CHADEMA asili mje tujadiliane, mliokuja na Lowassa piteni tu

CHADEMA asili mje tujadiliane, mliokuja na Lowassa piteni tu

Ni kipindupindu type ipi hicho lete ushahidi?

Kwahyo Hzo Media Zote Znazotangaza Na Kurusha Hzo Habar Zinadanganya?Watanzania Tunaenda Wap,siasa Hz Zinatufanya Kuziba Masikio Na Kutoamini Jambo Lolote La Muhimu Linaloendelea Nchini Kwel?Kijana Mwenzang Siasa Zpo Na Ztaendelea Kuwepo Na Hata Wew Ulizkuta,hvo Zisikufanye Usifuatilie Mambo Ya Muhimu Ya Nch Yako
 
Kwa ufupi mlichanganya madesa mlidhani na CDM ni kama ccm kwamba ukikaa sana ndani ta chama hata kama huuziki uwekwe tu kwa kuwa kuna goli la mkono eeee mmechemsha ndugu zangu nyie ni wa muhimu lkn si lazima muwe viongozi nitawauliza swali - kopo la chooni ni muhimu sana kwa nafasi na eneo lake je nalo likisema limekaa sana chooni hivyo linataka kuja mezani libadilishane na kikombe cha chai itakuwaje? Acheni ulaghai!

hata KANU kule kenya walisemaga hivyohiyovo
tunafurahi kwa sababu Mungu kawapa upofu
 
hivi nyie cdm mbowe mnachojua ni kutukana tu. hebu sasa sema hii, nilikua sijawahi kuisikia..kwamba mke wa mareh makani ni dada wa mtei. duh cdm kumbe ni ushemeji na ukwe kila kitu!

..kumbe ulitaka uolewe wewe,sasa ulichelewa wapi siku zote.? jilaumu mwenyewe kwa uzembe wako.
 
Scurf nshaitia moto, kadi nshaimwagia petrol na katiba yao nshaichana ..nawatizama vizuri sana na tutawaharibia mpaka wajione machoko

Wewe ni sawa na punje moja LA Hindi kwenye gunia LA mahindi,hata ukianguka kwa bahati mbaya mbebaji hawezi shituka
 
Sitaki kujua...ondoa maccm kwanza then tutanyooshana badae
 
Rweye na The Tomorrow People, hebu tafakarini hii...mtu unatoka nyumbani kwako unaaga kwamba unaenda kazini. Ukifika huko unaukuta ukuta. Haraka haraka unavua shati unaanza kuusukuma ukuta. Unausukuma wee huo ukuta hadi unalowa jasho. Unaendelea kuusukuma ukuta wee hadi jioni inafika. Unavaa shati lako na kuanza safari ya kurudi nyumbani huku unanuka kijasho. Unafika nyumbani unaoga na kukaa tayari kwa mlo wa jioni. Baada ya mlo unaanza kuwasimulia uliowaacha nyumbani kazi ilivyokuwa kubwa, nzito na ngumu.

Kesho yake unaamka tena asubuhi na baada ya kupata chai unaaga uweze kuwahi kazini. Ukifika unaukuta ukuta bado uko pale pale. Unaanza tena kuusukuma ukuta. Unasukuma wee hadi unalowa jasho kama jana yake. Unaendelea kuusukuma hadi jioni na kuanza tena safari ya kurudi nyumbani. Basi kila siku inakuwa ni hivyo hivyo...kuaga asubuhi na kurudi jioni. Ni kweli kila siku unatumia nguvu nyingi lakini kwa waliosoma fizikia ni kwamba kama ukuta haukuweza kusogea hata inchi hakuna kazi iliyofanyika. Rweye na The Tomorrow People endeleeni kuusukuma ukuta...nawatakia kazi njema.

Kwa jinsi Chadema ilivyo sasa hivi Lowasa na genge lake (walio CCM na wengine washahamia Ukawa) wakishashika nchi, itakuwa ni ufisadi kwa kwenda mbele, wafilisi raslimali kiasi kwamba hata hiyo nguvu ya kusukuma ukuta tutakuwa hatuna.
 
Naam! Namuona Kamanda Lowassa anavyowapeleka ki science mtaa kwa mtaa raha sana. Jumamosi hapatoshi.

Mkuu maccm itabidi yazivunje screen zao kwa hasira maana hawata amini watakacho kiona,wakati wao wanatumia malori kuwadomba watu kwenda mikutanoni,kwetu watu wanajitolea
 
Mtoa mada kweli unaijua Cdm vizuri mm nilikuwa cjui kama Bob alimuoa dadake mwacc
 
Mkuu maccm itabidi yazivunje screen zao kwa hasira maana hawata amini watakacho kiona,wakati wao wanatumia malori kuwadomba watu kwenda mikutanoni,kwetu watu wanajitolea

Hahaha!! Utamsikia kikwete anweweseka ooohh! Hayo mafuriko siyo ya Lowassa ni ya Dr slaa mala oohh picha za kutengeneza Lowassa ni shidaaa!

Dr slaa alikwisha kamilisha kazi muache apumzike vijana wamalizie ale matunda
 
Hawa wahuni wameuza chama chetu lakini wasubiri aki ya nani malipo watayapata mda si mrefu ..hawawezi kutuchezea akiri alafu wategemee mbeleko, tutahakikisha jahazi lao linazama kwa kila njia na namna na hapo ndo wataisoma ya CCM ..ujuaji wa mbowe unafika mwisho na ufamilia wao kwenye chama ..tutamwonesha mtei ili atambue pesa zetu za kodi ya kadi kwa kila mwaka na michango yetu binfsi ndo ilikifanya chama kufikia hapo na wala si kwa mbwembwe zao

Natamani nikupe like Mara 7 safi sana
 
Back
Top Bottom