CHADEMA Bunda.

CHADEMA Bunda.

kufa kwa nyani miti yote inateleza,wamejaribu kutumia Zito wapi!Wanapo mtuma Zito wao Kigoma,Makete vijiji vina ondoka kuangukia cdm.Chadema kwakweli imeota mbawa haikamatiki.Wenyewe wana kumbukumbu ya Mrema na NCCR wakifikiri Watanzania wa wakati huo ndio wa sasa.Huwezi kuua cdm kwa remote hivyo chama kimejijenga hiki.Kutumia mtu mmoja hata angekuwa Mbowe cdm haifi.
 
Na bado kama kata ya Nyasura hakuna mgombea yoyote zaidi ya CHADEMA bado Balili, Mugeta, Guta na Kibara suburieni tu hasa jimbo la Mwibara
 
ifweroo njoo huku chama chakavu kinapelekwa kuyeyushwa.....
 
watajiju walizoea kudharau wananchi siku zao zinahesabika
 
Kuwa mgombea upande wa CCM lazima utimize moja ya masharti🙁a) Kuiba kura (b) kutumia ushirikina(c) kununua mgombea upande wa mpinzani (d) hata nyenzo kama milipuko uwe na uwezo wa kutumia (e) akili kama ya samaki
 
haswaaa. . ...hata chupa ya kilimanjaro tupu... kwa chadema itashinda....

Kamanda yatendee haki maji yangu pendwa na ninakunywa muda huu, ccm haifai kuthaminishwa hata na kopo la maji ya kilimanjaro, labda ccm na jiwe. Tunashukuru kwa operation zao za kutokomeza raia maana watanzania na hasa wa vijijini wagumu kuelewa elimu ya uraia, zaidi zaidi mpaka waguswe moja kwa moja na ma-operetion ya kuwatokomeza ndio wanaelewa ccm ni kaburu wa aina gani............
 
pole zao maskini sasa hivi u naweza tajirika kwa kukubali tu kugombea kupitia ccm
 
yaani hii itakua aibu kuu kwa maccm, hivi sababu ya watu kugoma kugombea ni nn? kwa hiyo hakuna kura za maoni huko kipindi hiki? kweri hii ndio natural derth
 
Nimeangalia kny kamusi, yaonesha ifweero ni jina la kichagga (nilipitia shule huko kwao moshi), lina maana na Kipoozeo!

sasa hapo ndo pana shida ni kipoozeo katika muktadha gani: mwanamke ' it can be! ila kama ni mwanaume mmm! s..ga?

Ha! Ha! Ha! Ha!
 
Achana nao hao magamba ndiyo yanaishia hayo,wametutesa vya kutosha. Kama vp Akasimame mtoto wa mkulima,si wao wanapeana nyidhifa hata tatu tatu kwa mtu mmoja.
 
Hakuna sababu za kumwamsha aliyelala. CDM songa mbele na tunawatakia kla kheri ikiwa ni salam tosha kwa magamba kuwa cdm haitakufa.
 
Kuwa mgombea upande wa CCM lazima utimize moja ya masharti🙁a) Kuiba kura (b) kutumia ushirikina(c) kununua mgombea upande wa mpinzani (d) hata nyenzo kama milipuko uwe na uwezo wa kutumia (e) akili kama ya samaki

You have a point.
 
Back
Top Bottom