Ni kweli kabisa mtoa mada. CDM kwa sasa walipaswa kukaa chini na kuona umuhimu wa kujijenga upya, ikiwa ni pamoja na kutafakari kwa kina kuhusu mwenendo wao.
Habari zao kwa sasa zimechokwa masikioni mwa watu.
Mimi nimefanya utafiti kidogo kuhusu kitu kinachoitwa Maandamano, nilichogundua ni kwamba, haizidi 5% ya watanzania ndio wanaojua kidogo habari hiyo.
Watanzania wengi hawana habari kabisa na wengi wao hawajui hata maana ya maandamano.