PreGE2025 CHADEMA bado wana nafasi kushiriki uchaguzi...!

PreGE2025 CHADEMA bado wana nafasi kushiriki uchaguzi...!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakuna uchaguzi hapo, hivyo vyama vinaenda kupigwa kitu kizito
Vipigwe na na nani wakati vyama vyenyewe vyote vimebemendwa wala safari hii hao viongozi hawapewi hata sent tano kwasababu uchaguzi utakuwa huru na haki kura zitahesabiwa sehemu nyeupe kabisa atakaye shindwa anajiona sasa apewe hongo ya nini yaani ulaji ziro mwaka huu vyama vya mchongo.
 
Back
Top Bottom