Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nashindwa kuelewa ni jinsi gani chadema wanaweza wakang'ara Bungeni tena bila ya Zito Kabwe kwa maana Zito ndiyo pekee aliyekuwa analeta hoja nzito, za kufikirisha na zenye maana hasa kwenye mambo ya upotevu wa fedha za Serikali!
Zito Kabwe ndiyo Mbunge pekee wa Upinzani anayeelewa mambo ya Madini na Gesi, ndiye pekee anayeweza kusimama akaelezea kitu kuhusu haya mambo (Madini na Gesi) ukamsikiliza na kuondoka (ukajifunza) kitu ktk kwake na, ndiye pekee aliyoifanya chadema ing'are hapo mwanzoni ktkna na hoja zake zilizoenda Shule!
Sasa leo hii hayupo chadema ni nani atavaa viatu vyake? Kwa maana waliobakia wote kama Tundu, Mnyika ni wanaharakati tu na watu jazba na matusi lkn hakuna chochote wanachokinena ambacho Serikali yetu inaweza kukipa umakini!
Watakaobisha nawaomba mnitajie jambo moja ambalo Mwanaharakati Tundu amewahi kuleta Bungeni na likapewa umakini na Serikali yetu!
Tundu anachojua ni matusi tu kama kumtukana Mlm.Nyrere, Raisi Kikwete, Mkapa na sasa Raisi Magufuli hata fisadi Lowasa mwenyewe ashawahi kuwa mhanga wa matusi ya mwanaharakati Tundu!