Chadema badilikeni!

Chadema badilikeni!

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,377
Reaction score
1,200
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.

Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!

Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
 
'Hitimisho wananchi tukae chonjo na CCM kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu"
 
Huna akili, polisi waue kwa amri ya CCM useme Chadema, kajipange hatudanganyiki. ushindwe tena ulegee
 
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.

Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!

Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
Mvaa Tai is trying Delete this thread!
 
Wafuasi na wanachama wa CHADEMA wanapenda kusifiwa badala ya kuambiwa ukweli. Kwetu sisi, TUTASEMA KWELI DAIMA
 
Sasa ukweli gani uliousema wewe, endeleeni kujidanganya CDM ndo chama kubwa kwasasa TZ na mnavyozidi kuua raia wasio na hatia ndo mnapotea kabisa ccm
 
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.

Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!

Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
Naona upo kwenye club za gongo ndio glass ya ngapi?
 
Wafuasi na wanachama wa CHADEMA wanapenda kusifiwa badala ya kuambiwa ukweli. Kwetu sisi, TUTASEMA KWELI DAIMA

Sasa Kinakuuma nini? Ningewaona wa Maana kama Mngekiacha CDM kijifie zake lakini kutwa Mko hapa mkieneza Propaganda ambazo most of the time zimewageka

Damu ya Mwangosi itawafuata kokote mliko
 
Waliofunga NDOA na CCM mna kazi kweli kweli hata walioenda shule hawa ambiwi, hwasikii na hawaoni, any way Kipenda Roho ...............
 
Mkuu mbona unajiuwa
CCM kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ
 
kama genge la wapiga porojo linaitishia serikali makini hapo kuna walakini.
na kama genge la wapiga porojo linakubalika kila mahali ujue hilo ni jina ulilowabandika kama kumwita mwanao waziri wakati hata shule hujampeleka.
na kama serikali makini inashindwa kuwaambia wananchi wake kuwa hilo ni genge la wahuni na wakaisikiliza ujue hiyo ni serikali ya genge la wahuni.

karibu sana mafilili.
kambi za vijana huko misigiri zinaendeleaje?
 
Mafilili, Kwani Chadema ilishakuwa na mvuto lini kwako? Kama siyo unafiki tu. Labda ututhibitishie.
 
Wewe wenyewe ni mjinga utakiwa kurudi darasan umetumwa na wahuni wenzako ccm?
 
umenichekesha sana hapo kwenye red, mwezi mchanga huu machizi wote tutawajua!

CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.

Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!

Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
 
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki! Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
Siamini macho yangu, kumbe Mbeya nayo ni source ya ZYAPUNGAs. Pumba zinatemwa kwa kwenda mbele!.. Hata maisha ya nduguzo yakiwa hatarini bado unaendelea kutetea wauaji! ..Siku hizi CDM inamiliki silaha? Serikali iko wapi wakati silaha hizi zinatumika? Mwangosi kauawa kwa bomu la CDM? Dr. Ulimboka alipigwa na CDM? Mwakyembe na Mwandosya walikuwa poisoned na CDM? MAFILIFILI NI JANGA LA MBEYA!.
 
Wananchi mlio makini si wewe, ritz na zomba ambao mnaongoza kwa pumba humu jukwaani?
 
Mikusanyiko yote CHADEMA hufanya kwa amani,isipokuwa pale tu ambapo polisi huingilia kati kuleta vurugu.
Hivyo,ni polisi ndio wa kulaumiwa kwa kusababisha vurugu,jambo ambalo huagizwa na serikali ya CCM.
 
ndio matatizo ya nyinyiemu kuweka akili masaburini.....hizi pumba zako ndo unataka kumlisha nani we kilaza?hata kama mliwanyima watu elimu ili muwatawale kwa propaganda dhaifu kama hizi mmeshindwa,damu ya kamanda Mwangosi itawachapa popote mtakapokuwa!!!!
 
Kawaaambie ukweli hao waliokutuma. Wewe na familia yako kuwa chonjo na Chadema ila usitushawishi kuwa chonjo na Chadema kwani tunaijua Chadema vizuri kuliko pumba zako zilizokujaa kichwani. Kafilie mbali na CCM yako tena wewe utakufa kifo kibaya kuliko hata hao waliouwawa na polisi kwenye mikutano kwani watu wanauwawa wewe unaleta upumbavu.
 
Back
Top Bottom