CHADEMA asili mje tujadiliane, mliokuja na Lowassa piteni tu

Chadema ni chama chetu jmn tuacheni watu wa arusha ndo wko na aakili nchi mlobaki wote mapungwani tu wacha tuongoze nchi iwe mfano

Hujitambui, huenda hujui hata jinsia yako, pole sana
 
The Tomorrow People

Mleta mada kwanini unatutenga watanzania kwani waliokuja na lowassa sio chadema? Ni tabia mbaya mno na acha mara moja kuwatenga tunatakiwa tuunganishe nguvu kumtoa ccm hata waliokuja na lowassa ni wanachama nao pia wamechukua kadi na kujiunga na chama rasmi hivyo siasa zako za maji taka peleka ccm.kwa mada kama hii utawapata hao unaowataka kwa manati kwakuwa haina mashiko ...watu wameamini ktk chadema na ukawa kwa ujumla .
Unaelewa maana ya ULIPO TUPO? Magufuli for president #HapaKaziTu
 
Igwe wana JF!

Sasa ule mpasuko uliokuwa ni tetesi ndani ya CHADEMA, kati ya Chademalowassa na Chademaasili sasa ni dhahiri. Hii imetokana na maelekezo kutoka ofisi ya mikocheni kuwatenga baadhi ya makada wa chademaasili, imeagizwa hivi wasivuliwe nyadhifa zao bali waachwe ila wasishirikishwe kwenye mambo muhimu ya chama.

Chanzo cha kuaminika ndani ya chama kimethibitisha pasi na shaka Mnyika,Kubenea,Kagaila,Mdee,Katambi na wengine wengi kwenye kanda za chama hawapo kwenye ''shopping list'' ya Lowassa katika kuelekea kuisuka CHADEMA mpya. Makada hao kwa sasa wanaonekana ni hatari kwa sababu imegundulika hata sasa bado hawajamkubali Lowassa asilimia 100.

Habari nyingine ni kuwa Ben Saanane,Yeriko Nyerere sasa rasmi ndani ya kundi la 4U hii ni baada ya kuomba msamaa na kukiri makosa kwa kumtukana Lowassa akiwa CCM haikuwa kazi rahisi kwani ilimbidi Mbowe kuwatetea kwa ushahidi wa jinsi walivyoshiriki kufanya propaganda za kumsafisha na kuficha madhaifu yake kupitia mtandaoni na vijana hao walikuwa na msaada mkubwa kwa Mbowe hasa kupambana na mahasimu wa Mbowe kisiasa,Mfano mzuri ni jinsi walivyomwandama Zitto na Dr.Slaa mitandaoni kwa manufaa ya Mbowe.

Kuna mpango kabambe ambao unahusisha kugawa laptop kwa vijana wa kutosha mitaani na vyuoni kufanya propaganda. Imebainika kuwa Mzee amewapa scholarship Yeriko na Ben katika masomo yao kama moja ya motisha katika kazi yao mpya.

Chanzo chetu pia kimetudokeza kuwa Tundu Lissu ni paka na chui na katibu mkuu wa chadema Dr.Mashinji, wamekuwa wakitupiana maneno na mara kadhaa Lissu ameapa kutofanya kazi na Dr.Mashinji kwa kumbeza kuwa ni ''mchanga katika chama na amebebwa''.

Mkakati mkubwa sasa ni kumtumia Salum Mwalim ambaye alipopewa maelekezo ya kuratibu mambo ya Lowassa hakuwa na kinyongo ambaye amepachikwa jina la ''Simba wa vita'' na Mh.Lowassa.

Pia imedokezwa kuwa kutakuwa na mabadiliko makubwa katika idara ya habari na mawasiliano ili kuendana na mahitaji ya taasisi ya Chademalowassa.

Pamoja na mengine baadhi ya wabunge walioonekana kutaka kuhudhuria mkutano wa Zitto Kabwe akiwemo Mdee wamekufa moyo, wamekielezea kitendo hicho kama siasa mpya za ''uzandiki'' ndani ya Chadema.

Wengi wanabaki na swali gumu je muundo huu mpya hautabeba tawira ya muundo wa CCM ulivyokuwa mwanzo. Je Vijana machachari Kama Heche,Waitara ambao walisimamia misingi watakuwa tayari kucheza ngoma hii mpya?

Ninaomba wanaopinga watoe hoja na sio matusi ila kwa wale CHADEMA asili huu ndio mpango mpya na haitaruhusiwa kwa mwanachama yeyote kutamka neno fisadi ndani ya chama.
 
Hata kwenye ziara walizopanga CHADEMA za kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano wanayozuga na kuiita ya hadhara na ndani nchi nzima wakati ukweli ni kuwa ni mikutano Ya kuwatambulisha wamiliki wapya wa chama Lowasa, Sumaye na Mashingi CHADEMA asilia wametupiliwa mbali hawamo katika hiyo mizunguko.Kuwaacha huko si kwa bahati nmbaya pia ni njia ya kuanza kuwatenga kipesa sababu wangekuwa kwenye hiyo mizunguko wangepata pesa za posho za safari.
 
Nimeona mkuu, Ben Saanane ameanza kazi kwa kumponda msemaji Wa CCM, Christopher Ole Sendeka. Ben amesahau kuwa elimu ya Ole Sendeka , Mwenyekiti wake Wa Chama hanayo na hatakaa aipate
 
Bilioni 10 tu zimetosha kuinunua taasisi ya Umma. Acha Lowassa aitwe FISADI.
 
Mchawi mpe mtoto akulelee. LOWASSA anachokitafuta CHADEMA ni FAIDA, mtaji wake ulikuwa ni kutafuta KUSAFISHWA hilo lilishafanyika. Madaraka sijui ninii sasa ni FAIDA tu
 
Tena FAIDA yenyewe anaipiga kwa kasi ya hatari, Leo eti James Millya ndiye anayepeleka hoja Binafsi kumuondoa Naibu Spika? Tehe tehe tehe.
 
Igwe wana JF!

Sasa ule mpasuko uliokuwa ni tetesi ndani ya CHADEMA, kati ya Chademalowassa na Chademaasili sasa ni dhahiri. Hii imetokana na maelekezo kutoka ofisi ya mikocheni kuwatenga baadhi ya makada wa chademaasili, imeagizwa hivi wasivuliwe nyadhifa zao bali waachwe ila wasishirikishwe kwenye mambo muhimu ya chama.

Chanzo cha kuaminika ndani ya chama kimethibitisha pasi na shaka Mnyika,Kubenea,Kagaila,Mdee,Katambi na wengine wengi kwenye kanda za chama hawapo kwenye ''shopping list'' ya Lowassa katika kuelekea kuisuka CHADEMA mpya. Makada hao kwa sasa wanaonekana ni hatari kwa sababu imegundulika hata sasa bado hawajamkubali Lowassa asilimia 100.

Habari nyingine ni kuwa Ben Saanane,Yeriko Nyerere sasa rasmi ndani ya kundi la 4U hii ni baada ya kuomba msamaa na kukiri makosa kwa kumtukana Lowassa akiwa CCM haikuwa kazi rahisi kwani ilimbidi Mbowe kuwatetea kwa ushahidi wa jinsi walivyoshiriki kufanya propaganda za kumsafisha na kuficha madhaifu yake kupitia mtandaoni na vijana hao walikuwa na msaada mkubwa kwa Mbowe hasa kupambana na mahasimu wa Mbowe kisiasa,Mfano mzuri ni jinsi walivyomwandama Zitto na Dr.Slaa mitandaoni kwa manufaa ya Mbowe.

Kuna mpango kabambe ambao unahusisha kugawa laptop kwa vijana wa kutosha mitaani na vyuoni kufanya propaganda. Imebainika kuwa Mzee amewapa scholarship Yeriko na Ben katika masomo yao kama moja ya motisha katika kazi yao mpya.

Chanzo chetu pia kimetudokeza kuwa Tundu Lissu ni paka na chui na katibu mkuu wa chadema Dr.Mashinji, wamekuwa wakitupiana maneno na mara kadhaa Lissu ameapa kutofanya kazi na Dr.Mashinji kwa kumbeza kuwa ni ''mchanga katika chama na amebebwa''.

Mkakati mkubwa sasa ni kumtumia Salum Mwalim ambaye alipopewa maelekezo ya kuratibu mambo ya Lowassa hakuwa na kinyongo ambaye amepachikwa jina la ''Simba wa vita'' na Mh.Lowassa.

Pia imedokezwa kuwa kutakuwa na mabadiliko makubwa katika idara ya habari na mawasiliano ili kuendana na mahitaji ya taasisi ya Chademalowassa.

Pamoja na mengine baadhi ya wabunge walioonekana kutaka kuhudhuria mkutano wa Zitto Kabwe akiwemo Mdee wamekufa moyo, wamekielezea kitendo hicho kama siasa mpya za ''uzandiki'' ndani ya Chadema.

Wengi wanabaki na swali gumu je muundo huu mpya hautabeba tawira ya muundo wa CCM ulivyokuwa mwanzo. Je Vijana machachari Kama Heche,Waitara ambao walisimamia misingi watakuwa tayari kucheza ngoma hii mpya?

Ninaomba wanaopinga watoe hoja na sio matusi ila kwa wale CHADEMA asili huu ndio mpango mpya na haitaruhusiwa kwa mwanachama yeyote kutamka neno fisadi ndani ya chama.
chademalowasa ndo habari ya muji...uoni hata pendekezo la kumtoa NS limepelekwa na millya ambaye alikuwa ni kijana wa mzee tangu zamani alienda upinzani baada ya kuambiwa Rais (mzee wake) awezi kutoka kaskazini.
kwa io sasa hivi ni CCM vs Chademalowassa awa wengine pita kureeeeee
 
Usitegemee kupata msaada wowote wa mawazo sana sana utaambulia matusi ambayo wala hayawezi hata kukuchania nguo uliyovaa leo hii.
 
Back
Top Bottom