Chadema chama changu kwanini ni madiwani tu?

Chadema chama changu kwanini ni madiwani tu?

madiwani hawajui siri za ndani, hata wakitimuliwa hawata weza kumwaga mboga. Kina shibuda na Zitto wanayajua madudu yote ya ndani, wakipigwa chini basi siri zote za hii kampuni ya mtei zitatoka.
 
Back
Top Bottom