Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,361
hiyo ni uhakika mkuu nanyaro,hapa kata ya themi watu wa ccm kama kina lobora wanaweka vikao usiku kupanga hayo mambo.
Sumu na wenzako nawajulisha kuwa hapa Arusha CHADEMA ni zaidi ya chama. Tunaifananisha na dini mpya ambayo waumini wake wana msimamo. Kama huamini njoo muda wa uchaguzi mdogo wa madiwani uta-prove.
BTW habari za hapo LUMUMBA vipi? Ushapata posho?
Hapa Lumumba mambo ni shwari kabisa na unakaribishwa sana CCM mkuu Arushaone. CCM ndiyo chama pekee ambacho kipo Tanzania nzima bila ya kubagua maeneo, kina mashina kila kona ya nchi, CCM ndiyo chama pekee ambacho hadi mtu wa chini kabisa anasikilizwa, CCM ndiyo chama pekee kisichokuwa na mmiliki wake, CCM ndiyo chama kilichofanikisha umoja wa nchi tulionao leo hii. Maendeleo unayoyaona leo hii ni jitihada za CCM.
Karibu sana.
naona huwezi kutofautisha kati ya TANU na CCM!!!!!!!!!So sad
Mh. Mwigulu amewashika pabaya kwa kweli. Mkisinzia ni Mwigulu, mkilala ni mwigulu, mkiamka ni Mwigulu, mkikaa ni Mwigulu, mkisimama ni Mwigulu, mkitembea ni Mwigulu, mkichuchumaa ni Mwigulu, mkila ni Mwigulu, mkinywa ni Mwigulu.
Na huu ni mwanzo tu! Bado mengi yanakuja. Kuliko kuendelea kuwalaghai wananchi ni bora muingie msituni mkashike bunduki ili tujue kabisa kwamba chama chenu ni kikundi cha waasi.
kikundi cha uasi chenye usajili wa kudumu serikalini?, kama ndivyo hivyo basi tatizo sio la kikundi tatizo ni la wenye serikali,na kama ni hivyo kikundi hakina uasi wowote ila mnaona kinataka kuwaharibia ulaji ndiyo maana mnakitungia hadithiKwa kuishabikia kwako CHADEMA, umeshindwa kutofautisha chama cha Siasa na kikundi cha waasi.
kikubwa acheni ujambazi na ugaidi ndio mtaonekana mpo makini
CCM Arusha ni sawa na kinyesi kinachotoa harufu kali mbaya.
Arusha ya leo sio ile ya juzi..chadema imechuja kutokana na fujo alizokuwa anaziendesha lema. Watu wameamka