kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,003 Reaction score 17,383 Sunday at 9:22 AM #1 Nimewapenda sana hawa jamaa hata sijui kama wanadanganya au la. Vyama vyetu vya siasa hapa tz ni kama vyama vinavyoikumbusha CCM na serikali kitu gani wamesahau kufanya wakifanye. Hebu sikiliza njia mbadala za kutatua shida za wakenya. View: https://youtu.be/xbdGgaVIK3k?si=4OqsHd7X7yeJjdce
Nimewapenda sana hawa jamaa hata sijui kama wanadanganya au la. Vyama vyetu vya siasa hapa tz ni kama vyama vinavyoikumbusha CCM na serikali kitu gani wamesahau kufanya wakifanye. Hebu sikiliza njia mbadala za kutatua shida za wakenya. View: https://youtu.be/xbdGgaVIK3k?si=4OqsHd7X7yeJjdce