Hivi CHADEMA kuna viongozi wa M4C? au umeamua kujifurahisha tuKumekuwa na kanda mbalimbali za chadema,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa CHADEMA itakuwa ngumu kuwang'oa akina cheyo,chenge,masele,maige,mpina,nyangwine na wengineo,nashangaa chama kilitangaza nafasi za vijana wazibe nafasi za uongozi wa M4C cha ajabu hakuna kilichofanyika,walijipachika kama kawaida yao--
Hivi CHADEMA kuna viongozi wa M4C? au umeamua kujifurahisha tu
Kumekuwa na kanda mbalimbali za cCHADEMA,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa CHADEMA itakuwa ngumu kuwang'oa akina cheyo,chenge,masele,maige,mpina,nyangwine na wengineo,nashangaa chama kilitangaza nafasi za vijana wazibe nafasi za uongozi wa M4C cha ajabu hakuna kilichofanyika,walijipachika kama kawaida yao--

Mwandiko wako wenyewe kichefuchefu kitupu........ Utasubiri sana anguko la chadema
chadema kama hujatoka mikoa fulani hakuna uongozi ndiyo maana ukifuatilia kwa karibu viongozi wa chadema ngazi ya vyo 99% wanatoka arusha na klm,jiulize ni kwa nini
Achana naye huyo anahitaji ukombozi wa fikra.
Kumekuwa na kanda mbalimbali za cCHADEMA,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa CHADEMA itakuwa ngumu kuwang'oa akina cheyo,chenge,masele,maige,mpina,nyangwine na wengineo,nashangaa chama kilitangaza nafasi za vijana wazibe nafasi za uongozi wa M4C cha ajabu hakuna kilichofanyika,walijipachika kama kawaida yao--
kweli nimeamini,hata waliopo kanda ya ziwa ni walewale....acha warushe matuasi lakin ukweli ni laizma usemwe ili kuwe na mabadiliko,tatizo la wenzangu ukigusia chadema unaitwa puppet wa ccm...kwahyo mnataka chadema tuisifu tu? Hata wanapofanya isivyo sisi tusifu tu? Hapana kwakweli acheni hivyo,muda mwingine na sisi tujikosoe ili tubadilike zaidi
Hahahahaha... tedo umemaliza kumbe tunajibizana na mlevi hapa khaaaaa
wajinga wakubwa,mnataka tusiiongelee chadema kwa misingi ipi? After all mnaozungumza hampo maeneo haya,mnataka tusiseme ujinga unaofanyika ndani ya chadema? Huu ni ujinga na upuuzi,kwahyo issue ya kujadili ni ya ccm tu,chadema tusiseme? Stupid mind

una akili ya Kima mtoto