CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2008
Posts
482
Reaction score
131
Pamoja na zuio batili la polisiccm hapa Arusha.Tunapenda kusisitiza kwa wananchi wote wa jiji la Arusha kujitokeza kwa wingi kesho saa tatu eneo la Philips,maandamano yetu yapo pale pale.Kimsingi zuio la polisi ni BATILI na hawana mamlaka hiyo.CHADEMA tunatoa wito wa wananchi kujitokeza kwa kuwa maandamano haya ni halali kwa mujibu wa katiba ya nchi
Idara ya ulinzi ya chama(red bregade) imejiandaa vya kutosha kulinda waandamanaji wote,ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya kwanza.Vikosi vyetu vya ujasus na ulinzi,UKOMBOZI WA FIKRA 335,MAPAMBANO DAIMA,Mau Mau,pamoja na El Che Guevara 111 vipo tayari kwa mapambano,na ikibidi tutavitumia dhidi ya jeshi la polisi,na vibaraka wake.
Aluta continua
 
Arusha,Mbeya,Mwanza na Songea ni vitovu vya mageuzi nchini.Lazima waoneshe uongozi wao.
 
Pamoja na zuio batili la polisiccm hapa Arusha.Tunapenda kusisitiza kwa wananchi wote wa jiji la Arusha kujitokeza kwa wingi kesho saa tatu eneo la Philips,maandamano yetu yapo pale pale.Kimsingi zuio la polisi ni BATILI na hawana mamlaka hiyo.CHADEMA tunatoa wito wa wananchi kujitokeza kwa kuwa maandamano haya ni halali kwa mujibu wa katiba ya nchi
Idara ya ulinzi ya chama(red bregade) imejiandaa vya kutosha kulinda waandamanaji wote,ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya kwanza.Vikosi vyetu vya ujasus na ulinzi,UKOMBOZI WA FIKRA 335,MAPAMBANO DAIMA,Mau Mau,pamoja na El Che Guevara 111 vipo tayari kwa mapambano,na ikibidi tutavitumia dhidi ya jeshi la polisi,na vibaraka wake.
Aluta continua

Ondoa unafiki wako na uchochezi hapa.

Wewe ni kibaraka wa CCM na hivi vikosi unavyotaja ni uongo mtupu.Chadema haina majeshi na inalindwa na Mungu aliye juu.

Wao wana silaha na sisi tunamtegemea Mungu.
 
Usalama wanajipenyeza kutaja vikosi ambavyo CHADEMA haija wahi kuwa na navyo! Mwanachadema makini anayekijua chama, tena aliyeko Arusha hawezi kutaja vikosi ambavyo havipo kwenye mfumo wa chama.
 
Sidhani kama CDM wana tabia ya namna hiyo. Maandamano yanafanyika ya amani sio ya kupambana na polisi! Tunataka Uma utuelewe kwamba Rasimu ya tatu Katiba sio ya wananchi bali ya CCM. Chama hakina na hakitungi katiba, huu usanii wa Sita ni kiini macho tu wananchi teteeni haki zenu na hasa sisi vijana!
 
Pole sana! Hii habari yako ya kimagamba ungeipeleka redio uhuru! Tuache na chadema yetu!

Tutaelewana tu!
 
Pamoja na zuio batili la polisiccm hapa Arusha.Tunapenda kusisitiza kwa wananchi wote wa jiji la Arusha kujitokeza kwa wingi kesho saa tatu eneo la Philips,maandamano yetu yapo pale pale.Kimsingi zuio la polisi ni BATILI na hawana mamlaka hiyo.CHADEMA tunatoa wito wa wananchi kujitokeza kwa kuwa maandamano haya ni halali kwa mujibu wa katiba ya nchi
Idara ya ulinzi ya chama(red bregade) imejiandaa vya kutosha kulinda waandamanaji wote,ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya kwanza.Vikosi vyetu vya ujasus na ulinzi,UKOMBOZI WA FIKRA 335,MAPAMBANO DAIMA,Mau Mau,pamoja na El Che Guevara 111 vipo tayari kwa mapambano,na ikibidi tutavitumia dhidi ya jeshi la polisi,na vibaraka wake.
Aluta continua

Usalama wa nchi hii umefikia hatua hii kweli? Pumbavu kabisa, wote hovyo hovyo.....
 
Ondoa unafiki wako na uchochezi hapa.

Wewe ni kibaraka wa CCM na hivi vikosi unavyotaja ni uongo mtupu.Chadema haina majeshi na inalindwa na Mungu aliye juu.

Wao wana silaha na sisi tunamtegemea Mungu.
Mbona mnafarakana sasa?
 
Mwigamba na washenzi wenzie bado wanawaza kwa kutumia tundu la chooni.... mtuachie chadema yetu nyie
 
Usalama wanajipenyeza kutaja vikosi ambavyo CHADEMA haija wahi kuwa na navyo! Mwanachadema makini anayekijua chama, tena aliyeko Arusha hawezi kutaja vikosi ambavyo havipo kwenye mfumo wa chama.
Hivyo ni vikosi vyenu. Vipi mnavikataa? Ukiona machadema yamekujamyote humu basi ujue kuna siri kuu imefichuliwa. Mohamed Mtoi, Mungi, Molemo. Bado Crashwise ataingia soon
 
Pamoja na zuio batili la polisiccm hapa Arusha.Tunapenda kusisitiza kwa wananchi wote wa jiji la Arusha kujitokeza kwa wingi kesho saa tatu eneo la Philips,maandamano yetu yapo pale pale.Kimsingi zuio la polisi ni BATILI na hawana mamlaka hiyo.CHADEMA tunatoa wito wa wananchi kujitokeza kwa kuwa maandamano haya ni halali kwa mujibu wa katiba ya nchi
Idara ya ulinzi ya chama(red bregade) imejiandaa vya kutosha kulinda waandamanaji wote,ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya kwanza.Vikosi vyetu vya ujasus na ulinzi,UKOMBOZI WA FIKRA 335,MAPAMBANO DAIMA,Mau Mau,pamoja na El Che Guevara 111 vipo tayari kwa mapambano,na ikibidi tutavitumia dhidi ya jeshi la polisi,na vibaraka wake.
Aluta continua

hichi chama WAASI WA LIBYA
 
Hivyo vikosi mlivyovitaja nenda kamtajie mamayako mashenzi nyie..... Maandamano ya chadema siku zote ni ya amani, na dunia inajua hivyo!
Hayoooooo! Yameumbuka hayoooooo! Matusi ya nini kama hamjaguswa penyewe?
 
Mwigamba na washenzi wenzie bado wanawaza kwa kutumia tundu la chooni.... mtuachie chadema yetu nyie
Hahahahahahahaaaa! Sasa siri inaanza kufichuka. Kumbe Mwigamba ndo katia siri hii! Hongera sana Samson Mwigamba kwa kuwa mzalendo
 
Back
Top Bottom