Dume la Mende
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 423
- 66
Katika nusa nusa yangu humu ndani nimekutana na hii ambayo nimeumiza sana kichwa na kujiuliza ni yupi anauetufaa kutuongoza kupitia CDM aswamu ijayo? Ndipo nikabaini mmoja wa wanajamvi alikuwa na ametoa maoni yake kama ifuatavyo:
Si Zitto wala Slaa wala Mbowe wanaofaa.
1) Zitto: jazba, hasira, hamaki, hafichi "emotions zake". Anafaa kuwa mkurungenzi wa idara katika serikali.
2) Slaa: hawezi kabisa uongozi. Alishindwa wa kanisa unaohudumia jamii yenye imani kama yake, na maadili ndio hivyo tena kama tujuavyo. Hafai hata kuwa diwani. Anafaa kuwa mfugaji na ajilimbikizie wake wa kumsaidia.
Mbowe: Huyu anafaa kuwa waziri wa starehe kutokana na ujuzi wake wa kuchezesha Disko kwa muda mrefu. Uongozi wowote wenye utendaji hauwezi kwani hata kampuni yake ilioanzishwa kwa mali za kurithi "kaifilisi" haina hata hela za kulipa deni alilokopa NSSF. Sasa huyu akipewa nchi si kasheshe.
Sasa hapa ndipo ninapochanganyikiwa, kama hawa hawafai, tutampata yupi humo? Labda Lissu.
Naendelea kunusanusa.