Nimefurahishwa nilipodokezwa na rafiki yangu wa Chadema kuwa kuna mazungumzo yanaendelea ili vyama vyote nilivyotaja vizunguke nchi nzima kuhutubia mikutano ya hadhara kuhusu operation "uwajibikaji".
Watakuwa wanawaeleza watanzania jinsi nchi inavyoliwa na watatafuta mamilioni ya sahihi za wananchi za kutaka JK aachie ngazi kwa kushindwa kuwawajibisha mafisadi.
Ikifanikiwa hii itakuwa na athari kubwa kwa CCM na ndio mwanzo wa vyama hivi kushirikiana kuwaondoa CCM 2015