CHADEMA asili mje tujadiliane, mliokuja na Lowassa piteni tu

CHADEMA asili mje tujadiliane, mliokuja na Lowassa piteni tu

Sana mwanangu mie mwenyewe nshawasoma na sahivi nafanya kazi moja tu ya kuwadhibiti mbowe na CDM masrahi yake popote nipitapo ..mpaka sahivi nimefanikiwa kufanya hii kazi maeneo mbalimbali na watu wameelewa na kuna mwanangu yuko hapo sikonge madukani ananambia akina Msellemi na Dorgan wameamua kuachana na Sera za mbowe tapeli ..tuko pamoja sana CDM orijino tushikamane tuwapinge wahuni wa mbowe

Yaani wametukatisha tamaa mie hamu sina nimebaki nawatazama tu.kutosa Dr slaa
 
Hahaha!! Utamsikia kikwete anweweseka ooohh! Hayo mafuriko siyo ya Lowassa ni ya Dr slaa mala oohh picha za kutengeneza Lowassa ni shidaaa!

Dr slaa alikwisha kamilisha kazi muache apumzike vijana wamalizie ale matunda

Kweli mkuu maccm yana weweseka
 
Mleta mada kwanini unatutenga watanzania kwani waliokuja na lowassa sio chadema? Ni tabia mbaya mno na acha mara moja kuwatenga tunatakiwa tuunganishe nguvu kumtoa ccm hata waliokuja na lowassa ni wanachama nao pia wamechukua kadi na kujiunga na chama rasmi hivyo siasa zako za maji taka peleka ccm.kwa mada kama hii utawapata hao unaowataka kwa manati kwakuwa haina mashiko ...watu wameamini ktk chadema na ukawa kwa ujumla .

Wewe vipi watu wamekitumikia chama kwa nguvu zote leo watupwe pembeni wachukuliwe wasiojua hata chama hapo kilifikaje usilete utani watu wana hasira
 
Wewe vipi watu wamekitumikia chama kwa nguvu zote leo watupwe pembeni wachukuliwe wasiojua hata chama hapo kilifikaje usilete utani watu wana hasira

Mwaka huu mtajifanya mnaipenda cdm,lkn subirini dawa iwaingie mwilini
 
we are just choosing the lesser evil. ukiwa jangwani na unajua utakufa kwa kiu na njaa ni busara kuanza kutembea hata kama hujui na huoni uendako.
 
Mmawia wapi we ni mangi.

Au unadhani kujiita mmawia ndio ionekane mpaka nanjilinji imefika hiyo Ngos yenu.
 
Unajua chanzo cha huo ugonjwa? Kama ni kipundupindu ilaumiwe ccm kwa kushindwa kuwaletea wananchi maji safi na salama tena mnatakiwa mkae pembeni ni aibu kusema dar inakipindupindu kwa msimu huu wa kiangazi, muone aibu basi, mmeshindwa kuweka miundo mbinu ya maji watu wa dar wanakunywa vinyesi af unaleta umbea hapa

Hembu Acha Ujinga Kwahyo Unavohx Kipindupindu Kinasababishwa Na Maji Pekee?
 
Siku za hivi karibuni neno mfumo limekua maarufu sana, hivi huwa lina maana gani hasa? Je chadema hawana mfumo? Na kama wanao ni mzuri au mbaya? Umepimwaje?
Aliyeanzisha chama ni Edwin Mtei na ndiyo mwasisi wa Chadema na ndio Mwenyekiti wa kwanza wa Chama hicho,

Mwenyekiti aliyefuata ni marehemu Bob Makani ambae alimuoa dada wa Mtei, na Mwenyekiti wa sasa Kamuoa mtoto wa Mtei ambae ni mwasisi na mwenyekiti wa kwanza wa chadema, sababu ya Zitto Zubeir Kabwe kutoka Chadema si aliutaka uenyekiti au siyo?

Kilicho mtoa Dr. Wilbroad Slaa kwenye ugombea si ni huo huo mfumo ama nini? sasa napata shida huu wimbo wenu unaoimbwa kila siku wa mfumo!
Watu wanachaguliwa kwa kura za Maoni halafu wanasimamishwa watu ambao hata majina yao hayakuingia kwenye Mchakato wa kupigiwa kura za maoni!

Watus walioshika Nafasi ya 3 na ya 4 kwenye Mchakato wa Kutafuta Wagombea katika kura za maoni nao wamechaguliwa na kukata walioshinda Huu Mfumo ni kitu gani hasa ambacho hawa Jamaa pioneers wa Mabadiliko ambayo ukiwauliza Mabadiliko gani mnayoyataka hawayajui!

Mnatakaw kuubadilisha Mfumo je mnataka kuleta Mfumo upi? Mfumo wa Mwenyekiti kumpitisha Demu wake awe Mgombea wa Ubunge viti Maalum bila Kupingwa? Ama nini?

Huko Mara wanasema wamepambana mno kukijenga chama wakamchagua Mtu ambae walikuwa na Imani nae wanashangaa Kuletewa jina la Mtu ambae hawakumchagua kwenye Kura zao za Maoni, Mtu ambae amejiunga na Chama Wiki mbili zilizopita tu??

Mfumo ni nini hasa?
Naomba wazee wa Tafakuri Mje mnisaidie katika Hili!

Tupo pamoja kiongozi
 
Hawa wahuni wameuza chama chetu lakini wasubiri aki ya nani malipo watayapata mda si mrefu ..hawawezi kutuchezea akiri alafu wategemee mbeleko, tutahakikisha jahazi lao linazama kwa kila njia na namna na hapo ndo wataisoma ya CCM ..ujuaji wa mbowe unafika mwisho na ufamilia wao kwenye chama ..tutamwonesha mtei ili atambue pesa zetu za kodi ya kadi kwa kila mwaka na michango yetu binfsi ndo ilikifanya chama kufikia hapo na wala si kwa mbwembwe zao
hata wewe!
 
Hawa wahuni wameuza chama chetu lakini wasubiri aki ya nani malipo watayapata mda si mrefu ..hawawezi kutuchezea akiri alafu wategemee mbeleko, tutahakikisha jahazi lao linazama kwa kila njia na namna na hapo ndo wataisoma ya CCM ..ujuaji wa mbowe unafika mwisho na ufamilia wao kwenye chama ..tutamwonesha mtei ili atambue pesa zetu za kodi ya kadi kwa kila mwaka na michango yetu binfsi ndo ilikifanya chama kufikia hapo na wala si kwa mbwembwe zao

CCM kazini
 
mmawia huyo ni kamanda mwenzako. au umemsahau rweye? nashangaa unamtukana as if humjui kuwa ni mwanachama mtiifu mwenzako kama wewe!

Mkuu muangalie kigwangala anataka kuzuia mafuriko kwa ulimi eatv
 
Back
Top Bottom