PreGE2025 CHADEMA bado wana nafasi kushiriki uchaguzi...!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

gango2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
1,958
Reaction score
2,286
Ni mapema sana kusema CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kwa kutokushiriki utiaji saini wa kanuni za maadili ya uchaguzi wa 2025 uliofanyika leo tar 12 April.

Tarehe hii haipo kisheria na hakuna mahala inasema utiaji sahihi ufanyike muda gani kabla ya mchakato wa uchaguzi. Ingawa nina wasiwasai utiaji sahihi huu lazima ufanyike kabla ya mchakato wa uchaguzi haujaanza

Hivyo endapo kutakuwa na maelewano baina ya Chadema, na Tume ya uchaguzi kabla ya mchakato wa uchaguzi au muda uliowekwa basi watasaini.
 
We kwl ni zombie, mkurugenzi wa uchaguzi atangaze halafu we ngumbaru ni nani
 
Ni mapema sana kusema CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kwa kutokushiriki utiaji saini wa kanuni za maadili ya uchaguzi wa 2025 uliofanyika leo tar 12 April.

Tarehe hii haipo kisheria na hakuna mahala inasema utiaji sahihi ufanyike muda gani kabla ya mchakato wa uchaguzi. Ingawa nina wasiwasai utiaji sahihi huu lazima ufanyike kabla ya mchakato wa uchaguzi haujaanza

Hivyo endapo kutakuwa na maelewano baina ya Chadema, na Tume ya uchaguzi kabla ya mchakato wa uchaguzi au muda uliowekwa basi watasaini.
Kwani kuna uchaguzi wa maana wakutia mtu wasi wasi kweli? Uchaguzi bila reforms ni upotevu wa pesa za walipa kodi.
 
Ni mapema sana kusema CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kwa kutokushiriki utiaji saini wa kanuni za maadili ya uchaguzi wa 2025 uliofanyika leo tar 12 April.

Tarehe hii haipo kisheria na hakuna mahala inasema utiaji sahihi ufanyike muda gani kabla ya mchakato wa uchaguzi. Ingawa nina wasiwasai utiaji sahihi huu lazima ufanyike kabla ya mchakato wa uchaguzi haujaanza

Hivyo endapo kutakuwa na maelewano baina ya Chadema, na Tume ya uchaguzi kabla ya mchakato wa uchaguzi au muda uliowekwa basi watasaini.
Hakuna uchaguzi hapo, hivyo vyama vinaenda kupigwa kitu kizito
 
Ni mapema sana kusema CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kwa kutokushiriki utiaji saini wa kanuni za maadili ya uchaguzi wa 2025 uliofanyika leo tar 12 April.

Tarehe hii haipo kisheria na hakuna mahala inasema utiaji sahihi ufanyike muda gani kabla ya mchakato wa uchaguzi. Ingawa nina wasiwasai utiaji sahihi huu lazima ufanyike kabla ya mchakato wa uchaguzi haujaanza

Hivyo endapo kutakuwa na maelewano baina ya Chadema, na Tume ya uchaguzi kabla ya mchakato wa uchaguzi au muda uliowekwa basi watasaini.
Maelewano na wahuni? Hakuna kitu kama hicho wasuse

View: https://www.instagram.com/p/DIWUk3xIQkA/?igsh=MTdobG52NnE4MjQwMQ==
 
Ni mapema sana kusema CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kwa kutokushiriki utiaji saini wa kanuni za maadili ya uchaguzi wa 2025 uliofanyika leo tar 12 April.

Tarehe hii haipo kisheria na hakuna mahala inasema utiaji sahihi ufanyike muda gani kabla ya mchakato wa uchaguzi. Ingawa nina wasiwasai utiaji sahihi huu lazima ufanyike kabla ya mchakato wa uchaguzi haujaanza

Hivyo endapo kutakuwa na maelewano baina ya Chadema, na Tume ya uchaguzi kabla ya mchakato wa uchaguzi au muda uliowekwa basi watasaini.
KAILIMA RAMADHANI NI MWIZI MZOEFU WA KURA NA NDIO ALISAIDIA CCM MWAKA 2015 ILIPOKUWA INAELEKEA KUSHINDWA UCHAGUZI
 
Uchaguzi umekuwa ni wa Vyombo vya Dola MaDC maRC

Lissu anasema huu sio UCHAGUZI huu ni UCHAFUZI kwahiyo tufanye Reforms kwanye sheria na mfumo wa Uchaguzii.
 
Shida sio CM Kushinda. Shida ninkwamba

CCM hawana uwezo wa kuongoza. Ni upigaji na ushikaji tu umezidi. Taifa linakua uchi mno. Hata aibu hamna.
 
Unasema "Bado Wana nafasi" na Kisha unakiri "ingawa Nina wasi wasi". Huu nao ni ukilaza
 
Back
Top Bottom