Chadema chama changu kwanini ni madiwani tu?

MAZUMILA

Member
Nov 9, 2011
7
0
Nasikilitishwa sana NA kusikia kila Leo madiwani wanaitwa na kamati kuu ya chama kujibu tuhuma ilihali kuna wabunge wana matuhuma kibao tu, na wao tena zaidi hata ya madiwani.

Leo kamati kuu inamjadili Diwani wa Igoma Adam Chagulani,inaweza kuwa jambo zuri na lina masilahi ndani ya chama lakini Mbona Iwe kwa madiwani tu.

Au madiwani chama changu hakiwathamini,manake kama kuweka mambo sawa na msimamo wa chama ungewaita wabunge watovu wa nidhamu kama Shibuda,Selasini,na hata Zitto, Ila Diwani akikosa kidogo kamati kuu inamwita.

Jamani tuonyeshe kutenda haki na kuheshimu kila nafasi ya mtu hawa wote wamechaguliwa na wanawakilisha watu isipokuwa kila mmoja kwa ngazi yake.

Viongozi hebu tumieni busara kuona haya.

Ni hayo kwa Leo.
 
Mdogo siku zote huonewa, ila sio fare, kama ni nidhamu iandame pote pote
 
Hongera Kamati kuu ya CDM maamuzi mliyofanya ni ya maana sana. Hapa Karatu kuna baadhi ya madiwani wamekuwa miungu watu, kazi yao ni kwenda kufanya vikao na watu wa Chama cha Mapinduzi ili kuvuruga CHADEMA hapa Karatu. Mara nyingi Uongozi wa CDM wilaya ya Karatu imetoa taarifa kwa Kamati kuu lakini hakuna hatua za nidhamu zinazochukuliwa kwa madiwani hao. MADIWANI KAMA HAO, VIONGOZI WA CHAMA KAMA HAO MFANO WA MWANZA NA ARISHA MJINI NDIO UNAWAPASA.

MAKAMANDA TOENI MAWAZO KUDUMUMISHA CDM KATIKA NCHI YETU.
 
Hakuna kitu kibaya kama siasa uchwara.(siasa taka)...siasa safi ni nguzo ya maendeleo na ustawi wa taifa lolote hata kama limezaliwa jana.kama chama tawala (ccm) wangekuwa na udhubutu huu wa chadema,hii tabia ya kujikita kwenye makundi ya kuwania uongozi miaka 5 hata kabla ya kujua kesho kuna nn yasingekuwepo...chadema wameonesha mfano,njia,mweelekeo,haki,utawala bora,uwajibikaji hasa kwa wale wanaotaka kutumia umaarufu wa chama kwa maslahi yao binafsi. Mtu kuwa kiongozi ni karama na zawadi kutoka kwa mungu.uongozi hautafutwi kwa makundi na kujitangaza mbele za watu au kuwadhalilisha wengine na kuwaundia majungu ili kuonekana unafaa kwa macho ya nyama.

Uongozi hautafutwi kwa fitina,rushwa,adaa,makundi na chuki.uongozi ni zaidi ya basic needs of the human beings.uongozi ni kujibeba wewe na wengine pia....bila kujijua tabia hii ipo sana ndani ya vyama vingi siasa hapa tanzania,lakini hakuna udhubutu wa kuwaengua wahusika ndani ya vyama hivyo na nfasi zao kuchukuliwa na watu wengine hata kama watatoka nje ya chama husika.

Rai kwa vyama vingine vya siasa igeni haya ya chadema, walafi wa madaraka,wahujumu,mapandikizi,chomoweni,fukuzia mbali, ili tujenge siasa safi ndani ya nchi yetu.

Chadema wameonesha ukomavu na maamuzi yanayostahili kuigwa na watawala.
Nawasilisha....
 
Kwa sababu hawaleti ruzuku kwenye chama na hawana hela ya kuchangia shughuli za chama...
 
uongozi wa chadema....ni wa kiukabila na kifamilia......viti maalumu na madiwani wenu c mmechaguana ndugu ndugu sasa malalamika nini
 
Nasikilitishwa sana NA kusikia kila Leo madiwani wanaitwa na kamati kuu ya chama kujibu tuhuma ilihali kuna wabunge wana matuhuma kibao tu, na wao tena zaidi hata ya madiwani.

Leo kamati kuu inamjadili Diwani wa Igoma Adam Chagulani,inaweza kuwa jambo zuri na lina masilahi ndani ya chama lakini Mbona Iwe kwa madiwani tu.

Au madiwani chama changu hakiwathamini,manake kama kuweka mambo sawa na msimamo wa chama ungewaita wabunge watovu wa nidhamu kama Shibuda,Selasini,na hata Zitto, Ila Diwani akikosa kidogo kamati kuu inamwita.

Jamani tuonyeshe kutenda haki na kuheshimu kila nafasi ya mtu hawa wote wamechaguliwa na wanawakilisha watu isipokuwa kila mmoja kwa ngazi yake.

Viongozi hebu tumieni busara kuona haya.

Ni hayo kwa Leo.

roho ya chadema ipo mikokoni mwa zitto kabwe wakimfukuza tuu ujue chadema itachukiwa na watanzania kwa sababu zifuatazo.......
1.ndiye muisilamu pekee ....katika chama hicho..............
2.asilimia 80 ya wanachama wa chadema wanaipenda chadema kwa sababu ya zitto
3.ndiye mbunge pekee wa chadema aliye angalau timiza baadhi ya ahadi zake kipindi cha kampeni
:flypig::flypig:
:eek2::eek2:
 
Unajidanganya best...mie nishachoshwa na viongozi wanafikinafiki huku magamba najiuliza sijui nikimbilie wapi nikitaka kwenda magwanda namuona huyu mtu nasita, SIKU akitoka tuu magwanda mie naenda huko.....kila siku najiuliza sijui niende ADC....mhh lkn kule napo kuna Rashid mie na viongozi wanafikiwanafiki wanaojali sn matumbio yao mbalimbali:bolt:
 
Nasikilitishwa sana NA kusikia kila Leo madiwani wanaitwa na kamati kuu ya chama kujibu tuhuma ilihali kuna wabunge wana matuhuma kibao tu, na wao tena zaidi hata ya madiwani.

Leo kamati kuu inamjadili Diwani wa Igoma Adam Chagulani,inaweza kuwa jambo zuri na lina masilahi ndani ya chama lakini Mbona Iwe kwa madiwani tu.

Au madiwani chama changu hakiwathamini,manake kama kuweka mambo sawa na msimamo wa chama ungewaita wabunge watovu wa nidhamu kama Shibuda,Selasini,na hata Zitto, Ila Diwani akikosa kidogo kamati kuu inamwita.

Jamani tuonyeshe kutenda haki na kuheshimu kila nafasi ya mtu hawa wote wamechaguliwa na wanawakilisha watu isipokuwa kila mmoja kwa ngazi yake.

Viongozi hebu tumieni busara kuona haya.

Ni hayo kwa Leo.

Kama una tuhuma dhidi ya wabunge fata katiba ya chama na sisi hatutasita kuchukua hatua kwa mujibu wa katiba hii.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
roho ya chadema ipo mikokoni mwa zitto kabwe wakimfukuza tuu ujue chadema itachukiwa na watanzania kwa sababu zifuatazo.......
1.ndiye muisilamu pekee ....katika chama hicho..............
2.asilimia 80 ya wanachama wa chadema wanaipenda chadema kwa sababu ya zitto
3.ndiye mbunge pekee wa chadema aliye angalau timiza baadhi ya ahadi zake kipindi cha kampeni
:flypig::flypig:
:eek2::eek2:

pole sana mkuu.......
 
Unataka Shibuda, Zito wafukuzwe kwa kutangaza nia ya kugombea uongozi?.. ZIto kawakalia kooni mafisadi, na wakatafuta njia ya kumchafua ktk vile anavyovitetea kwa kusema anapata vijisent!. Je, afukuzwe kwa hili?. Wewe unashiriki vikao vya CDM?.
 
roho ya chadema ipo mikokoni mwa zitto kabwe wakimfukuza tuu ujue chadema itachukiwa na watanzania kwa sababu zifuatazo.......1.ndiye muisilamu pekee ....katika chama hicho..............2.asilimia 80 ya wanachama wa chadema wanaipenda chadema kwa sababu ya zitto3.ndiye mbunge pekee wa chadema aliye angalau timiza baadhi ya ahadi zake kipindi cha kampeni:flypig::flypig::eek2::eek2:
Alikupiga tafu saana 2010, vipi safari yako imeishia wapi?
 
Chadema has stripped two councillors Mr Adam Chagulani (Igoma ward) and Henry Matata (Kitangero ward) in Mwanza of their membership after they were found to have been involved in ousting the Chadema Mwanza City Mayor without following party procedures. Mr Mbowe said a special committee was formed by the party’s Secretary-General, Dr Wilbrod Slaa, to look into the way the Mwanza Mayor Mr Joseph Manyerere was stripped of his status, where it was established that the two were involved without following proper party procedures.
 
Maamuzi mazito yanataka viongozi imara ,walio kiwango cha juu cha uadilifu ndani ya chama na taratibu za kuendesha chama zisizo na mizengwe. Kinyume na hapo kinakuwa chama cha matamko na vitisho tu.
 
my only question to cc is, were accused individuals given a chance to defend themselves ?? were they called before the cc and questioned then given a chance to answer the accusation ?? demokrasia should not only be the name of party but we need to practice it. Please, i need to hear from any member of the CC.
 
It is better to separate the individuality in politics. CDM still is doing well but this should be done also in top management screening. There are some of them are double eyed.
 
Back
Top Bottom