party or country can vote to elect their leaders or representatives where there is fair and equal treatment of everyone in the organization,and their right to take part in making decisions.

Nimetoa maana hizo kwa kiingereza kwa makusudi kabisa. Ukiangalia maana zote mbili hizo zinaelekeza kupatikana kwa matokeo chanya kwa kikundi fulani au nchi, lakini Chadema siku zote wakifanya au wakitamka jambo litaleta matukio hasi ndani ya nchi, watu kufa, kugoma, mobilization za kipumbavu badala ya kuwasidia wananchi hata kuchimba visima au kuitisha michango ya maendeleo,badala yake huwachangisha wananchi wakisema hawana pesa, Ruzuku wanayoipata inakwenda wapi?

Kutokana na matokeo ya chama hiki je kinapaswa kuendelea kuitwa chama cha siasa? Au ni sehemu tu ya wahalifu fulani wenye kufadhiliwa na watu ili kuleta fujo na uharibifu ndani ya nchi,

Watizame vizuri wamekaa kishari shari, wanapohutubia sauti zao zimejaaa shari na hamasa za kufanya fujo, am recalling again, does CHADEMA DESERVE TO BE CALLED A POLITICAL PARTY OR SOMETHING ELSE?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kumbe una siku 10 tangu ujiunge? KAZI MAALUM!
 
Ni kundi la waharifu wakubwa wakiongozwa na DJ MBOWE na muasi wa kanisa SLAA aka kibabu, aka baba wa uzeeni ( kapata mtoto akiwa na umri wa 60+)

Namhurumia sana rafiki yangu Heche licha ya kuwa na sifa ya kule anakotoka,anburuzwa ka mtoto mdogo!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nayo hiyo ngonjera ilishindwa! kama ugaidi nk! Lakini hakuna ambaye atakanusha kuhusu Magamba kuwatumia akina Ighondu kupiga Ulimboka! Hakuna atakayebisha kuwa Mwangosi aliuawa na polic magamba! Hakuna atakayebisha kuwa bomu la arusha lilitupwa na policemagamba! hakuna atakayebisha kuwa Ka-mapuya alimbaka mjukuu wake na kumuambukiza ngoma!! BISHAAAA SASA BISHAAAA!!

Na hakuna atakayebisha kuwa, Lema ni jambazi, Sugu criminal,Afande sele pusha na mvua nguo hadharani, slaa mzinifu, Mbowe ni Dj mla ruzuku mwenye elimu ya kuungaunga-waraka.
 
Hivi kama kweli ile ni SACCOS na wewe si mwana SACCOS unaumia nayo kitu gani kila kukicha hapa ? Why can't you just ignore it and have peace of heart and mind ? Hii makelele yenu inanyesha ile si SACCOS yenye nguvu sana zaidi ya SACCOS zenu .
 
Politics, the activities involved in getting and using power in public life,and being able to influence desicions that effect a country or a society,

Democracy-a system in which all people of certain party or country can vote to elect their leaders or representatives where there is fair and equal treatment of everyone in the organization,and their right to take part in making decisions.

Nimetoa maana hizo kwa kiingereza kwa makusudi kabisa. Ukiangalia maana zote mbili hizo zinaelekeza kupatikana kwa matokeo chanya kwa kikundi fulani au nchi, lakini Chadema siku zote wakifanya au wakitamka jambo litaleta matukio hasi ndani ya nchi, watu kufa, kugoma, mobilization za kipumbavu badala ya kuwasidia wananchi hata kuchimba visima au kuitisha michango ya maendeleo,badala yake huwachangisha wananchi wakisema hawana pesa, Ruzuku wanayoipata inakwenda wapi?

Kutokana na matokeo ya chama hiki je kinapaswa kuendelea kuitwa chama cha siasa? Au ni sehemu tu ya wahalifu fulani wenye kufadhiliwa na watu ili kuleta fujo na uharibifu ndani ya nchi,

Watizame vizuri wamekaa kishari shari, wanapohutubia sauti zao zimejaaa shari na hamasa za kufanya fujo, am recalling again, does CHADEMA DESERVE TO BE CALLED A POLITICAL PARTY OR SOMETHING ELSE?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Unajua akili fupi huhitaji kufanya research ili kuzijua.

Kwako chama safi kinachostahili kutwa chama ni kille kinachoisifu CCM, ufisadi na kinachokubaliana na kila upuuzi unaotendwana mafisadi. Hamtaki kuujua ukweli, Mmekunywa maji ya bendera ya ccm,

Hivi swali lako lina maana gani? Unahitaji jibu kweli?

Sikushangai kwani maoni yako ndiyo maoni ya watu wote wenye akili mgando.
Uko against Chadema kwasababu hupendi chama kinachokukosoa, Mnataka tuwasifu ,tusihoji upuuzi manaofanya. Tukihoji manasema tunaleta fujo.

Kawahoji viongozi wako wa CCM ni maendeleo gani wamewaletea wananchi kwa pesa zote wanzopewa na wahisani? Pesa za Miradi ya ukimwi zimekuwa ni miradi ya wakubwa yakutanua na kupelekea watoto wao shule za nje. Mmeuza nchi mnasema mnajenga nchi kumbe ni 10% za wakubwa.

Umeme ni janga la taifa kwa sasababu ya miradi feki yenye masilahi binafsi ya
waliosaini mikataba hiyo.

Safisha kwanza CCM ndiyo uangalie chadema inafanya nini.

Mnafiki Mkubwa wewe!!!
 
Hivi kama kweli ile ni SACCOS na wewe si mwana SACCOS unaumia nayo kitu gani kila kukicha hapa ? Why can't you just ignore it and have peace of heart and mind ? Hii makelele yenu inanyesha ile si SACCOS yenye nguvu sana zaidi ya SACCOS zenu .

Chagadema ni saccos ya wapiga dili!
 
Back
Top Bottom