Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,261
- 98,288
Tatzo lenu wavivu wa kufikiri
Heri yako wewe husiye mvivu wa kufikiri uliyebaki ccm
Tatzo lenu wavivu wa kufikiri
Heri yako wewe husiye mvivu wa kufikiri uliyebaki ccm
Wewe endelea kufuata mkumbo utaona matokeo yake!
Mkumbo unafuata wewe,wenzio wanaobakia ccm ni watoto wa vigogo
Hebu achana na mimi tutaonekana wote hatuna akili hapa
Siku za hivi karibuni neno mfumo limekua maarufu sana, hivi huwa lina maana gani hasa? Je chadema hawana mfumo? Na kama wanao ni mzuri au mbaya? Umepimwaje?
Aliyeanzisha chama ni Edwin Mtei na ndiyo mwasisi wa Chadema na ndio Mwenyekiti wa kwanza wa Chama hicho,
Mwenyekiti aliyefuata ni marehemu Bob Makani ambae alimuoa dada wa Mtei, na Mwenyekiti wa sasa Kamuoa mtoto wa Mtei ambae ni mwasisi na mwenyekiti wa kwanza wa chadema, sababu ya Zitto Zubeir Kabwe kutoka Chadema si aliutaka uenyekiti au siyo?
Kilicho mtoa Dr. Wilbroad Slaa kwenye ugombea si ni huo huo mfumo ama nini? sasa napata shida huu wimbo wenu unaoimbwa kila siku wa mfumo!
Watu wanachaguliwa kwa kura za Maoni halafu wanasimamishwa watu ambao hata majina yao hayakuingia kwenye Mchakato wa kupigiwa kura za maoni!
Watus walioshika Nafasi ya 3 na ya 4 kwenye Mchakato wa Kutafuta Wagombea katika kura za maoni nao wamechaguliwa na kukata walioshinda Huu Mfumo ni kitu gani hasa ambacho hawa Jamaa pioneers wa Mabadiliko ambayo ukiwauliza Mabadiliko gani mnayoyataka hawayajui!
Mnatakaw kuubadilisha Mfumo je mnataka kuleta Mfumo upi? Mfumo wa Mwenyekiti kumpitisha Demu wake awe Mgombea wa Ubunge viti Maalum bila Kupingwa? Ama nini?
Huko Mara wanasema wamepambana mno kukijenga chama wakamchagua Mtu ambae walikuwa na Imani nae wanashangaa Kuletewa jina la Mtu ambae hawakumchagua kwenye Kura zao za Maoni, Mtu ambae amejiunga na Chama Wiki mbili zilizopita tu??
Mfumo ni nini hasa?
Naomba wazee wa Tafakuri Mje mnisaidie katika Hili!
mmawia huyo ni kamanda mwenzako. au umemsahau rweye? nashangaa unamtukana as if humjui kuwa ni mwanachama mtiifu mwenzako kama wewe!
Tupo pamoja kiongozi
mbowe bring back our doctor
Hapa sikonge tushapagawa maana juzi tumemuona nkumba kavaa gamba, nimegundua kuna mchezo wa wasaka tonge wanatumia fursa, sasa sichagui chama bali mtu tena anishawishi na ahad zinazopimika
Jibu hoja kwa hoja siyo matusi,
Kwa nini usiandike hoja nzuri ili Mimi ambayw sijui siasa nijue mkuu??? Au unataka nielewe hayo matusi???
Kwa ufupi mlichanganya madesa mlidhani na CDM ni kama ccm kwamba ukikaa sana ndani ta chama hata kama huuziki uwekwe tu kwa kuwa kuna goli la mkono eeee mmechemsha ndugu zangu nyie ni wa muhimu lkn si lazima muwe viongozi nitawauliza swali - kopo la chooni ni muhimu sana kwa nafasi na eneo lake je nalo likisema limekaa sana chooni hivyo linataka kuja mezani libadilishane na kikombe cha chai itakuwaje? Acheni ulaghai!