CHADEMA Bunda Mjini 2015, Kama anguko CCM Iringa Mjini 2010

CHADEMA Bunda Mjini 2015, Kama anguko CCM Iringa Mjini 2010

Ni njama za Wassira hizo kamwe haziwezi kuuvunja umoja uliopo ndani ya UKAWA.

Kama wamenunuliwa waendelee, na hizo ni njama za Wassira kwani ameshaona kuwa Ester ni moto kwake na anakubalika na kundi kubwa.

Hao viongozi wa Kamati wao siyo wapiga kura, maamuzi yaliyoofanyika huenda kuna point z muhimu wamezingatia katika kulipata hilo jimbo nasiyo kumuweka mtu ili mradi ni UKAWA. Lazima tuangalie anayekubalika na siyo ushabiki wa kisiasa.

Wasira ameongoza hapo Bunda muda mrefu mbona walishindwa kumuondoa miaka yote???

Tubadilike tusikubali kudanganywa kisiasa na siye kufuata mkumbo.


UKAWA MWAKA HUU IPO JUU ZAIDI YA CCM.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kwi! Kwi!Kwi!!!! unatia huruma sana ! chadema inaona kuliko unavyodhani .

Erythro ,kama vile unaanza kujivua nguo sasa ,kama graduate ,hizo comments ni za lasaba

Kwanza kipenzi chako SILAA yuko wapi ama Naye ni msaliti?
 
Hivi mpinzani wa kweli anaweza kumpigia kura mgombea wa ccm? Tuache utotp na kutumika.
 
Tatizo ni wale watu aliokuja nao EL lazima wapate nafasi, walimwagwa CCM wakaona altenative ya kubaki bungeni ni kujaribu upande wa pili. lakini malengo yao ni kuhakikisha wanarudi bungeni. utaona wakikosa kuingia bungeni kama wataendelea kua watiifu ndani ya chama.
 
Tupo na Ester Bulaya 2015✌✌hao wengine ni njaa tu....

WATU ISHIRINI NDO WALIOMSINDIKIZA

TULIOMPOKEA NI WATU 5900

RIP BULAYA .. THIS IS THE END OF MISSION No1
 
tatizo ni wale watu aliokuja nao el lazima wapate nafasi, walimwagwa ccm wakaona altenative ya kubaki bungeni ni kujaribu upande wa pili. Lakini malengo yao ni kuhakikisha wanarudi bungeni. Utaona wakikosa kuingia bungeni kama wataendelea kua watiifu ndani ya chama.

magitaaaaaaaaaaaaaaa

hatutaki ccm b......................... Aende cuf muraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
mkuu kamati kuu siyo vichaa , hawa walipanga njama na wasira apite bila kupingwa , baada ya kustukiwa wametimuliwa na wala hawajajiuzuru kama mleta uzi anavyodanganya .

kamati kuu ya lowassa ni vichaa, huwezi kuacha mtu aliyejenga chama hapo bunda miaka mitatu alafu wakupe wewe esyth uliyekuja juzi toka ccm jimbo-ni kosa..shida ya yule(wewe) dada ni kudandia dandia tu, sasa ccm kakimbia chadema bunda ukweli umejulikana zile ligi za mpira, bulaya cup hakuna kitu jiandae kushindwa, pius aliona bora aende timu ya ushindi.....bulaya hapati asilimia 7% na ni aibu kwa kamati kuu kudharau wananchi
 
Kilichofanyika ni 100% CORRECT. Tumekuwa tunapoteza majimbo mengi kwenye uchaguzi kwa uzembe wa watu wachache. Kama hizo tuhuma tulizipata mapema na zilikuwa na chembe chembe za ukweli ni bora tukapoteza hao wanachama 20 hata wakienda na familia zao na michepuko yao, yaani hatukai na wasaliti meza moja.
 
hao waliotoka ndio wale waliopewa fedha na wasira .........huu mpambano wa ester na wasira ni hatariiiii...........bunda kumekucha viongozi njaa wote wameumbuka ........ndio mana mshindi wa kwanza kakimbilia ccm hakuwa na mpango wa kugombea bali kuuza jimbo pumbavu zakeeee.....angehamia act ningejua alikua na nia na jimbo
 
kamati kuu ya lowassa ni vichaa, huwezi kuacha mtu aliyejenga chama hapo bunda miaka mitatu alafu wakupe wewe esyth uliyekuja juzi toka ccm jimbo-ni kosa..shida ya yule(wewe) dada ni kudandia dandia tu, sasa ccm kakimbia chadema bunda ukweli umejulikana zile ligi za mpira, bulaya cup hakuna kitu jiandae kushindwa, pius aliona bora aende timu ya ushindi.....bulaya hapati asilimia 7% na ni aibu kwa kamati kuu kudharau wananchi
bila shaka wewe ni kati ya waliotimuliwa .
 
mkuu KAMATI KUU SIYO VICHAA , hawa walipanga njama na wasira apite bila kupingwa , baada ya kustukiwa wametimuliwa na wala hawajajiuzuru kama mleta uzi anavyodanganya .
KAMATI KUU NI VICHAA, mnawaamini watu wenye uwezo mdogo sana. Mabavu yamezidi, sasa wanachama wanabaini Chama ni cha Familia mbaya zaidi washauri ni kina Yericko wanaoshinda mitandaoni...wananchi hawajui mambo yenu ya JF.
 
huna lolote mkuu , mawasiliano yenu na wasira tumeyanasa na tumewatimulia mbali , wasaliti wakubwa nyie !

Bunda bado ni ngome ya CCM hata kama Bulaya angeshinda kura za maoni kupitia chadema asingechukua jimbo
 
Chadema kuna sehemu tutabugi tusifanye utani


Tubugi mara ngapi, sasa hivi chama hakipo, tuna tasisi mbili, Mbowe na Lowassa maana sasa hivi hakuna anyeangalia chama, chama kitarudi baada ya uchaguzi. Hawa wachache wanaondoka sasa hata baada ya uchaguzi hawatarudi, na wale wengi waliomfuata Lowassa baada ya uchaguzi wataondoka.
 
hao waliotoka ndio wale waliopewa fedha na wasira .........huu mpambano wa ester na wasira ni hatariiiii...........bunda kumekucha viongozi njaa wote wameumbuka ........ndio mana mshindi wa kwanza kakimbilia ccm hakuwa na mpango wa kugombea bali kuuza jimbo pumbavu zakeeee.....angehamia act ningejua alikua na nia na jimbo

hakuna mpambano wa msimbe wenu bunda, yaani esther ni taka hivi sasa, kila kona bunda akipita anazomewa tu tangu jana.....el-ninyo inakuja kuwabeba na dhambi ya ubaguzi chadema....esther hawezi ongea dk 2 bila zomea zomea na usimbe hautakiwi bunda
 
Sasa kweli Nani mwenye Njaa..Hii picha ya Bulaya Ktk ofisi ya CHADEMA Bunda ni kama picha ya Hofu na Msiba Fulani....atakuwa anajuta "hivi huku nimekuja kufanya nini kustaili aibu Hii"


View attachment 278745

View attachment 278746

View attachment 278747

profilepic 2015.JPG

View attachment 278748
 
Jiulizeni ni wasira au ccm ndio imewachagulia wagombea ? nyinyi bado mmelala chadema imeuzwa hakuna katiba wala taratibu.Edo kanunua kila kitu mnaweza kaeni hamuweziondakeni Mbowekeshawuza kwa bei ya jumla.
 
Mamluki kutoka CCM watatuulia Chama tuwe makini na mtandao wa stven wassira jamani. Tumepata mkombozi halafu tunahadaika please tutulie makamanda

Wenye akili walishastuka hili deal la hama hama, Lipumba na Slaa walishasoma huu uchafu wakapisha, ila nyie mlilewa viroba, sasa pombe imewatoka mnalia.
Never vote for UKAWA.

Siyo Wasira tu hata Lowasa, Msindai na n.k
 
Bunda bila wasimbe inawezekana! Pius ndiyo alikuwa Chagua la Mungu, Esther Bulaya Musimbe

Naona unaangaika na hilo sokwe....Bunda mbunge wetu ni Esther Bulaya huyo sokwe ajiandae kurudi polini kuishi na sokwe wenzie.....
 
Back
Top Bottom