Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Kamanda jenga hojaMakamongo View attachment 1241520
Ila CCM ndo wanasubiri wasafi wa upinzani ili wawateuwe kuwa mawaziri.Ndugu zangu,
Muda mwingine unaweza kushangaa nguvu inayotumika kulialia baada ya uchaguzi ukilinganisha na jitihada zilizotumika kabla ya uchaguzi.
Kwanza, Chadema wameonesha wazi kutotaka kushiriki uchaguzi serikali za mitaa 2019 kuanzia hatua ya kujiandikisha katika daftari la wapiga kura.
Pili,hakuna lolote linaloendelea kuwapata wagombea zaidi ya mbinu ile ile ya fisi kuvizia mkono "udondoke" ili ashibe.
Chadema mkoa wa Kilimanjaro wamekiri ukosefu wa fedha umewafanya kushindwa kuweka mawakala kusimamia zoezi la kuandikisha wapiga kura, kama leo Kilimanjaro wameshindwa je huko Lindi, Katavi,Tabora inakuwaje?
Tukielekea kwenye uchaguzi tujiandae na ngonjera za "mawakala wa CHADEMA wazuiliwa kuingia kituoni", "mawakala wa CHADEMA wawekewa dawa ya usingizi kwenye chakula" zaidi "mawakala wa CHADEMA wamendolewa kwenye vyumba vya kuhesabia kura.
picha hapa chini inaweza kueleza zaidi ya maneno.
Nawasilisha.View attachment 1241501
Nimeshindwa kuelewa hiyo picha kwenye mada, sijui huyo kaka anafanya nini?
CCM haijawahi kusubiri walioshindwa kura za maoni chadema, soma vizuri uelewe kamanda.Ila CCM ndo wanasubiri wasafi wa upinzani ili wawateuwe kuwa mawaziri.
tanua akili usitanue vidole.Kwani huo nao ni uchaguzi? Pumbavu sana
Kamanda jenga hoja
angalau wewe umejiandaa kisaikolojia.Safari hii Wala hatulii maana hatupigi kura baada ya jiwe kunajisi box la kura.
angalau wewe umejiandaa kisaikolojia.
Ndugu zangu,
Muda mwingine unaweza kushangaa nguvu inayotumika kulialia baada ya uchaguzi ukilinganisha na jitihada zilizotumika kabla ya uchaguzi.
Kwanza, Chadema wameonesha wazi kutotaka kushiriki uchaguzi serikali za mitaa 2019 kuanzia hatua ya kujiandikisha katika daftari la wapiga kura.
Pili,hakuna lolote linaloendelea kuwapata wagombea zaidi ya mbinu ile ile ya fisi kuvizia mkono "udondoke" ili ashibe.
Chadema mkoa wa Kilimanjaro wamekiri ukosefu wa fedha umewafanya kushindwa kuweka mawakala kusimamia zoezi la kuandikisha wapiga kura, kama leo Kilimanjaro wameshindwa je huko Lindi, Katavi,Tabora inakuwaje?
Tukielekea kwenye uchaguzi tujiandae na ngonjera za "mawakala wa CHADEMA wazuiliwa kuingia kituoni", "mawakala wa CHADEMA wawekewa dawa ya usingizi kwenye chakula" zaidi "mawakala wa CHADEMA wamendolewa kwenye vyumba vya kuhesabia kura.
picha hapa chini inaweza kueleza zaidi ya maneno.
Nawasilisha.View attachment 1241501
Tafuta wakuchokonoa CHADEMA hawachokonoleki namna hiyo. Mmejitahidi biashara ya kununua wagombea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mmeadhirika aibu tupu majitu mazima hovyo.Ndugu zangu,
Muda mwingine unaweza kushangaa nguvu inayotumika kulialia baada ya uchaguzi ukilinganisha na jitihada zilizotumika kabla ya uchaguzi.
Kwanza, Chadema wameonesha wazi kutotaka kushiriki uchaguzi serikali za mitaa 2019 kuanzia hatua ya kujiandikisha katika daftari la wapiga kura.
Pili,hakuna lolote linaloendelea kuwapata wagombea zaidi ya mbinu ile ile ya fisi kuvizia mkono "udondoke" ili ashibe.
Chadema mkoa wa Kilimanjaro wamekiri ukosefu wa fedha umewafanya kushindwa kuweka mawakala kusimamia zoezi la kuandikisha wapiga kura, kama leo Kilimanjaro wameshindwa je huko Lindi, Katavi,Tabora inakuwaje?
Tukielekea kwenye uchaguzi tujiandae na ngonjera za "mawakala wa CHADEMA wazuiliwa kuingia kituoni", "mawakala wa CHADEMA wawekewa dawa ya usingizi kwenye chakula" zaidi "mawakala wa CHADEMA wamendolewa kwenye vyumba vya kuhesabia kura.
picha hapa chini inaweza kueleza zaidi ya maneno.
Nawasilisha.View attachment 1241501
jenga hoja acha kulalama na kulialia kwa hisia.Tafuta wakumchokonoa
Tafuta wakuchokonoa CHADEMA hawachokonoleki namna hiyo. Mmejitahidi biashara ya kununua wagombea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mmeadhirika aibu tupu majitu mazima hovyo.
nje ya mada,acha kuweweseka, jenga hoja.Picha hii inawakilisha ndoto za alinacha za Jiwe za kui transform Tanzania kuwa kama Sweden Denmark, Finland ndani ya miaka mitano! @wakudadavuwa
asante nashkuru jiwe limekupatanje ya mada,acha kuweweseka, jenga hoja.