hahahhahaha,,unafurahisha mkuu,,nilikuwa shinyanga wiki moja iliyopita na influence ya masele ni zaidi ya ufikirivyo,,
wajinga wakubwa,mnataka tusiiongelee chadema kwa misingi ipi? After all mnaozungumza hampo maeneo haya,mnataka tusiseme ujinga unaofanyika ndani ya chadema? Huu ni ujinga na upuuzi,kwahyo issue ya kujadili ni ya ccm tu,chadema tusiseme? Stupid mind
JF imekosa uelekeo,mnataka kutupangia tuongee nini na tusiongee kitu gani,udhaifu wa chadema usiguswe?? Acheni kutukaririsha ujinga,siwezi kukariri upumbavu yeyote anayevurunda tumseme
Kumekuwa na kanda mbalimbali za cCHADEMA,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa CHADEMA itakuwa ngumu kuwang'oa akina cheyo,chenge,masele,maige,mpina,nyangwine na wengineo,nashangaa chama kilitangaza nafasi za vijana wazibe nafasi za uongozi wa M4C cha ajabu hakuna kilichofanyika,walijipachika kama kawaida yao--

Pole sana kwa kujitia moyo!
MASELE naye ALISHINDA UBUNGE kweli!?
Shinyanga Mjini???
Acha upuuzi wewe!
chadema kama hujatoka mikoa fulani hakuna uongozi ndiyo maana ukifuatilia kwa karibu viongozi wa chadema ngazi ya vyo 99% wanatoka arusha na klm,jiulize ni kwa nini
Ni kweli mkuu, ccm kimekuwa ni chama cha ugaidi plus ufisadi juuu...ni lazima kife kwa kweli.
Tangu lini chadema mnakubali kukosolewa?? Nyie ni wapinzani wa kudumu tuUkosoaji huendana na facts. Si maneno ya kutunga ambayo hata kuandika yanakupatia shida.
kanda ya ziwa mashariki au tanzania nzima hawa cdm hawana chao baada ya watu kuwashtukia labda kwa asiyw wajua ndio atawafuata lakini kiuhalisia jamaa ni magaidi,wezi wabinafsi na zaidi ni wadini wa kupindkia... Hawafai kupewa nchi hata nusu dakika....kumekuwa na kanda mbalimbali za cchadema,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa chadema itakuwa ngumu kuwang'oa akina cheyo,chenge,masele,maige,mpina,nyangwine na wengineo,nashangaa chama kilitangaza nafasi za vijana wazibe nafasi za uongozi wa m4c cha ajabu hakuna kilichofanyika,walijipachika kama kawaida yao--