Chadema badilikeni!

CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.

Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!

Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu

You can not be strong by weakening the strong. Hata hivyo umakini wako mbona hujauonyesha? Umebakia kupayuka tu. Nchi imekuwa haitawaliki kwa muda mrefu tu. Tangu CCM ilipobadilisha hati miliki ya chama toka kwa Wakulima na Wafanyakazi kwenda kwa mfumo-fisadi na ndugu zake.Wanachama wa kawaida wamebakia kula pilau na kupewa vikanaga na vitisheti tu huku wenye hati miliki ya CCM wakila nchi raha mustarehe. Kwani wewe unaishi katika nchi gani?
 
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.

Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!
Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu

Mkuu, kwa asili, wa TZ wengi ni watu wasiopenda vurugu, na zaidi wanachukia mauaji. Kama kweli hivi ndivyo walivyo wa Tz, basi hakuna sababu ya kukihofia CDM.
Watu wote mlio makini kama wewe, na ninaamini ndivyo mlivyo wa Tz wengi, basi CDM kitajifia kifo cha ghafla na si taratibu hususan baada ya kujikaanga chenyewe kama ulivyodai.

Lakini iwapo vurugu hizo unazozisema hazitokani na CDM, basi mkuu unajidangaya, na hao "makini" yawezekana ukawa ni wewe na wengine wachache lakini si wa-Tz wote kama ulivyosema.
 
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.

Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!

Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu

Je wanawaza nini kama wao wakija kushika uongozi wa nchi hii mwaka 2015? Maana apandacho mtu ndicho atakachovuna!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mafilili unasema nchi yangu, na we una nchi?.0oh cdm wanaleta fujo acha ushamba watu wa mbeya sio wa shamba km wewe. Ndugu zako wanateswa na ccm we bado unashabikia. Dr ulimboka, mwangosi, mwakyembe.
 
Duh...! Mafilili tena, huwez zuia mafuriko (chadema) kwa beseni!

Ni kweli huwezi kuzuia mafuriko, lakini mafuriko yanayopita bila kuacha rutuba ya kuzalisha baada ya mafuriko ni mafuriko ya hasara!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu MAFILILI, mpenda amani maneno yako ni ya ujenzi nadhani Watanzania wapenda amani watafuata ushauri wako.
 
Last edited by a moderator:
Anataka thread yake nayo ichangiwe ndio maana ameiattack CDM lets speak facts hivi kati ya CDM na CCM nani ambae anajaribu mzuia mwenzake asifanikiwe? Binafsi naona ni CCM kwani kama kweli CCM/serikali haihusiki katika kuzuia maandamano ya amani kwanini polisi waingilie kwa mabomu?
 
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.

Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!

Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu

1. Wameongeza mvuto, maana wamefanikiwa hata kuwavutia polisi kutoka mikoa ya mbali na wanapofanya mikutano yao. Au labda polisi sio 'wananchi'.
2. Wameongeza mvuto kiasi kwamba hata Mafilili, Ritz na wengine wote hawakosi kuwakumbuka kila siku hapa JF. Maana, kitu kisicho na mvuto, huwezi kukikumbuka kila siku !!
 
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.

Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!

Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu

MAFILILI Watanzania wa leo sio wale wa kidumu chama cha Majangili, wana akili za kuchuja mambo na kufanya maamuzi, hivyo kajipange upya.
 
Mkuu Ritz! samahani, hivi unapo Support CCM pamoja na mambo yote ya kudhalilisha watu, ndani ya moyo wako unahisi amani au unapenda kuunga mkono hoja za kukipona CDM ili uonekane na wewe upo? Mateso yote, gharama za maisha, Usalama wa raia na mengineyo yanasababishwa na CCM. Naomba uwe makini na Ushabiki wako mkuu.
 
Sasa Kinakuuma nini? Ningewaona wa Maana kama Mngekiacha CDM kijifie zake lakini kutwa Mko hapa mkieneza Propaganda ambazo most of the time zimewageka

Damu ya Mwangosi itawafuata kokote mliko

even kuzimu lazima itawakost magamba nyie
 
Wafuasi na wanachama wa CHADEMA wanapenda kusifiwa badala ya kuambiwa ukweli. Kwetu sisi, TUTASEMA KWELI DAIMA

Kweli wewe mafilifili hadi kwenye ubongo wako! Mnafiki tu, hata ulichokiandika hukiamini! Wewe unajua maana ya ukweli?
 
Poor you, haya ndiyo yaliyokuwa yamepangwa tangu mwanzoni, mkutano ufanyike police wafanye vurugu,waue watu; halafu muwaambie wananchi kuwa;mnaona...CDM haifai. Kwa bahati mbaya kwenu yote yamewarudia. Kila mtu, na hata dunia imeona udhalimu wenu. Come up with another alternative.
 
Back
Top Bottom