CHADEMA Arusha kwatifuka

Baada ya kupata taarifa ya madiwani kuvuliwa uanachama sasa tunataka kuona reaction ya akina Mboya na wahuni wenzake. Walidhani CDM ni kama nccr iliyosambaratishwa na maneno
Mkuu, waangalie kwenye hicho video utagundua walikuwa wanatapatapa tu...

hii trick ya kununua madiwani wa CHADEMA itafutiwe dawa mapema

naona inakula sana, hapa magamba wameshika pabaya watu wana njaa

kuna tatizo sehemu tena kubwa madiwa wachunguzwa mienendo yao

wabunge mko wapi?

Kweli kabisa mkuu.

Lema ndiye ameleta matatizo au ni hao madiwani wanafiki waliorubuniwa Chama cha Magamba?
Niliwauliza swali hili jana, kuwa Lema ni tatizo kivipi huwezi amini hawakuwa na jibu...mara anatugawa, mara amekula pesa ya kanisa..lol

Usani wa kijinga,maandamano gani hayo ya kipuuzi.chama kipo makini na kitasonga mbele.

Kwa mtu anayepata taarifa hizi za kutofautiana kwa madiwani wa chadema na uongozi wa juu wa chadema mjini Arusha, aweza fikiria kuwa chadema kipo ktk hali mbaya. Lakini in reality, mtu aliyepo hapa A town anajua mood ya wananchi against serikali ya chama cha mapinduzi.

Wananchi wamechoka na hawataki kabisa kusikia viongozi wa ccm.

Kwa mtu anayepata taarifa hizi za kutofautiana kwa madiwani wa chadema na uongozi wa juu wa chadema mjini Arusha, aweza fikiria kuwa chadema kipo ktk hali mbaya. Lakini in reality, mtu aliyepo hapa A town anajua mood ya wananchi against serikali ya chama cha mapinduzi. Wananchi wamechoka na hawataki kabisa kusikia viongozi wa ccm.

Hakuna tofauti wanasiasa wote ni waganga njaa kupitia kura zetu Arusha maendeleo huletwa na sisi wenyewe. KUVUA MAGAMBA=KUVAA MAGWANDA

Back
Top Bottom