Kusema kweli hata hueleweki.. Sielewi aa unazungumzia Urais wa nchi yetu au Uongozi wa Chama. Nen demokrasia limetumika kila mahala pasipo kuzingatia maaa ya Demokrasia. Halafu cha ajabu sana umeifanya hata Demokrasia kuwa sehemu ya ELIMU yaani watu wenye elimu fulani ndio wabora zaidi. Ingekuwa Hivyo basi bingwa wa Demokrasia duniani leo hii angekuwa Mugabe.CHADEMA ni chama kilichojisukuma mbele kwa kasi nzuri. Mategemeo ya Chama hicho nio makubwa kuliko uwezo wake. Kwa vile uwezo wa CHADEMA unakuwa siku hata siku kijiografia na ukubwa wa changamoto hukuwa vile vile. Kuna wanaodhani changamoto kubwa sana inayokumbana nayo CHADEMA ni uroho wa kugombania uongozi ndani ya chama hicho. Hakika UROHO si tatizo kubwa, tatizo lipo katika Ujengaji wa Demokrasia uendao sambamba na ukuaji wa chama.
Tatizo la Demokrasia ndani ya CHAMA ndio kaburi la chama hicho. Hili si geni na linafahamika ndani na nje ya chama. Kimsingi kila mwanachama aliyetimiza masharti husika, anauwezo wa kugombea nafasi yeyote ya uongozi ndani ya chama toka udiwani mpaka Urais. Si ajabu hata kama waliodhamiria na kuchukua fomu ya kugombea Urais wakawa 30. Cha msingi hapa ni jinsi au njia gani ya kumpata mgombea mmoja atayekiwakilisha chama iwe katika nafasi ya Ubunge, ubunge wa kuteuliwa, Urais na kadhalika. Huu ndio mtihani ambao CHADEMA hautaupita hata siku moja, na ndio mwisho wa mbio za chama hicho cha Maendeleo.
Mh Slaa aka Dr Slaa ni daktari wa theolijia aliokuzwa na kusomeshwa na kanisa na hata kulitumikia kama Padre. Huyu miakayote amefundishwa kutoichallange Biblia, aamini vyote vilivyoandikwa. Si tu kasoma bali amefanya kazi ndani ya kanisa bila kuwa challanged, asemalo wafuasi husema ndio ni kweli tupu. Leo mtu huyu atoke katika kazi hiyo na kutueleza eti awe mwalimu wa Demokrasia. Sina hakika kama ndani ya moyo wake anaweza kubadilika kwa muda mfupi kiasi hiki. Isitoshe ana washauri kama akina Padre Mapunda, huku ni kuua demokrasia kabisa. Na ni mkwa sababu hizi ndio maana Mh Slaa alikimbia CCM.
Katika mazingira kama haya kinachotakiwa ni kuubadilisha uongozi wa juu na kuwaweka watu waliobobea katika maswala ya Demokrasia au watu waliosoma shule za kawaida(serikali) na kuwa na fani kama sheria, uchumi, uongozi na kadhalika. Vinginevyo chama kinakufa kirahisi, tena baada ya uchaguzi mkuu 2015.
Too much democracy is harmfull kwa maendeleo yoyote yale yawe ya nchi au kikundi.Kwa kigezo cha demokrasia kila mtu aruhusiwe kubwabwaja,kuvuruga na kwenda kinyume na maaumuzi ya chama?kwa CDM ambayo ni sawa na ndege iliyochukua kasi ya kupaa wala haihitaji rubani mwingine zaidi ya Dr.Kwani unaofikiri ni wanademokrasia walikuwa wapi toka kwenye uchanga wa chama waje waibuke ukubwani?CCM haina amani kila wakitazama nafasi ya mwenyekiti na katibu CDM ilivyo makini.Hao vibaraka mnaowapigia debe watafutika muda si mrefu,vinyago tumevichonga wenyewe haviwezi kututisha

Huwa nawashangaa watu wasioitakia mema Chadema wanapokuja na ushauri lukuki. Fanyeni hivi, fanyeni vile ndipo mtakubalika, etc. etc.
CDM kuna Mkt. Mbowe na makamu wake, Katbu Dr.Slaa na makamu wake. Umejikita kumjadili Dr. Slaa. Kwa great thinker yeyote anakuona we kilaza. Taarifa yako peleka michuzi.
"Tatizo la Demokrasia ndani ya CHAMA ndio kaburi la chama hicho"
"Chadema haitakufa kwa uroho wa kugombea uongozi"
Jinsi unavyothibitisha ujinga wako na propaganda za kimagamba hayo hapo juu yameandikwa na mjinga wewe. Rudi kwa aliyekutuma umwambie samahani hatudanganywi na wajinga kama wewe tena.
Unasema haitakufa na wewe huyo huyo unasema kuna kaburi je unajua kitu unasema?
mkuu ulitaka kumzungumzia dr slaa au chadema na uimra wake? au alitaka kuzungumzia wanaotaka madaraka ndani ya chadema na madhara ya wao kutaka hivi ukileta maada hii nayo unasubiri ijadiliwe au ulilenga kuipeleka face book ukajikuta umeiweka humu jf kuna majukwaa mengi hoja zingine tutazifungulia ziwe zinwekwa jukwaa la majungu
Kusema kweli hata hueleweki.. Sielewi aa unazungumzia Urais wa nchi yetu au Uongozi wa Chama. Nen demokrasia limetumika kila mahala pasipo kuzingatia maaa ya Demokrasia. Halafu cha ajabu sana umeifanya hata Demokrasia kuwa sehemu ya ELIMU yaani watu wenye elimu fulani ndio wabora zaidi. Ingekuwa Hivyo basi bingwa wa Demokrasia duniani leo hii angekuwa Mugabe.
CHADEMA ni chama kilichojisukuma mbele kwa kasi nzuri. Mategemeo ya Chama hicho nio makubwa kuliko uwezo wake. Kwa vile uwezo wa CHADEMA unakuwa siku hata siku kijiografia na ukubwa wa changamoto hukuwa vile vile. Kuna wanaodhani changamoto kubwa sana inayokumbana nayo CHADEMA ni uroho wa kugombania uongozi ndani ya chama hicho. Hakika UROHO si tatizo kubwa, tatizo lipo katika Ujengaji wa Demokrasia uendao sambamba na ukuaji wa chama.
Tatizo la Demokrasia ndani ya CHAMA ndio kaburi la chama hicho. Hili si geni na linafahamika ndani na nje ya chama. Kimsingi kila mwanachama aliyetimiza masharti husika, anauwezo wa kugombea nafasi yeyote ya uongozi ndani ya chama toka udiwani mpaka Urais. Si ajabu hata kama waliodhamiria na kuchukua fomu ya kugombea Urais wakawa 30. Cha msingi hapa ni jinsi au njia gani ya kumpata mgombea mmoja atayekiwakilisha chama iwe katika nafasi ya Ubunge, ubunge wa kuteuliwa, Urais na kadhalika. Huu ndio mtihani ambao CHADEMA hautaupita hata siku moja, na ndio mwisho wa mbio za chama hicho cha Maendeleo.
Mh Slaa aka Dr Slaa ni daktari wa theolijia aliokuzwa na kusomeshwa na kanisa na hata kulitumikia kama Padre. Huyu miakayote amefundishwa kutoichallange Biblia, aamini vyote vilivyoandikwa. Si tu kasoma bali amefanya kazi ndani ya kanisa bila kuwa challanged, asemalo wafuasi husema ndio ni kweli tupu. Leo mtu huyu atoke katika kazi hiyo na kutueleza eti awe mwalimu wa Demokrasia. Sina hakika kama ndani ya moyo wake anaweza kubadilika kwa muda mfupi kiasi hiki. Isitoshe ana washauri kama akina Padre Mapunda, huku ni kuua demokrasia kabisa. Na ni mkwa sababu hizi ndio maana Mh Slaa alikimbia CCM.
Katika mazingira kama haya kinachotakiwa ni kuubadilisha uongozi wa juu na kuwaweka watu waliobobea katika maswala ya Demokrasia au watu waliosoma shule za kawaida(serikali) na kuwa na fani kama sheria, uchumi, uongozi na kadhalika. Vinginevyo chama kinakufa kirahisi, tena baada ya uchaguzi mkuu 2015.
CHADEMA haijitakii mema yenyewe. Tunachojua ni kimoja, chama chote cha siasa kina lengo la kuchukua Dola. Sasa ukachukua Dola wakati hatujui utatupeleka wapi, ni lazima tulalame.
Wote wamebubuja lakini mwenzangu UMENENA. Hoja kama hizi ndizo zinajibu hoja.
Nimekuelewa uliposema TOO MUCH DEMOCRACY...., unanikumbusha Rais wa Uganda, Yoweri Museveni aliposema Uganda haihitaji Democracy. Hata hivyo baadae alipiga hatua kidogo na kusema Uganda ina Demokrasia bila vyama. Ahaa, sawa HIYO NDIO FALSAFA YAKE.
Sijui wenzetu mna Falsafa gani mnaposema TOO MUCH DEMOCRACY au unaposema ni Mh Slaa tu ....
Hii ndio taabu ya Elimu ya shule za kata! wahitimu wa elimu hii wanakuwa na matatizo makubwa ya kutafakari mambo. CCM ilaaniwe daima kwa kuleta sera mbovu za elimu amabayo ina ua kabisa uwezo wa kufikiri wa vijana wetu. Zawadi Ngoda, hayo uliyoandika hapo kwenye red sio sahihi wala sio yakweli. Nenda kajifunze zaidi ndio uje ujadili hapa. Lakini hata hivyo nakupongeza sana kwa kuthubutu kuonesha tatizo la wahitimu wa elimu ya kata kama wewe.CHADEMA ni chama kilichojisukuma mbele kwa kasi nzuri. Mategemeo ya Chama hicho nio makubwa kuliko uwezo wake. Kwa vile uwezo wa CHADEMA unakuwa siku hata siku kijiografia na ukubwa wa changamoto hukuwa vile vile. Kuna wanaodhani changamoto kubwa sana inayokumbana nayo CHADEMA ni uroho wa kugombania uongozi ndani ya chama hicho. Hakika UROHO si tatizo kubwa, tatizo lipo katika Ujengaji wa Demokrasia uendao sambamba na ukuaji wa chama.
Tatizo la Demokrasia ndani ya CHAMA ndio kaburi la chama hicho. Hili si geni na linafahamika ndani na nje ya chama. Kimsingi kila mwanachama aliyetimiza masharti husika, anauwezo wa kugombea nafasi yeyote ya uongozi ndani ya chama toka udiwani mpaka Urais. Si ajabu hata kama waliodhamiria na kuchukua fomu ya kugombea Urais wakawa 30. Cha msingi hapa ni jinsi au njia gani ya kumpata mgombea mmoja atayekiwakilisha chama iwe katika nafasi ya Ubunge, ubunge wa kuteuliwa, Urais na kadhalika. Huu ndio mtihani ambao CHADEMA hautaupita hata siku moja, na ndio mwisho wa mbio za chama hicho cha Maendeleo.
Mh Slaa aka Dr Slaa ni daktari wa theolijia aliokuzwa na kusomeshwa na kanisa na hata kulitumikia kama Padre. Huyu miakayote amefundishwa kutoichallange Biblia, aamini vyote vilivyoandikwa. Si tu kasoma bali amefanya kazi ndani ya kanisa bila kuwa challanged, asemalo wafuasi husema ndio ni kweli tupu. Leo mtu huyu atoke katika kazi hiyo na kutueleza eti awe mwalimu wa Demokrasia. Sina hakika kama ndani ya moyo wake anaweza kubadilika kwa muda mfupi kiasi hiki. Isitoshe ana washauri kama akina Padre Mapunda, huku ni kuua demokrasia kabisa. Na ni mkwa sababu hizi ndio maana Mh Slaa alikimbia CCM.
Katika mazingira kama haya kinachotakiwa ni kuubadilisha uongozi wa juu na kuwaweka watu waliobobea katika maswala ya Demokrasia au watu waliosoma shule za kawaida(serikali) na kuwa na fani kama sheria, uchumi, uongozi na kadhalika. Vinginevyo chama kinakufa kirahisi, tena baada ya uchaguzi mkuu 2015.
Kwahiyo Harvard University iliwafundisha kina Chenge kuja kutuibia?Sitarajii King Abdullah wa Jordan au Mfalme Fahdi wa Saudia wawe majemedari wa Demokrasia. Pengine umenielewa. Maelezo ya Mh Slaa katika Thread ni mfano tosha inayoonyesha mahusiano kati ya elimu uliyoipata na Matendo yako. Elimu ndio maisha, kwa hiyo elimu uliyopata ni kioo cha maisha yako.