Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,110
Unadhani kila tv ina watazamaji zingine zinaishia chalinze au hazina watazamaji.Nchi hii ina television moja? Na hao ccm wamelipia TV station zote siku hiyo? Mambo mengine mkiambiwa basi changanyeni na zenu
Kweli huu utoto sasa.Kwani TV zinarusha bure matangazo haya?TV zipo nyingi,nyie wanasiasa mnatuvurga bwana
We unaambiwa mwenzako kashabook kwa sababu serikali mnayo eti na nyny mnajifanya mnataka,...mnadhani mtashinda kwa dhuluma zenu?,uwanja wa taifa mmegoma,jangwani mmezingua na kwenye TV mnazingua wabongo tunawacheki tu nahata wana CCM wasiopenda dhuluma hawafurahishwi na upuuzi huo....ila upinzani ni watu wenye akili sana na ndo maana wanawanyima usingizi,hamtaamini kitakachotokea mbna.Nchi hii ina television moja? Na hao ccm wamelipia TV station zote siku hiyo? Mambo mengine mkiambiwa basi changanyeni na zenu