Haikatazwi individual kuwa na msimamo wake katika hili.........hoja yangu ni MaCCM kutaka hoja ya YERICKO kuwa ya kichama na si ya binafsi....Raila huyuhuyu alipokuja Tanzania akiwa Waziri wa Moi alikataa katakata kukutana na wapinzani akidai yeye yuko katika serikali na amekuja kama mgeni wa serikali......na ndipo alipoanzisha rasmi urafiki na Magufuli......sasa leo iweje ahusishwe na CHADEMA?