Jiulize kwa nini CCM siku hizi haizungumzii ile dhana kuwa mtaji wake uko vijijini.Naona sasa somo la uraia limeanza kueleweka vijijini,2015 ccm kazi wanayo.peeeeepoziIiiiii
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa wenyeviti wa vijiji na vitongoji kata ya Nsalala Mbeya vijijini.Chadema imenyakua vijiji 4 huku CCM ikiambulia kijiji 1 tu.Katika uchaguzi wa vitongoji Chadema imeshinda vitongoji 9 huku CCM nayo ikishinda vitongoji 9.Uchaguzi huo umefanyika mwishoni mwa wiki. Source Nipashe Uk.13
Habari njema sana hii, hivi ccm siku izi wanashindwa kuiba?? Maana tulishawakataa siku nyingi lakini wana survive kwa njia ya kuiba kura pia kuyachakachua matokeo, duh kweli hali ni mbaya sana kwa magamba pia hawa jamaa enzi zao ndo zinaishia. Safi sana cdm
CCM, ngoma ikivuma sana ...