CHADEMA haina nguvu ya umma, wananchi wamewachoka

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,006
Heri ya pasaka wanaJF

Ni dhahiri hoja za CHADEMA hazigusi maisha ya wananchi. Ni waandishi wa habari ndio wanaojua akina Mbowe wapo jela.

Ni dhahiri hoja ya kudai maandamano, demokrasia na udikteta hazigusi maisha ya wananchi. Wakati umefika mkae chini mfanye utafiti ili mpate "connection" na wananchi.

Pasaka njema
 
Heri ya pasaka wanaJF

Ni dhahiri hoja za Chadema hazigusi maisha ya wananchi. Ni waandishi wa habari ndio wanaojua akina Mbowe wapo jela.

Ni dhahiri hoja ya kudai maandamano, demoghasia na udikteta hazigusi maisha ya wananchi. Wakati umefika mkae chini mfanye utafiti ili mpate "connection" na wananchi.

Pasaka njema
Toa polisi, weka tume huru then tutajua wameishiwa!
 
Heri ya pasaka wanaJF

Ni dhahiri hoja za Chadema hazigusi maisha ya wananchi. Ni waandishi wa habari ndio wanaojua akina Mbowe wapo jela.

Ni dhahiri hoja ya kudai maandamano, demoghasia na udikteta hazigusi maisha ya wananchi. Wakati umefika mkae chini mfanye utafiti ili mpate "connection" na wananchi.

Pasaka njema
Ni kweli
 
Km serikali ya awamu ya 5 yenye viwanda 3800 wkt huo wananchi wake wanakula mlo mmoja na ukikosoa asbh unaokotwa coco beach kwenye sanadarusi unaelea
 
Haya kachukue buku 7 ya pasaka
 
Natamani kukubaliana na wewe. Wape ushauri CCM wapunguze woga maana wananchi wamewachoka Chadema. Waambie CCM wasipeleke Jeshi la Polisi wakisikia kuwa kuna maandamano yaliyoitishwa na Chadema kwa kuwa Wananchi hawatajitokeza! Inashangaza kuona Chama kinachopendwa kama CCM kikitumia nguvu nyingi dhidi ya Chama ambacho Wananchi wamekichoka kama Chadema! AMANI YA NCHI NI TUNDA LA HAKI!!!!! Pasipo na haki, vitisho na woga daima vitatamalaki.
 
Heri ya pasaka wanaJF

Ni dhahiri hoja za Chadema hazigusi maisha ya wananchi. Ni waandishi wa habari ndio wanaojua akina Mbowe wapo jela.

Ni dhahiri hoja ya kudai maandamano, demoghasia na udikteta hazigusi maisha ya wananchi. Wakati umefika mkae chini mfanye utafiti ili mpate "connection" na wananchi.

Pasaka njema
Ulimfingia diamond nyimbo zake wamekutukana na sasa zimefunguliwa sijui unasemaje tunakuambia bashite ninoma shauri yako
 
Nazani wewe ni mmoja wa mapunga waishio tanzania unawashwa nakuja kukukuna
 
Bi mdogo kweli hawana nguvu ya umma nyuma yao. Mbona mnahangaika nao kila mbunge wa jimbo cdm ana kesi ya uchochezi why ?!!.

Wekeni tume huru, katiba ya wananchi, police neutral nk uone kama kweli hawakubaliki!!! Vinginevyo unapiga wimbo unaoupenda kuusikiliza
 
Heri ya pasaka wanaJF

Ni dhahiri hoja za Chadema hazigusi maisha ya wananchi. Ni waandishi wa habari ndio wanaojua akina Mbowe wapo jela.

Ni dhahiri hoja ya kudai maandamano, demoghasia na udikteta hazigusi maisha ya wananchi. Wakati umefika mkae chini mfanye utafiti ili mpate "connection" na wananchi.

Pasaka njema
Mbona mwaogopa hata misiba?
 
Km serikali ya awamu ya 5 yenye viwanda 3800 wkt huo wananchi wake wanakula mlo mmoja na ukikosoa asbh unaokotwa coco beach kwenye sanadarusi unaelea
Tatizo mnaongea bila evidence
 
Km serikali ya awamu ya 5 yenye viwanda 3800 wkt huo wananchi wake wanakula mlo mmoja na ukikosoa asbh unaokotwa coco beach kwenye sanadarusi unaelea
Unalala nyumban unategemea upate chakula
 
Bi mdogo kweli hawana nguvu ya umma nyuma yao. Mbona mnahangaika nao kila mbunge wa jimbo cdm ana kesi ya uchochezi why ?!!.

Wekeni tume huru, katiba ya wananchi, police neutral nk uone kama kweli hawakubaliki!!! Vinginevyo unapiga wimbo unaoupenda kuusikiliza
anamaanisha chadema wangekuwa na hyo nguvu ya umma basi wakina mbowe wasingelala segerea, pasingetosha dar
 
Huwezi kuwa na chama kisichofuata sheria!! Na huo mtego wamenasa walioutega a k a U dictator katika ubora umejidhihirisha.
 
Back
Top Bottom