Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,054
Mkuu umenikumbusha wakati niko masomoni nilipata story kama hiyo I didn't believe it,lakini nilishuhudia mkutano mmoja kabla hawajaenda mkutanoni kwanza wanatandika viroba kwa wanachama na wenye kula bange wanakula,niambie hapo matokeo yake nini?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
hahahaha.....! Na mimi nimefurahi saaana tena sana. Ila baada ya kukumbuka kitu kinachoitwa limbwata. Mtu ukipewa limbwata unakuwa kama lofa,kazi yako ni kuipinga cdm. Cha kuwashauri muwe mnakataa vyakula mnavyo letewa na viongozi wenu wa ccm kwani inavyosemekanika uwa wanaweka limbwata ndani yake. Kwahiyo akili zenu zinakuwa za kushikiwa.