Chadema anzisheni Chadema Charity’s #Convid 19

Whitesmith

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
454
Reaction score
635
Wakati viongozi wa Chadema walivyopoteza Uhuru wao kwa kufungwa kisiasa tulichanga 310Millions kutetea Uhuru ulioporwa kisiasa.

Iko wazi sasa Uhuru wetu unatakwa kupotezwa na ugonjwa hatari wa Covid 19, kwasababu hatuoni njia mbele yetu no wazi sasa, chama kitumie ushawishi wake tutapata zaidi ya Mabilion na tutaweza ongeza ventilator na PPE, nk

Chadema viongozi tengenezi solution msing'angania kutoa weaknesses za serikali kitu ambacho hakisaidii kabisa kunusuru maisha ya watu.
 
Waombe kwanza wakusaidie kurekebisha title kabla hawajaufuta
 
Tatizo la Tanzania mambo yanayohusu watanzania yamewekwa kisiasa sana na hakuna hata mtu anashtuka.

Tumeendekeza sana siasa kila mahali, hakuna siku CCM na CHADEMA/Upinzani watakaa meza moja kuzungumza masuala ya KITAIFA.

Tufikie hatua tupende nchi zaidi ya tunavyopenda siasa na madaraka.
 
Nyie miccm ndo mmetufikisha huku leo iweje mnalalamika???
Mnakumbuka Lema alipofungwa mlisema nini?? Yaone
 
Wakati viongozi wa Chadema walivyopoteza Uhuru wao kwa kufungwa kisiasa tulichanga 310Millions kutetea Uhuru ulioporwa kisiasa.

Iko wazi sasa Uhuru wetu unatakwa kupotezwa na ugonjwa hatari wa Covid 19, kwasababu hatuoni njia mbele yetu no wazi sasa, chama kitumie ushawishi wake tutapata zaidi ya Mabilion na tutaweza ongeza ventilator na PPE, nk

Chadema viongozi tengenezi solution msing'angania kutoa weaknesses za serikali kitu ambacho hakisaidii kabisa kunusuru maisha ya watu.

Mods Uzi wangu Jana mliutoa, mtoe na huu
Nimependa ulivomalizia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Most CDM sycophants are very stupid. So wasikupasue kichwa.
2306076_1572191514899.jpeg
 
Unauhakika hizo ventilator zitapokelewa kama barakoa tu zinakataliwa kutoka upinzani!
 
Samahan naomba nitoke nje ya mada kidogo.
Naomba ikipatikana chanjo ya covid19 naomba kwanza kabisa waipeleke chattles ili watanzania tuwe tena na Raisi, kwan kuongozwa na mtawala alojificha kweli tunateseka pia kummisi sana.
Wakati viongozi wa Chadema walivyopoteza Uhuru wao kwa kufungwa kisiasa tulichanga 310Millions kutetea Uhuru ulioporwa kisiasa.

Iko wazi sasa Uhuru wetu unatakwa kupotezwa na ugonjwa hatari wa Covid 19, kwasababu hatuoni njia mbele yetu no wazi sasa, chama kitumie ushawishi wake tutapata zaidi ya Mabilion na tutaweza ongeza ventilator na PPE, nk

Chadema viongozi tengenezi solution msing'angania kutoa weaknesses za serikali kitu ambacho hakisaidii kabisa kunusuru maisha ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati viongozi wa Chadema walivyopoteza Uhuru wao kwa kufungwa kisiasa tulichanga 310Millions kutetea Uhuru ulioporwa kisiasa.

Iko wazi sasa Uhuru wetu unatakwa kupotezwa na ugonjwa hatari wa Covid 19, kwasababu hatuoni njia mbele yetu no wazi sasa, chama kitumie ushawishi wake tutapata zaidi ya Mabilion na tutaweza ongeza ventilator na PPE, nk

Chadema viongozi tengenezi solution msing'angania kutoa weaknesses za serikali kitu ambacho hakisaidii kabisa kunusuru maisha ya watu.
Watakamatwa maana utakiwi ufanye chochote cha umaarufu kumzidi mkuu wa malaika
 
Back
Top Bottom