Duh ! Habari ya tangu jana hapa JF, wewe unaileta leo saa tano halafu unaiita breaking news !.
Hii unaiona ni habari ndogo? Cdm imekufa Bunda unaona sio breaking news?!
Duh ! Habari ya tangu jana hapa JF, wewe unaileta leo saa tano halafu unaiita breaking news !.
Ni njama za Wassira hizo kamwe haziwezi kuuvunja umoja uliopo ndani ya UKAWA.
Kama wamenunuliwa waendelee, na hizo ni njama za Wassira kwani ameshaona kuwa Ester ni moto kwake na anakubalika na kundi kubwa.
Hao viongozi wa Kamati wao siyo wapiga kura, maamuzi yaliyoofanyika huenda kuna point z muhimu wamezingatia katika kulipata hilo jimbo nasiyo kumuweka mtu ili mradi ni UKAWA. Lazima tuangalie anayekubalika na siyo ushabiki wa kisiasa.
Wasira ameongoza hapo Bunda muda mrefu mbona walishindwa kumuondoa miaka yote???
Tubadilike tusikubali kudanganywa kisiasa na siye kufuata mkumbo.
UKAWA MWAKA HUU IPO JUU ZAIDI YA CCM.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
kamati kuu ya lowassa ni vichaa, huwezi kuacha mtu aliyejenga chama hapo bunda miaka mitatu alafu wakupe wewe esyth uliyekuja juzi toka ccm jimbo-ni kosa..shida ya yule(wewe) dada ni kudandia dandia tu, sasa ccm kakimbia chadema bunda ukweli umejulikana zile ligi za mpira, bulaya cup hakuna kitu jiandae kushindwa, pius aliona bora aende timu ya ushindi.....bulaya hapati asilimia 7% na ni aibu kwa kamati kuu kudharau wananchi
hakuna mpambano wa msimbe wenu bunda, yaani esther ni taka hivi sasa, kila kona bunda akipita anazomewa tu tangu jana.....el-ninyo inakuja kuwabeba na dhambi ya ubaguzi chadema....esther hawezi ongea dk 2 bila zomea zomea na usimbe hautakiwi bunda
Bunda Mpumzisheni Wassira kwa Maana Umri Do.....Hata Chagueni Vijana.
Sasa kweli Nani mwenye Njaa..Hii picha ya Bulaya Ktk ofisi ya CHADEMA Bunda ni kama picha ya Hofu na Msiba Fulani....atakuwa anajuta "hivi huku nimekuja kufanya nini kustaili aibu Hii"
Upo wapi mkuu, upo Bunda wewe au upo kwenye mtandao? Yaani hata bila kununuliwa CDM haiwezi na isingeweza kushinda na haitashinda Bunda.
CHAMA CHA DEMOKRASI NA MAENDELEO MKOA WA MARA KINAWAFAHAMISHA KUWA WAFUATAO WAMESIMAMISHWA NAFASI ZA UTENDAJI WA CHAMA WILAYA YA BUNDA KUANZIA TAREHE 15/08/2015
1. ALFRED SAMWEL IMANANI - MWENYEKITI WA JIMBO BUNDA
2. RITHA SALVATORY IKANDILO - KATIBU WA WILAYA
3. EMMANUEL MACHUMU MARIBWA - MWENEZI JIMBO
4. DAMAS KUNJU - MJUMBE WA KAMATI TENDAJI JIMBO
5. MWITA NGWENA - MJUMBE WA KAMATI TENDAJI JIMBO
6. DICKSON KUJELWA - MJUMBE WA KAMATI TENDAJI JIMBO
7. DAVID ARBOGAST - MJUMBE WA KAMATI TENDAJI JIMBO
8. JUMANNE D. MOSSY - MJUMBE WA KAMATI TENDAJI JIMBO
9. NOAH LAWRENCE - MJUMBE WA KAMATI TENDAJI JIMBO
10. JACTON MUYENGI - MJUMBE WA KAMATI TENDAJI JIMBO
11. MATALA ATHUMANI - KATIBU BAVICHA KATA SAZIRA
SABABU ZA KUSIMAMISHWA KWAO NI:
1. Kumpiga na kumjeruhi sana aliyekuwa mtia nia wa jimbo la Bunda Mjini Ndugu Chacha Nyamhanga ambaye alilazwa kwa muda wa siku tisa katika Hospitali ya Wilaya ya Bunda. Sababu za kumpiga mtia nia huyo ni baada ya kukataa kutoa rushwa na kuhamasisha wenzake wasitoe rushwa kwa viongozi hao.
2. Kuhujumumatokeo ya kura za maoni kwenye kata zaNyamuswa, Nyamakokoto, Nyasura, Manyamanyama na kufanya vikao vya uteuzi wa madiwani nje ya ofisi bila vikao vya kikatiba ili kuifanya CCM ishinde kata zote za Wilaya ya Bunda, mfano; kwenye kata Nyamakokoto walimteua ndugu EMMANUEL MALIBWA aliyepata kura 5 badala ya ndugu GEORGIES MIYAWA aliyeshinda kwa kura 37, Kata ya Nyasura aliteuliwa Jumanne Mosi aliyepata kura 17 na akaachwa Mwamba Wasira aliyepata kura 47.
3. Kuiba mihuri ya Ofisi kwa lengo la kugushi nyaraka za chama.
4. Kuwataka wagombea wa nafasi za udiwani kutoa rushwa ya kiasi cha shilingi laki tano ili waweze kuteuliwa na kamati tendaji kama wagombea wa nafasi hizo.
5. Kuwasiliana na mgombea ubunge wa CCM Ndugu Steven Wasira kwa lengo la kuhujumu Chama ili mgombea huyo kutoka CCM apite bila kupingwa.
6. Mwenyekiti wa Jimbo na aliyekuwa mtia nia wa ubunge Ndugu Ismail Pius Masululi amekuwa na mawasiliano na Mkuu wa Wilaya ya Bunda Ndugu Mirumbe kwa lengo la kuhujumu chama.
7. Matumizi mabaya ya fedha za chama.
IMETOLEWA NA
KATIBU WA MKOA MARA
Ni njama za Wassira hizo kamwe haziwezi kuuvunja umoja uliopo ndani ya UKAWA.
Kama wamenunuliwa waendelee, na hizo ni njama za Wassira kwani ameshaona kuwa Ester ni moto kwake na anakubalika na kundi kubwa.
Hao viongozi wa Kamati wao siyo wapiga kura, maamuzi yaliyoofanyika huenda kuna point z muhimu wamezingatia katika kulipata hilo jimbo nasiyo kumuweka mtu ili mradi ni UKAWA. Lazima tuangalie anayekubalika na siyo ushabiki wa kisiasa.
Wasira ameongoza hapo Bunda muda mrefu mbona walishindwa kumuondoa miaka yote???
Tubadilike tusikubali kudanganywa kisiasa na siye kufuata mkumbo.
UKAWA MWAKA HUU IPO JUU ZAIDI YA CCM.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
hakuna mpambano wa msimbe wenu bunda, yaani esther ni taka hivi sasa, kila kona bunda akipita anazomewa tu tangu jana.....el-ninyo inakuja kuwabeba na dhambi ya ubaguzi chadema....esther hawezi ongea dk 2 bila zomea zomea na usimbe hautakiwi bunda
Kweli kabisa Mkuu. Kwa sababu hata Lowassa ni kijana.
Bwahahahahaaaaaaa!!!!
Unajifurahisha ila jimbo limebaki, wana Bunda wapo wakini, hawataki wasimbe