CHADEMA haina jinsi zaidi ya kusubiri "makapi" toka CCM nitashangaa wakilialia baada ya uchaguzi Serikali za Mitaa

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Muda mwingine unaweza kushangaa nguvu inayotumika kulialia baada ya uchaguzi ukilinganisha na jitihada zilizotumika kabla ya uchaguzi.

Kwanza, Chadema wameonesha wazi kutotaka kushiriki uchaguzi serikali za mitaa 2019 kuanzia hatua ya kujiandikisha katika daftari la wapiga kura.

Pili,hakuna lolote linaloendelea kuwapata wagombea zaidi ya mbinu ile ile ya fisi kuvizia mkono "udondoke" ili ashibe.

Chadema mkoa wa Kilimanjaro wamekiri ukosefu wa fedha umewafanya kushindwa kuweka mawakala kusimamia zoezi la kuandikisha wapiga kura, kama leo Kilimanjaro wameshindwa je huko Lindi, Katavi,Tabora inakuwaje?

Tukielekea kwenye uchaguzi tujiandae na ngonjera za "mawakala wa CHADEMA wazuiliwa kuingia kituoni", "mawakala wa CHADEMA wawekewa dawa ya usingizi kwenye chakula" zaidi "mawakala wa CHADEMA wamendolewa kwenye vyumba vya kuhesabia kura.

picha hapa chini inaweza kueleza zaidi ya maneno.

Nawasilisha.
FB_IMG_15718060585949305.jpeg
 
Nimeshindwa kuelewa hiyo picha kwenye mada, sijui huyo kaka anafanya nini?
 
Ndugu zangu,

Muda mwingine unaweza kushangaa nguvu inayotumika kulialia baada ya uchaguzi ukilinganisha na jitihada zilizotumika kabla ya uchaguzi.

Kwanza, Chadema wameonesha wazi kutotaka kushiriki uchaguzi serikali za mitaa 2019 kuanzia hatua ya kujiandikisha katika daftari la wapiga kura.

Pili,hakuna lolote linaloendelea kuwapata wagombea zaidi ya mbinu ile ile ya fisi kuvizia mkono "udondoke" ili ashibe.

Chadema mkoa wa Kilimanjaro wamekiri ukosefu wa fedha umewafanya kushindwa kuweka mawakala kusimamia zoezi la kuandikisha wapiga kura, kama leo Kilimanjaro wameshindwa je huko Lindi, Katavi,Tabora inakuwaje?

Tukielekea kwenye uchaguzi tujiandae na ngonjera za "mawakala wa CHADEMA wazuiliwa kuingia kituoni", "mawakala wa CHADEMA wawekewa dawa ya usingizi kwenye chakula" zaidi "mawakala wa CHADEMA wamendolewa kwenye vyumba vya kuhesabia kura.

picha hapa chini inaweza kueleza zaidi ya maneno.

Nawasilisha.View attachment 1241501
Ila CCM ndo wanasubiri wasafi wa upinzani ili wawateuwe kuwa mawaziri.
 
Vinavyokwamisha upinzani viko vingi.Ila kikubwa Na bahati mbaya sana ccm Na serikali wanawapa visingizio vya Bure.kwa mfano sikuona sababu ya jeshi la polis kuzuia wabunge Wa upinzani kufanya mikutano katika maeneo yao.
 
Picha hii inawakilisha ndoto za alinacha za Jiwe za kui transform Tanzania kuwa kama Sweden Denmark, Finland ndani ya miaka mitano! @wakudadavuwa
Ndugu zangu,

Muda mwingine unaweza kushangaa nguvu inayotumika kulialia baada ya uchaguzi ukilinganisha na jitihada zilizotumika kabla ya uchaguzi.

Kwanza, Chadema wameonesha wazi kutotaka kushiriki uchaguzi serikali za mitaa 2019 kuanzia hatua ya kujiandikisha katika daftari la wapiga kura.

Pili,hakuna lolote linaloendelea kuwapata wagombea zaidi ya mbinu ile ile ya fisi kuvizia mkono "udondoke" ili ashibe.

Chadema mkoa wa Kilimanjaro wamekiri ukosefu wa fedha umewafanya kushindwa kuweka mawakala kusimamia zoezi la kuandikisha wapiga kura, kama leo Kilimanjaro wameshindwa je huko Lindi, Katavi,Tabora inakuwaje?

Tukielekea kwenye uchaguzi tujiandae na ngonjera za "mawakala wa CHADEMA wazuiliwa kuingia kituoni", "mawakala wa CHADEMA wawekewa dawa ya usingizi kwenye chakula" zaidi "mawakala wa CHADEMA wamendolewa kwenye vyumba vya kuhesabia kura.

picha hapa chini inaweza kueleza zaidi ya maneno.

Nawasilisha.View attachment 1241501
 
Tafuta wakumchokonoa

Tafuta wakuchokonoa CHADEMA hawachokonoleki namna hiyo. Mmejitahidi biashara ya kununua wagombea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mmeadhirika aibu tupu majitu mazima hovyo.
 
jenga hoja acha kulalama na kulialia kwa hisia.
 
Back
Top Bottom