Nimepitia kwa Umakini Katiba ya Chadema tofauti na matarajio ya Chama chochote cha Siasa lazima kuweka msimamo wake hasa mlengwa wa Kiitikadi! Chadema haijaweka wazi kama ni Chama cha Kijamaa au ni Chama Cha Kibepari! Tofauti na CCM ambao wao Wanasema ni Chama cha Kijamaa japokuwa Ujamaa walisha Uweka kando! Vyama vingi duniani huonesha mlengo wake hasa kama ni kuamini Ubepari au Ujamaa! Hata marafiki zao wa Ujerumani na Uingereza wamebainisha mlengo wa Vyama vyao! Wanachama wa Chadema walio wengi hata hapa JF hawajui Itikadi ya Chama Chao(Inasikitisha sana)! Hakuna tofauti kati ya Chadema na Timu ya Simba wala Yanga kwani hawana Itikadi!
My Take: Chadema ijipambanua ina itikadi gani Ujamaa au Ubepari! Wanachadema jiulizeni Itikadi ya Chama chenu ni ipi?
kwenye red hapo kama ujamaa mmesha uweka kando mnafuata itikadi gani ambayo ipo kwenye katiba ya chama cha magamba? Je chama chenu ni popo,ndege,nyoka,kuku,bata au????????????????????????????????????????????nimepitia kwa umakini katiba ya chadema tofauti na matarajio ya chama chochote cha siasa lazima kuweka msimamo wake hasa mlengwa wa kiitikadi! Chadema haijaweka wazi kama ni chama cha kijamaa au ni chama cha kibepari! Tofauti na ccm ambao wao wanasema ni chama cha kijamaa japokuwa ujamaa walisha uweka kando! vyama vingi duniani huonesha mlengo wake hasa kama ni kuamini ubepari au ujamaa! Hata marafiki zao wa ujerumani na uingereza wamebainisha mlengo wa vyama vyao! Wanachama wa chadema walio wengi hata hapa jf hawajui itikadi ya chama chao(inasikitisha sana)! Hakuna tofauti kati ya chadema na timu ya simba wala yanga kwani hawana itikadi!
My take: Chadema ijipambanua ina itikadi gani ujamaa au ubepari! Wanachadema jiulizeni itikadi ya chama chenu ni ipi?

kwenye red hapo kama ujamaa mmesha uweka kando mnafuata itikadi gani ambayo ipo kwenye katiba ya chama cha magamba? Je chama chenu ni popo,ndege,nyoka,kuku,bata au????????????????????????????????????????????nimepitia kwa umakini katiba ya chadema tofauti na matarajio ya chama chochote cha siasa lazima kuweka msimamo wake hasa mlengwa wa kiitikadi! Chadema haijaweka wazi kama ni chama cha kijamaa au ni chama cha kibepari! Tofauti na<span style="color: Rgb(255, 0, 0);"> ccm ambao wao wanasema ni chama cha kijamaa japokuwa ujamaa walisha uweka kando! </span>vyama vingi duniani huonesha mlengo wake hasa kama ni kuamini ubepari au ujamaa! Hata marafiki zao wa ujerumani na uingereza wamebainisha mlengo wa vyama vyao! Wanachama wa chadema walio wengi hata hapa jf hawajui itikadi ya chama chao(inasikitisha sana)! Hakuna tofauti kati ya chadema na timu ya simba wala yanga kwani hawana itikadi!<br>
my take: Chadema ijipambanua ina itikadi gani ujamaa au ubepari! Wanachadema jiulizeni itikadi ya chama chenu ni ipi?<br><br>
Nimepitia kwa Umakini Katiba ya Chadema tofauti na matarajio ya Chama chochote cha Siasa lazima kuweka msimamo wake hasa mlengwa wa Kiitikadi! Chadema haijaweka wazi kama ni Chama cha Kijamaa au ni Chama Cha Kibepari! Tofauti na CCM ambao wao Wanasema ni Chama cha Kijamaa japokuwa Ujamaa walisha Uweka kando! Vyama vingi duniani huonesha mlengo wake hasa kama ni kuamini Ubepari au Ujamaa! Hata marafiki zao wa Ujerumani na Uingereza wamebainisha mlengo wa Vyama vyao! Wanachama wa Chadema walio wengi hata hapa JF hawajui Itikadi ya Chama Chao(Inasikitisha sana)! Hakuna tofauti kati ya Chadema na Timu ya Simba wala Yanga kwani hawana Itikadi!
My Take: Chadema ijipambanua ina itikadi gani Ujamaa au Ubepari! Wanachadema jiulizeni Itikadi ya Chama chenu ni ipi?
Mkuu wangu nadhani tulichokifanya ni kuepusha matumizi mabaya ya hizi Itikadi kwa sababu wengi watafikiria kwamba Ujamaa unaozungumzwa leo (Ukomunist na Usoshalist) ni ule wa kupinga Ubinafsishaji..Safi sana mkuu. Kama mtu ameuliza swali ajibiwe kama ulivyofanya. Hilo ndilo tendo la kiungwana kwa waungwana: Hoja dhidi ya hoja badala ya matusi. Kumbe CHADEMA ina itikadi lakini inaonekana wengine hawaijui ndio maana badala ya kujibu hoja wanaanza kutukana.
Tunaomba Kiongozi wa Chadema atujuze na kutoa maelezo juu ya Itikadi ya Chadema ni jambo la msingi tuielewe Chadema kama chama ambacho kinataka kupata ridhaa ya Watanzania kuongoza Nchi! Wale vijana mnaotukana hapa JF ebu acheni matusi kwa hii hoja! Slaa,Mbowe,Zitto,Mnyika,Regia,Lema,Ndesamburo,Lema wekeni msimamo wa itkadi ya Chadema hapa jamvini
Si kweli chadema hawana itikadi, ni chama cha mlengo wa kati nadhan umeelewa.Nimepitia kwa Umakini Katiba ya Chadema tofauti na matarajio ya Chama chochote cha Siasa lazima kuweka msimamo wake hasa mlengwa wa Kiitikadi! Chadema haijaweka wazi kama ni Chama cha Kijamaa au ni Chama Cha Kibepari! Tofauti na CCM ambao wao Wanasema ni Chama cha Kijamaa japokuwa Ujamaa walisha Uweka kando! Vyama vingi duniani huonesha mlengo wake hasa kama ni kuamini Ubepari au Ujamaa! Hata marafiki zao wa Ujerumani na Uingereza wamebainisha mlengo wa Vyama vyao! Wanachama wa Chadema walio wengi hata hapa JF hawajui Itikadi ya Chama Chao(Inasikitisha sana)! Hakuna tofauti kati ya Chadema na Timu ya Simba wala Yanga kwani hawana Itikadi!My Take: Chadema ijipambanua ina itikadi gani Ujamaa au Ubepari! Wanachadema jiulizeni Itikadi ya Chama chenu ni ipi?
Nimepitia kwa Umakini Katiba ya Chadema tofauti na matarajio ya Chama chochote cha Siasa lazima kuweka msimamo wake hasa mlengwa wa Kiitikadi! Chadema haijaweka wazi kama ni Chama cha Kijamaa au ni Chama Cha Kibepari! Tofauti na CCM ambao wao Wanasema ni Chama cha Kijamaa japokuwa Ujamaa walisha Uweka kando! Vyama vingi duniani huonesha mlengo wake hasa kama ni kuamini Ubepari au Ujamaa! Hata marafiki zao wa Ujerumani na Uingereza wamebainisha mlengo wa Vyama vyao! Wanachama wa Chadema walio wengi hata hapa JF hawajui Itikadi ya Chama Chao(Inasikitisha sana)! Hakuna tofauti kati ya Chadema na Timu ya Simba wala Yanga kwani hawana Itikadi!
My Take: Chadema ijipambanua ina itikadi gani Ujamaa au Ubepari! Wanachadema jiulizeni Itikadi ya Chama chenu ni ipi?
Hapa tunataka jibu
watueleze hawa vijana wa conservative party itikadi yao ninini?? Nyerere
aliwahi kuwaambia kuwa kwa vile ni mabepari basi hawa ndio wapinzani wa
kweli maana ccm inafuata ujamaa. Lakini kama ambavyo cv zao ziaanza
kufahamika zaidi ya nusu ya hawa jamaa vijana wa edo mtei hawana hata
elimy ya chuo kikuu ukitoa vijana wachache kama zito mdee lisu na
shibuda ambao hat mwelekeo wao angalau unatia matumaini. Waliobaki na
watoto wa mama kijo kisima na anawalea nkya na malya na sungusia aisee
kweli hapa bila chadema kuchukua nchi akyamungu mtanilipa nyumba yangu
niliyousa kule koborororoni. Sasa hawa ni mabepari au wa jamaa mbona
htufanani nao??
Hapa tunataka jibu watueleze hawa vijana wa conservative party itikadi yao ninini?? Nyerere aliwahi kuwaambia kuwa kwa vile ni mabepari basi hawa ndio wapinzani wa kweli maana ccm inafuata ujamaa. Lakini kama ambavyo cv zao ziaanza kufahamika zaidi ya nusu ya hawa jamaa vijana wa edo mtei hawana hata elimy ya chuo kikuu ukitoa vijana wachache kama zito mdee lisu na shibuda ambao hat mwelekeo wao angalau unatia matumaini. Waliobaki na watoto wa mama kijo kisima na anawalea nkya na malya na sungusia aisee kweli hapa bila chadema kuchukua nchi akyamungu mtanilipa nyumba yangu niliyousa kule koborororoni. Sasa hawa ni mabepari au wa jamaa mbona htufanani nao??