CHADEMA: Agenda za Chama Vs Agenda Binafsi.

Azizi Mussa

JF-Expert Member
May 9, 2012
9,172
7,427
Natumai weekend iko safi kwa wadau wote,

Wadau, CHADEMA kwa sasa inaonekana ina Agenda za aina mbili (kwa muktadha wa umiliki).Aina hizo mbini ni (1)Agenda za Chama (2) Agenda za kiongozi mmoja mmoja.Kwa muhtasari ni kama inavyoonekana hapo chini.(KAMA KUNA SEHEMU YENYE MAKOSA YEYOTE ANAWEZA KUSAHIHISHA)

AJENDAMWENYE AJENDAUTEKELEZAJI
SABABU
KUPAMBANA NA UFISADICHAMAWALIWATAJA MWEMBE YANGAKUUFANYA UMMA UWAJUE.
KUPUNGUZA MATUMIZI YASIYO YA LAZMACHAMAZITTO PEKE YAKE NDO KAJARIBU KUTEKELEZA KIDOGO.SEHEMU YA JITIHADA YA KUTEKELEZA AJENDA YA CHAMA.
KUPINGA UTOROSHWAJI WA FEDHA NJE YA NCHIMH.ZITTOKAOGOPA KUWATAJA WALIOTOROSHA HELA
***********
KURASIMISHA GONGODR.W.SLAAMUDA WA UTEKELEZAJI BADO (Mpaka chama kikishika dola)

************
WABUNGE WASIWE MASIKINIMH.LEMAAMEHAMASISHA UCHUKUAJI POSHO NA KUPINGA WANAOZIKATAAKUWAFANYA WABUNGE WASIWE MASIKINI
KUWATAJA NA KUTOA VIDEO YA WALIORUSHA BOMU ARUSHAMH.MBOWEHAIJATEKELEZWA************
KUTOA KITABU KINACHOONESHA MATUKIO YA UVUNJAJI WA HAKI ZA BINADAMU ULIOFANYWA NA SERIKALIUONGOZI WA CHAMA
(Rejea taarifa kwa vyombo vya habari baada ya kikao cha viongozi kufuatia bomu la Arusha)
HAKIJATOLEWA

***********
KUTAFUTA NEMBO YA BAVICHABAVICHAHAIJATOLEWA
***************

KUPINGA UTUMIAJI WA MASHANGINGICHAMAKATEKELEZA MNYIKA PEKE YAKE
***************
UJENZI WA VISIMA VYA MAJI
SABODO
BADO
--------------
-------------------
UTEKELEZAJI WA AJENDA ZOTE KWA ASILIMIA (%)

MAONI YA MLETA UZI:

No comment………………………….!
 
Hivi ni kwa nini mtu anapoleta hoja za msingi watu wanamtukana na kumsakama?
 
source please...
Sourse ya nini? ni kipi ambacho unamashaka nacho hapo kwenye jedwali na mashaka yako yako kwenye nini? kimsingi hivyo vitu hapo kwenye jedhali ni vya wazi kabisa.Mimi nilichokifanya ni kuvi summarise tu kama vilivyo.
 
Mungi naona una mawazo ya kipumbavu sana. Sijapata kuona unachangia kipumbavu kama ulivyofanya leo

Mkuu ni kweli, nilitoa maoni ya kipumbavu kwenye hoja za kipumbavu mkuu. Hata mwenye post ame appreciate points zangu ni za kujenga sana
 
Mageti sita alianza kama wewe leo hajui anataka kwenda wapi? Maana naona anakiri kuchanganyikiwa tuu....pole ila soma Cybernetic model itakusaidia sana ..
 
Natumai weekend iko safi kwa wadau wote,

Wadau, CHADEMA kwa sasa inaonekana ina Agenda za aina mbili (kwa muktadha wa umiliki).Aina hizo mbini ni (1)Agenda za Chama (2) Agenda za kiongozi mmoja mmoja.Kwa muhtasari ni kama inavyoonekana hapo chini.(KAMA KUNA SEHEMU YENYE MAKOSA YEYOTE ANAWEZA KUSAHIHISHA)

AJENDAMWENYE AJENDAUTEKELEZAJI
SABABU
KUPAMBANA NA UFISADICHAMAWALIWATAJA MWEMBE YANGAKUUFANYA UMMA UWAJUE.
KUPUNGUZA MATUMIZI YASIYO YA LAZMACHAMAZITTO PEKE YAKE NDO KAJARIBU KUTEKELEZA KIDOGO.SEHEMU YA JITIHADA YA KUTEKELEZA AJENDA YA CHAMA.
KUPINGA UTOROSHWAJI WA FEDHA NJE YA NCHIMH.ZITTOKAOGOPA KUWATAJA WALIOTOROSHA HELA
***********
KURASIMISHA GONGODR.W.SLAAMUDA WA UTEKELEZAJI BADO (Mpaka chama kikishika dola)

************
WABUNGE WASIWE MASIKINIMH.LEMAAMEHAMASISHA UCHUKUAJI POSHO NA KUPINGA WANAOZIKATAAKUWAFANYA WABUNGE WASIWE MASIKINI
KUWATAJA NA KUTOA VIDEO YA WALIORUSHA BOMU ARUSHAMH.MBOWEHAIJATEKELEZWA************
KUTOA KITABU KINACHOONESHA MATUKIO YA UVUNJAJI WA HAKI ZA BINADAMU ULIOFANYWA NA SERIKALIUONGOZI WA CHAMA
(Rejea taarifa kwa vyombo vya habari baada ya kikao cha viongozi kufuatia bomu la Arusha)
HAKIJATOLEWA

***********
KUTAFUTA NEMBO YA BAVICHABAVICHAHAIJATOLEWA
***************
KUPINGA UTUMIAJI WA MASHANGINGICHAMAKATEKELEZA MNYIKA PEKE YAKE
***************
UJENZI WA VISIMA VYA MAJI
SABODO
BADO
--------------
-------------------
UTEKELEZAJI WA AJENDA ZOTE KWA ASILIMIA (%)

MAONI YA MLETA UZI:

No comment………………………….!
AJENDA: Kukataa Mwenge wa uhuru

MWENYE AJENDA: Mch. Peter Msigwa

UTEKELEZAJI:Ulifeli kabla ya kuanza baada ya mwenye ajenda kuonekana uwanjan kwenye maadhimisho ya mwenge
 
AJENDA:Kutomtambua na kumkataa rais 2010 baada ya uchaguzi kwa kutoka nje ya Bunge

MWENYE AJENDA:CHAMA

UTEKELEZAJI:Ulifeli baada ya Chama kizima kwenda ikulu kunywa Juice na biashara ikaishia hapo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom