CHADEMA hakikupaswa kuwa chama cha siasa

Unajua akili fupi huhitaji kufanya research ili kuzijua. Kwako chama safi kinachostahili kutwa chama ni kille kinachoisifu CCM, ufisadi na kinachokubaliana na kila upuuzi unaotendwana mafisadi. Hamtaki kuujua ukweli, Mmekunywa maji ya bendera ya ccm,

Hivi swali lako lina maana gani? Unahitaji jibu kweli?

Sikushangai kwani maoni yako ndiyo maoni ya watu wote wenye akili mgando.
Uko against Chadema kwasababu hupendi chama kinachokukosoa, Mnataka tuwasifu ,tusihoji upuuzi manaofanya. Tukihoji manasema tunaleta fujo.
Kawahoji viongozi wako wa CCM ni maendeleo gani wamewaletea wananchi kwa pesa zote wanzopewa na wahisani? Pesa za Miradi ya ukimwi zimekuwa ni miradi ya wakubwa yakutanua na kupelekea watoto wao shule za nje. Mmeuza nchi mnasema mnajenga nchi kumbe ni 10% za wakubwa.
Umeme ni janga la taifa kwa sasababu ya miradi feki yenye masilahi binafsi y waliosaini mikataba hiyo.

Safisha kwanza CCM ndiyo uangalie chadema inafanya nini.

Mnafiki Mkubwa wewe!!!

Hakuna mafisadi wakali kama Mbowe, Mtei na Wenzake, wanajilipa ruzuku,na ukiuliza ni msaliti,Hakuna jengo la makao makuu, Mtei kawapangisha kwa gharama kubwa na hataki mjenge! Sasa huu sio ufisadi mkubwa? Na hakuna demokrasia zaidi lazima uwe mwanakaskazini au ujichekeshechekeshe kwa akina Mangi (Tundu,Sugu) ili wakubebe!
 
Big up bro!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Politics, the activities involved in getting and using power in public life,and being able to influence desicions that effect a country or a society,

Democracy-a system in which all people of certain party or country can vote to elect their leaders or representatives where there is fair and equal treatment of everyone in the organization,and their right to take part in making decisions.

Nimetoa maana hizo kwa kiingereza kwa makusudi kabisa. Ukiangalia maana zote mbili hizo zinaelekeza kupatikana kwa matokeo chanya kwa kikundi fulani au nchi, lakini Chadema siku zote wakifanya au wakitamka jambo litaleta matukio hasi ndani ya nchi, watu kufa, kugoma, mobilization za kipumbavu badala ya kuwasidia wananchi hata kuchimba visima au kuitisha michango ya maendeleo,badala yake huwachangisha wananchi wakisema hawana pesa, Ruzuku wanayoipata inakwenda wapi?

Kutokana na matokeo ya chama hiki je kinapaswa kuendelea kuitwa chama cha siasa? Au ni sehemu tu ya wahalifu fulani wenye kufadhiliwa na watu ili kuleta fujo na uharibifu ndani ya nchi,

Watizame vizuri wamekaa kishari shari, wanapohutubia sauti zao zimejaaa shari na hamasa za kufanya fujo, am recalling again, does CHADEMA DESERVE TO BE CALLED A POLITICAL PARTY OR SOMETHING ELSE?

R.I.P Zitto and Co.
 
Thanx mkuu! Hawa watu wanadhani hatuoni wanachofanya! Vijijini hawana ofisi,na zilizopo ni za watu kujitolea nao wamechoka! Hakuna ruzuku hata ya kununua karatasi! Wenyeviti wamekata tamaa! Et wanaimarisha chama kwa chopa! Na kutwa kusafiri na madem wao nje za nchi! E.g Josephine Mushumbusi!
 
Kaka una akili.... Yani kuzunguka kote ni kusudi watu wajue kwamba una BlackBerry 9900??? Haya tumeshajua!!! Si basi?? au kuna jengine???
 
Unajua akili fupi huhitaji kufanya research ili kuzijua.

Kwako chama safi kinachostahili kutwa chama ni kille kinachoisifu CCM, ufisadi na kinachokubaliana na kila upuuzi unaotendwana mafisadi. Hamtaki kuujua ukweli, Mmekunywa maji ya bendera ya ccm,

Hivi swali lako lina maana gani? Unahitaji jibu kweli?

Sikushangai kwani maoni yako ndiyo maoni ya watu wote wenye akili mgando.
Uko against Chadema kwasababu hupendi chama kinachokukosoa, Mnataka tuwasifu ,tusihoji upuuzi manaofanya. Tukihoji manasema tunaleta fujo.

Kawahoji viongozi wako wa CCM ni maendeleo gani wamewaletea wananchi kwa pesa zote wanzopewa na wahisani? Pesa za Miradi ya ukimwi zimekuwa ni miradi ya wakubwa yakutanua na kupelekea watoto wao shule za nje. Mmeuza nchi mnasema mnajenga nchi kumbe ni 10% za wakubwa.

Umeme ni janga la taifa kwa sasababu ya miradi feki yenye masilahi binafsi ya
waliosaini mikataba hiyo.

Safisha kwanza CCM ndiyo uangalie chadema inafanya nini.

Mnafiki Mkubwa wewe!!!

Ndugu,dada cjui nikuite vp,akili ndogo inaonekana tu kwa hoja uliotoa sijasema Ccm mimi nimesema Chadema,pangua hoja taratibu,point moja baada ya nyingine nitajua wewe una akili nyingi,na nimeonesha kwanini hakipaswi kuitwa chama cha siasa,pangua hoja mzee hacha mbwembwe za maneno hapa hili jukwaa la wasomi!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
sasa kwani hujui kuwa ni saccos,au ww ni mgen!

kila cku mkiambiwa iondoeni ccm madarakan hamsikii sasa ona sacos imesajiliwa kama chama cha siasa siku chama cha kigaid kikisajiliwa kama cha siasa sitashangaa
 
Chadema ni chama cha wahalifu.
1.Silaha- mwizi, mvunja ndoa.
2.Lema-Jambazi.
3.Mbowe-Anakula ruzuku kivyake.
4.Sugu-Mpiganaji hadharani.
5.Afande sele- Bange, teja.
Endelea.........
6.....
7......

naona uvivu kuandika,leo nakukanya kwa style nyingine

R.I.P Zitto and Co.
 
Attachments

  • attachment000.gif
    attachment000.gif
    26.9 KB · Views: 124
  • Kapuy.gif
    Kapuy.gif
    20.4 KB · Views: 122
Wewe ndiye SOMETHING ELSE than a human being!
Human beings have brain, something you are lacking!
Kama hujui kwamba CHADEMA ni chama cha siasa, kilichosajiliwa kwa sheria iliyotungwa na Bunge na wabunge wa CCM!
Sheria ilitiwa saini na Rais wa nchi ambaye wakati huo alikuwa mwenyekiti wa CCM!
Maombi ya usajiri yalipelekwa kwa msajiri wa vyama vya siasa ambaye aliteuliwa kwa kuaminiwa na Rais wetu ambaye wakati huo alikuwa ni mwenyekiti wa CCM!
Kwa hiyo ukisema CHADEMA SI chama cha siasa maanake waliopitisha mchakato wote huo "ARE SOMETHING ELSE"!
 
Viroba si ndio sera ya Mbowe kwenye maandamano kamanda? Umesahau? Au?

Mkuu umenikumbusha wakati niko masomoni nilipata story kama hiyo I didn't believe it,lakini nilishuhudia mkutano mmoja kabla hawajaenda mkutanoni kwanza wanatandika viroba kwa wanachama na wenye kula bange wanakula,niambie hapo matokeo yake nini?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wewe ndiye SOMETHING ELSE than a human being!
Human beings have brain, something you are lacking!
Kama hujui kwamba CHADEMA ni chama cha siasa, kilichosajiliwa kwa sheria iliyotungwa na Bunge na wabunge wa CCM!
Sheria ilitiwa saini na Rais wa nchi ambaye wakati huo alikuwa mwenyekiti wa CCM!
Maombi ya usajiri yalipelekwa kwa msajiri wa vyama vya siasa ambaye aliteuliwa kwa kuaminiwa na Rais wetu ambaye wakati huo alikuwa ni mwenyekiti wa CCM!
Kwa hiyo ukisema CHADEMA SI chama cha siasa maanake waliopitisha mchakato wote huo "ARE SOMETHING ELSE"!

Wewe wasema!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Politics, the activities involved in getting and using power in public life,and being able to influence desicions that effect a country or a society,

Democracy-a system in which all people of certain party or country can vote to elect their leaders or representatives where there is fair and equal treatment of everyone in the organization,and their right to take part in making decisions.

Nimetoa maana hizo kwa kiingereza kwa makusudi kabisa. Ukiangalia maana zote mbili hizo zinaelekeza kupatikana kwa matokeo chanya kwa kikundi fulani au nchi, lakini Chadema siku zote wakifanya au wakitamka jambo litaleta matukio hasi ndani ya nchi, watu kufa, kugoma, mobilization za kipumbavu badala ya kuwasidia wananchi hata kuchimba visima au kuitisha michango ya maendeleo,badala yake huwachangisha wananchi wakisema hawana pesa, Ruzuku wanayoipata inakwenda wapi?

Kutokana na matokeo ya chama hiki je kinapaswa kuendelea kuitwa chama cha siasa? Au ni sehemu tu ya wahalifu fulani wenye kufadhiliwa na watu ili kuleta fujo na uharibifu ndani ya nchi,

Watizame vizuri wamekaa kishari shari, wanapohutubia sauti zao zimejaaa shari na hamasa za kufanya fujo, am recalling again, does CHADEMA DESERVE TO BE CALLED A POLITICAL PARTY OR SOMETHING ELSE?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

CHADEMA (CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO) AU Mtei and relatives company. Hiyo ni kampuni ya Mtei ndio maana mpaka leo yeye ndiye anaamua nani wa kuongoza kampuni hiyo.

Profit ya kampuni inayopatikana kama ruzuku, hugawana na wanandugu zake ili kuendelea kufaidi matunda ya kampuni yao.

Hawana habari kabisa na watanzania masikini japokuwa ndio wimbo wao wa kila siku kuwa wanatetea masilahi ya watanzania.

Dj mbowe hataki yeyote aseme chochote kuhusiana na kampuni. Ukithubutu kuuliza chochote kile basi nyundo utakatoshushiwa kichani, huwezi kuinuka tena.

Hayo ndio yanayowakumba waalikwa ndani ya kampuni kisha wakajisahau kuwa nao ni wamiliki akina Zitto, Kitila na Mwigamba.

Hivyo jina sahihi kwa chama hicho ni kuitwa Mtei and Relatives Company. Makao yake makuu Shambani Tengeru kwa babu Mtei.
 
Oooh sory. Nimepotea

Kumbe huu ukurasa ni freshi kwa wana mirembe. Moderator nae kawatambua wagonjwa wa akili. hongera sana JF kwa kutambua michango ya vichaa kama huyu mleta mada na wachngiaji wake.

Thanx mkuu! Hawa watu wanadhani hatuoni wanachofanya! Vijijini hawana ofisi,na zilizopo ni za watu kujitolea nao wamechoka! Hakuna ruzuku hata ya kununua karatasi! Wenyeviti wamekata tamaa! Et wanaimarisha chama kwa chopa! Na kutwa kusafiri na madem wao nje za nchi! E.g Josephine Mushumbusi!

nyinyi ruzuku mnayopa mnafanyia nini ingali huduma za kijami zinaendelea kudhorota? Serikali mnaiongoza nyinyi,lakini huduma bado ni mbovu. Alafu mnaanza kupiga siasa juu ya chama ambacho hakipo kwenye serikali yenu. Kwanza tupeni sababu ya huduma hizi kudhorota:
 
Attachments

  • Wagonjwa.jpeg
    Wagonjwa.jpeg
    14.9 KB · Views: 108
Mkuu umenikumbusha wakati niko masomoni nilipata story kama hiyo I didn't believe it,lakini nilishuhudia mkutano mmoja kabla hawajaenda mkutanoni kwanza wanatandika viroba kwa wanachama na wenye kula bange wanakula,niambie hapo matokeo yake nini?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Yeah! Anachotaka Mbowe ni kuwavuruga akili kwanza ili wakiingia mtaani wasiwashwe na mabomu ya machozi!
 
Chadema ni chama cha wahalifu.
1.Silaha- mwizi, mvunja ndoa.
2.Lema-Jambazi.
3.Mbowe-Anakula ruzuku kivyake.
4.Sugu-Mpiganaji hadharani.
5.Afande sele- Bange, teja.
Endelea.........
6..... mnyika - mfederali
 
Politics, the activities involved in getting and using power in public life,and being able to influence desicions that effect a country or a society,

Democracy-a system in which all people of certain party or country can vote to elect their leaders or representatives where there is fair and equal treatment of everyone in the organization,and their right to take part in making decisions.

Nimetoa maana hizo kwa kiingereza kwa makusudi kabisa. Ukiangalia maana zote mbili hizo zinaelekeza kupatikana kwa matokeo chanya kwa kikundi fulani au nchi, lakini Chadema siku zote wakifanya au wakitamka jambo litaleta matukio hasi ndani ya nchi, watu kufa, kugoma, mobilization za kipumbavu badala ya kuwasidia wananchi hata kuchimba visima au kuitisha michango ya maendeleo,badala yake huwachangisha wananchi wakisema hawana pesa, Ruzuku wanayoipata inakwenda wapi?

Kutokana na matokeo ya chama hiki je kinapaswa kuendelea kuitwa chama cha siasa? Au ni sehemu tu ya wahalifu fulani wenye kufadhiliwa na watu ili kuleta fujo na uharibifu ndani ya nchi,

Watizame vizuri wamekaa kishari shari, wanapohutubia sauti zao zimejaaa shari na hamasa za kufanya fujo, am recalling again, does CHADEMA DESERVE TO BE CALLED A POLITICAL PARTY OR SOMETHING ELSE?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Hiyo something ni SACCOSS.
 
Back
Top Bottom