Chadema Anzisheni Mradi wa Kuuza Magwanda

Chadema Anzisheni Mradi wa Kuuza Magwanda

good.tengeneza, foronya, mashuka, mapazia ,table mart .nk vitu vyenye naksh ya cdm.tuvamwe,
 
Ndugu Maitario,

Naomba kutofautiana kidogo na hili wazo lako ambalo hata hivyo nia yake ni njema kabisa. Umewaza kijasiriamali. Kuna hitaji la Magwanda unaliona na pana nafasi ya kutengeneza pesa. Tatizo ni jinsi ya kujua mwenye nia mbaya ni yupi katika wataonunua hayo magwanda. Magwanda haya yamekuwa TRADE MARK muhimu sana kwa hiki chama chenu kwa sasa. Lakini upo uwezekano wa mtu au watu kuyatumia vibaya magwanda hayo kama vile ambavyo majambazi huwa wanatumia vibaya sare za jeshi na sare za polisi.

Mimi naomba magwanda yaendelee kutolewa kwa umakini sana. In fact, kama ingewezekana, chama kiende Brella na kusajili pattent mtu akijishonea hovyohovyo kichochoroni apatikane na hatia ya kugushi nembo ya hiki chama chenu.
Bila hivyo, ipo siku kitatokea kikundi kifanye fujo kubwa sana kikiwa katika magwanda haya kwa lengo moja tu la kuchafua jina zuri la Chadema. Upo hapo?

Kulingana na jinsi nyakati hizi zilivyo, hili ni angalizo muhimu sana. Hongera mtoa wazo.
 
hivi hawa wamepita mgambo? Wapili kushoto ni martine shigela na watatu kushoto ni beno malissa.
401665_2200846761200_1848240359_1406641_387688023_n.jpg
hawana tofauti na mazezeta
 
hata mi nalihitaji sana sijui naweza kulipata wapi kwa hapa korogwe
 
Back
Top Bottom