CHADEMA, CUF: Mpinzani halisi atajulikana kesho

Hata akichaguliwa mbunge akichaguliwa na mdudu basi anayo haki sawa kuwakilisha WaTanzania ,sasa nyie mnaosema kuwa kule Visiwani mbunge anachaguliwa na watu wachache tuseme 3000 ,nijuavyo mbunge huyo anawajibika kuikandia Serikali iliyopo madarakani ,kwa kuwa ndio hivyo mbunge anawajibika kutetea sehemu yeyote ile ,na kwa hivyo mbunge huwa anawakilisha WaTanzania wote ,kwani hoja ya mbunge mmoja tu inatosha kabisa kuwakilisha Taifa zima inategemea akili za mbunge huyo ,ni mabomu mangapi wamelipua CHADEMA hebu tuelezeni ni lipi lililowashugulisha Serikali na wapi limefikia na wahusika wapo wapi ?

Hivyo Zanzibar ni nchi haiwezekani wabunge wa Chadema nao waisemee Zanzibar ? Maana hawana mbunge hata mmoja ?
Yakhe katika bunge kunategemea hoja na si wingi wa wabunge ,akili za wabunge wenye ufahamu ndio tu wanaoweza kulitetea Taifa hili bila ya kutegemea wanatoka chama gani ,kwani kimikakati wabunge ikiwa watafahamu nini umuhimu wa wao kuwepo bungeni na kwa ajili ya nani basi hapo tu ndipo tutakapoweza kupiga hatua za maendeleo na sio siasa za umimi ambazo CHADEMA inaonekana kuzikumbatia.
 
Mwiba unanikumbusha ile story KIJAMAA kinajisifu kuwa ni kibabe ile mbaya na kinapiga ngumi wacha mchezo bana. Ukisema Karate ndiyo imelala kwake jamaa.

Eti kilishawahi kutembeza kipigo kwa watu kama 20 kwa siku moja na kwa mkupuo.

Ukikiangalia kijamaa kimekondeana kama Mbunge wa Sikonge, Said Nkumba.

Kuja kudadisi kumbe kijamaa ni Kimwalimu cha shule ya Wasichana sehemu sehemu hapa Tz.

Watu kaliopiga ni Wanafunzi wa Kike 20. Aibu aibu hiyooooooo..........

Mwanaume wa kweli/Mwanamke wa shoka, nenda kapambane na Midume yenye misuli.
 
Back
Top Bottom