Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,429
AJENDA | MWENYE AJENDA | UTEKELEZAJI | SABABU | |
KUPAMBANA NA UFISADI | CHAMA | WALIWATAJA MWEMBE YANGA | KUUFANYA UMMA UWAJUE. | |
KUPUNGUZA MATUMIZI YASIYO YA LAZMA | CHAMA | ZITTO PEKE YAKE NDO KAJARIBU KUTEKELEZA KIDOGO. | SEHEMU YA JITIHADA YA KUTEKELEZA AJENDA YA CHAMA. | |
KUPINGA UTOROSHWAJI WA FEDHA NJE YA NCHI | MH.ZITTO | KAOGOPA KUWATAJA WALIOTOROSHA HELA | *********** | |
KURASIMISHA GONGO | DR.W.SLAA | MUDA WA UTEKELEZAJI BADO (Mpaka chama kikishika dola) | ************ | |
WABUNGE WASIWE MASIKINI | MH.LEMA | AMEHAMASISHA UCHUKUAJI POSHO NA KUPINGA WANAOZIKATAA | KUWAFANYA WABUNGE WASIWE MASIKINI | |
KUWATAJA NA KUTOA VIDEO YA WALIORUSHA BOMU ARUSHA | MH.MBOWE | HAIJATEKELEZWA | ************ | |
KUTOA KITABU KINACHOONESHA MATUKIO YA UVUNJAJI WA HAKI ZA BINADAMU ULIOFANYWA NA SERIKALI | UONGOZI WA CHAMA (Rejea taarifa kwa vyombo vya habari baada ya kikao cha viongozi kufuatia bomu la Arusha) | HAKIJATOLEWA | *********** | |
KUTAFUTA NEMBO YA BAVICHA | BAVICHA | HAIJATOLEWA | *************** | |
KUPINGA UTUMIAJI WA MASHANGINGI | CHAMA | KATEKELEZA MNYIKA PEKE YAKE | *************** | |
UJENZI WA VISIMA VYA MAJI | SABODO | BADO | -------------- | |
------------------- | ||||
|
Dah! umechangia point ya msingi sana mkuu.JF hatujadili hisia na umbea
sina la kusema !kama wewe ambavyo jana umekuja kujangia mada bila hata kusoma eti unasema utarudi baadae.Naona baadae bado kidogo.Mleta mada unataka kusema nini.....
umechangia vizuri kiongozi.Mchango wako ni wakujenga sana.Hizi ni hoja za kipumbavu zinaweza kutolewa maoni ya kipumbavu vile vile
Mkuu. Bethlehem ameeleza uhalisia. Hakuna umbea hapo. Labda wewe unaleta umbeya kwenye uhalisiaJF hatujadili hisia na umbea
Mungi naona una mawazo ya kipumbavu sana. Sijapata kuona unachangia kipumbavu kama ulivyofanya leoHizi ni hoja za kipumbavu zinaweza kutolewa maoni ya kipumbavu vile vile
Dah, kama huu ni mchango wa kumjenga mtu, hakika Tanzania tumevamiwaumechangia vizuri kiongozi.Mchango wako ni wakujenga sana.
Padre Slaa ambaye alihasi kanisa kutokana na tamaa zake za kimwiliAjenda ya gongo inamilikiwa na..........
Sourse ya nini? ni kipi ambacho unamashaka nacho hapo kwenye jedwali na mashaka yako yako kwenye nini? kimsingi hivyo vitu hapo kwenye jedhali ni vya wazi kabisa.Mimi nilichokifanya ni kuvi summarise tu kama vilivyo.source please...
Mungi naona una mawazo ya kipumbavu sana. Sijapata kuona unachangia kipumbavu kama ulivyofanya leo
AJENDA: Kukataa Mwenge wa uhuruNatumai weekend iko safi kwa wadau wote,
Wadau, CHADEMA kwa sasa inaonekana ina Agenda za aina mbili (kwa muktadha wa umiliki).Aina hizo mbini ni (1)Agenda za Chama (2) Agenda za kiongozi mmoja mmoja.Kwa muhtasari ni kama inavyoonekana hapo chini.(KAMA KUNA SEHEMU YENYE MAKOSA YEYOTE ANAWEZA KUSAHIHISHA)
AJENDA MWENYE AJENDA UTEKELEZAJI
SABABU KUPAMBANA NA UFISADI CHAMA WALIWATAJA MWEMBE YANGA KUUFANYA UMMA UWAJUE. KUPUNGUZA MATUMIZI YASIYO YA LAZMA CHAMA ZITTO PEKE YAKE NDO KAJARIBU KUTEKELEZA KIDOGO. SEHEMU YA JITIHADA YA KUTEKELEZA AJENDA YA CHAMA. KUPINGA UTOROSHWAJI WA FEDHA NJE YA NCHI MH.ZITTO KAOGOPA KUWATAJA WALIOTOROSHA HELA
***********KURASIMISHA GONGO DR.W.SLAA MUDA WA UTEKELEZAJI BADO (Mpaka chama kikishika dola)
************WABUNGE WASIWE MASIKINI MH.LEMA AMEHAMASISHA UCHUKUAJI POSHO NA KUPINGA WANAOZIKATAA KUWAFANYA WABUNGE WASIWE MASIKINI KUWATAJA NA KUTOA VIDEO YA WALIORUSHA BOMU ARUSHA MH.MBOWE HAIJATEKELEZWA ************ KUTOA KITABU KINACHOONESHA MATUKIO YA UVUNJAJI WA HAKI ZA BINADAMU ULIOFANYWA NA SERIKALI UONGOZI WA CHAMA
(Rejea taarifa kwa vyombo vya habari baada ya kikao cha viongozi kufuatia bomu la Arusha)HAKIJATOLEWA
***********KUTAFUTA NEMBO YA BAVICHA BAVICHA HAIJATOLEWA
***************KUPINGA UTUMIAJI WA MASHANGINGI CHAMA KATEKELEZA MNYIKA PEKE YAKE
***************UJENZI WA VISIMA VYA MAJI
SABODO
BADO
--------------
-------------------
UTEKELEZAJI WA AJENDA ZOTE KWA ASILIMIA (%)
MAONI YA MLETA UZI:
No comment………………………….!