TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,505
- 28,437
CDM tuko na MUNGU CCM wao na Shetani.Ni dhahiri nguvu ya mungu ni KUU kabisa.
Nilitegemea kuwa waliotoboa Mv Bukoba, Waliozamisha meli kule znz, waliohamasisha maelfu kwenda samunge, waliosababisha wanafunzi kufeli, waliowafanya madaktari kutoa huduma kulingana na kiasi wanacholipwa na kupelekea vifo kuongezeka, wenye kusababisha Tembo kutoweka, Wenye kusababisha kupanda kwa gharama za maisha, Waliosababisha Lowassa kuutema u-PM ...wangeitwa MAGAIDI badala ya sasa wanajiita wazalendo chini ya serikali sikivu ya CCM isiyojali wananchi wake...
Nadhani kuna mchezo umechezeka kati ya mahakama na cdm ili kuifuta kesi kwa 7bu wanazozijua wao mbona viongozi wajuu wa cdm walitanguliza kutoa kiapo cha kuiamini mahakama wakati wao wako against mahakama na vyombo vya usalama vya serikali? Hapa kuna alama ya kuuliza?
Dr Slaa nimeipenda sana hii kauli yako. Hongera sana kwa kuonyesha ukomavu mkubwa wa kisiasa.
Aibu mnayo nyie; na Chadema inao uwezo huo wa kulipa kisasi au ni maneno ya kuropoka tu?ChamaGongo la mboto DSM
Kwa kweli mimi nimechoka na nimechoka hizi siasa za Tanzania.Unaweza jutia kuzaliwa Tanzania ambapo kusema uongo na kuusimamia wenzako wanakushangilia,lakini tutakwenda wapi?Yatupasa kuipigania nchi yetu ili pale haki inapostahili ipatikane.
CCM wanatapatapa,hakuna cha maana wanachokifanya.Sasa hivi mikakati yote ni kudidimiza vyama vya upinzani ili yale maovu yasijulikane kwa wananchi.Ndo maana wanajiandaa kupeleka mswada wa kukataza maandamano,na mibunge ya CCM inavyofikilia kwa kutumia Masabuli,wataupitisha lakini wajue wananchi wa karne hii si wale wa enzi za ndiyo mzee.
Mda unakuja ambapo wananchi watasema hapana kwa uonevu,dalili ni nzuri kwa mwananchi wa kawaida kusimama na kuhoji mambo ya msingi,japo ukihoji unaonekana mbaya,lakini ukweli utabaki pale pale.
Heko Dr Slaa wa ukweli,mwenye hekima na busara,asante Mungu kutuletea vijana wanaona mbali,CHADEMA imeweza kuwaamsha wananchi na kujitambua.Songa mbele,wazalendo tuko nanyi japo maadui ni wengi,DAIMA HATAKA KATIKA MAISHA YA KILA SIKU,TANGULIZA MUNGU,ANZA NA MUNGU KWA KILA JAMBO NA MWISHO MALIZA NA MUNGU NA usiwe mnafiki,sema asante MUNGU KWA YOTE ULIYONITENDEA.
Nawasilisha
Umenena maneno mazito sana mkuu.
Inatia moyo sana kuona sasa umemjua Mungu. Wengi wataweza kujumuika na wewe kupata vinywaji maana ilikuwa ni wasiwasi mtupu; Mungu anedelee kuibariki Chadema na aipushe na watu waovu kama LwakatareMkuu inahitaji kuwa na Moyo wa Pekee sana na busara za hali ya juu kutokulipa kisasi.Nimejifunza jambo kubwa sana hapa vinginevyo......Anyways,Mungu aendelea kukibariki Chadema.
Mkuu inahitaji kuwa na Moyo wa Pekee sana na busara za hali ya juu kutokulipa kisasi.Nimejifunza jambo kubwa sana hapa vinginevyo......Anyways,Mungu aendelea kukibariki Chadema.
Na tuyasimamie haya tunayoyasema.
Bado kesi ya Wilfred lwakatare haijaisha!
Sasa najiuliza wale washabiki waliokuwa wanakiita CDM kuwa ni chama cha kigaidi, na wakaahidi kutoa ushahidi iwapo wataitwa mahakamani, wanajisikiaje kwa sasa?
Hili tulijua litatokea na kama sikosei ishu kubwa hapa na nguvu zote ilkuwa ni kuondoa kipengele cha UGAIDI ambacho mahakama ime ''Clear'' Sasa sitarajii kuona Chadema wanaanza sherehe kwani advantage hapo ni kupata dhamana! Sie tunachotaka ni ukweli kujulikana... ili tufanye maamuzi yetu!!! sioni umbali kati ya kuteka watu na Ugaidi japo kwa tafsiri ya mahakama ndo hivyo tena!! iwe kwa serikali au chadema!!...... na Mola atatuelekeza ulipo ukweli...