Ki ukweli siasa ina maajabu yake ningetamani hawa wanasiasa wawili Zito na Dr slaa wafanye kazi pamoja bahati mbaya wamehitilafiana sana.No one is indispensable, hivi kuna mwanasiasa mahiri hapa nchini kuliko alivyokuwa the late Mwl Nyerere? Alipofariki kuna waliodiriki kusema nchi itasimama, hata kutangaza kifo chake ilikuwa issue!!, ndiyo ije kuwa Zitto? Je Zitto anamzidi Dr Slaa? mbona tayari Slaa ameshaanza kusahaulika?
Naamini utendaji wao wakiwa pamoja ungeleta maana kubwa sana.