Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,428
- Thread starter
- #21
inaonekana hiyo model ni Muhimu sana watu kuijua Maana naona tangu jana unaisisitizia.ifundishe bas humu kwa faida ya wengi?Cybernetic model itakusaidia sana ..

JF hatujadili hisia na umbea
Unaumwa ugonjwa uitwao "OBSESSIVE-COMPULSIVE DISORDER". Umbea uko wapi hapo bandugu!,..... Ndo madhara ya kutumia makalio kufikiri badala ya ubongo!
inaonekana hiyo model ni Muhimu sana watu kuijua Maana naona tangu jana unaisisitizia.ifundishe bas humu kwa faida ya wengi?
Huyo ni mtumishi wa Josephine Mushumbusi, lazima kwanza aandike kitu halafu amuulize Josephine anatakiwa kusimamia hoja gani. Josephine akishamjibu utamuoana atakavyorudi na ubishi teletele hapa.
Nilitaka nimweleze haya haya...huyu jamaa inabidi atazamwe kwa macho matatu kwa kila hoja anayoleta jukwaani........
Nakukumbuka vizuri kuwa ulikuwa CCM ila kwa hiari ya moyo wako ukaachana na CCM ukaingia CHADEMA. Nafahamu pia kuwa tofuati ya mitazamo, hoja, weledi, uzoefu ni nyenzo muhimu katika kujenga jamii yenye kuheshimiana na pia demokrasia imara ndani ya vyama/taasisi na Taifa lakini wewe ukipingwa kwa hoja bado unarudia yale yale na kwa pembeni unawananga wanaokupinga.
........
Ajenda ya "Wabunge wasiwe Masikini ni ya hovyo sijapata kuona/kusikia; umeitoa wapi ajenda hiyo? Kwa nini unawalisha watu maneno? Je maoni yako ndio ajenda? Unataka kusema kila neno linalotamkwa na mbunge au kiongozi wa CHADEMA ni ajenda?
Kwa msingi huo huo unaojenga hebu jiulize, Hansard ya bunge ina ajenda ngapi?
Naamini unajua vizuri ila tu umeamua kupotosha au kutojali ndio maana ukaandika uliyoyaandika.
......
uhuru wa maoni imekuwa mtihani tena? Dah! Haya bwana.nilitaka nimweleze haya haya...huyu jamaa inabidi atazamwe kwa macho matatu kwa kila hoja anayoleta jukwaani.
Mkuu, mbona ajenda ya kuhalalisha gongo hujaitolea ufafanuzi?Betlehem, kuna kitu unachokijenga kwa mbali ila naona bado hujafanikiwa. Kwa siku za karibuni (hasa baada ya sakata la kuvuliwa vyeo akina Zitto) umejitokeza na makala nyingi zenye malengo yasiyo wazi sana. Umeshupalia kuwa njia pekee na sahihi (kwa maoni yako) ni Zitto kusamehewa (ikiwezekana arudishiwe vyeo vyake. Pia umekuwa ukiupiga vijembe uongozi wa juu wa CHADEMA.
Nakukumbuka vizuri kuwa ulikuwa CCM ila kwa hiari ya moyo wako ukaachana na CCM ukaingia CHADEMA. Nafahamu pia kuwa tofuati ya mitazamo, hoja, weledi, uzoefu ni nyenzo muhimu katika kujenga jamii yenye kuheshimiana na pia demokrasia imara ndani ya vyama/taasisi na Taifa lakini wewe ukipingwa kwa hoja bado unarudia yale yale na kwa pembeni unawananga wanaokupinga.
Nije kwenye mada yako ya leo. Ukiambiwa uthibitishe hayo uliyoandika (beyond reasonable doubts) utaweza? Kama huwezi basi kaa kimya maana nayo ni busara.
1) Hiyo hoja ya visima, really are you serious? Mimi kama raia naweza kuwa na mchango wangu kwa jamii nikawapa CHADEMA (kama daraja tu).....sasa inageukaje kuwa hoja kubwa kuliko wale wenye kuiba rasilimali za mabilioni? Sijawahi kumsikia Sabodo (au mwakilishi wake) akilalimikia hili suala la visima. NI masalia tu ndio niliowahi kuwasikia (wakiungwa mkono na wapambe wao wa CCM).
2) Ajenda ya "kupinga utoroshwaji wa fedha nje", hata Zitto atakushangaa kwani hajawahi kuwa na ajenda kama hiyo. Naona umelazimisha dots kwa kufinyanga finyanga mambo. Zitto alitaka platform ya kisiasa ktk suala la mabilioni ya Uswizi; muda huu lakini ni yeye tu aneyejua nini kilichokuwa nyuma ya pazia na hali halisi ujao.
3)Ajenda ya "Wabunge wasiwe Masikini ni ya hovyo sijapata kuona/kusikia; umeitoa wapi ajenda hiyo? Kwa nini unawalisha watu maneno? Je maoni yako ndio ajenda? Unataka kusema kila neno linalotamkwa na mbunge au kiongozi wa CHADEMA ni ajenda?
Kwa msingi huo huo unaojenga hebu jiulize, Hansard ya bunge ina ajenda ngapi?
Naamini unajua vizuri ila tu umeamua kupotosha au kutojali ndio maana ukaandika uliyoyaandika.
Lema ni nani hata athubutu kusema wabunge wasiwe maskinni? Ikiwa CCM ina wabunge wa zaidi ya miaka 25 na bado ni maskini je Lema ambaye ndio kwanza ana miaka 3 ataanzia wapi na hilo?
Mkuu, wavumilie tu hawa ndugu zako. Tuuewazoeauhuru wa maoni imekuwa mtihani tena? Dah! Haya bwana.
uhuru wa maoni imekuwa mtihani tena? Dah! Haya bwana.
Mkuu, wavumilie tu hawa ndugu zako. Tuuewazoea
chamsingi ni "good will" ndugu yangu. Jambo hilo linapokosekana ndipo kazi inapokuja.ni kwa kigezo hiki hiki cha uhuru wa maoni ningependa maoni yako hapa jukwaani yatazamwe kwa macho matatu. Lengo ni jema tu kuhakikisha kuwa unatoa maoni ambayo umeyasanifu vya kutosha bila kuathiri dhamira safi ya kuboresha maisha ya watanzania
siku zote hazifanani mkuu.samehe bure kwenye udhaifu na ukiweza boresha.uzi wa leo uko shallow sana
source please...
Betlehem, kuna kitu unachokijenga kwa mbali ila naona bado hujafanikiwa. Kwa siku za karibuni (hasa baada ya sakata la kuvuliwa vyeo akina Zitto) umejitokeza na makala nyingi zenye malengo yasiyo wazi sana. Umeshupalia kuwa njia pekee na sahihi (kwa maoni yako) ni Zitto kusamehewa (ikiwezekana arudishiwe vyeo vyake. Pia umekuwa ukiupiga vijembe uongozi wa juu wa CHADEMA.
Nakukumbuka vizuri kuwa ulikuwa CCM ila kwa hiari ya moyo wako ukaachana na CCM ukaingia CHADEMA. Nafahamu pia kuwa tofuati ya mitazamo, hoja, weledi, uzoefu ni nyenzo muhimu katika kujenga jamii yenye kuheshimiana na pia demokrasia imara ndani ya vyama/taasisi na Taifa lakini wewe ukipingwa kwa hoja bado unarudia yale yale na kwa pembeni unawananga wanaokupinga.
Nije kwenye mada yako ya leo. Ukiambiwa uthibitishe hayo uliyoandika (beyond reasonable doubts) utaweza? Kama huwezi basi kaa kimya maana nayo ni busara.
1) Hiyo hoja ya visima, really are you serious? Mimi kama raia naweza kuwa na mchango wangu kwa jamii nikawapa CHADEMA (kama daraja tu).....sasa inageukaje kuwa hoja kubwa kuliko wale wenye kuiba rasilimali za mabilioni? Sijawahi kumsikia Sabodo (au mwakilishi wake) akilalimikia hili suala la visima. NI masalia tu ndio niliowahi kuwasikia (wakiungwa mkono na wapambe wao wa CCM).
2) Ajenda ya "kupinga utoroshwaji wa fedha nje", hata Zitto atakushangaa kwani hajawahi kuwa na ajenda kama hiyo. Naona umelazimisha dots kwa kufinyanga finyanga mambo. Zitto alitaka platform ya kisiasa ktk suala la mabilioni ya Uswizi; muda huu lakini ni yeye tu aneyejua nini kilichokuwa nyuma ya pazia na hali halisi ujao.
3)Ajenda ya "Wabunge wasiwe Masikini ni ya hovyo sijapata kuona/kusikia; umeitoa wapi ajenda hiyo? Kwa nini unawalisha watu maneno? Je maoni yako ndio ajenda? Unataka kusema kila neno linalotamkwa na mbunge au kiongozi wa CHADEMA ni ajenda?
Kwa msingi huo huo unaojenga hebu jiulize, Hansard ya bunge ina ajenda ngapi?
Naamini unajua vizuri ila tu umeamua kupotosha au kutojali ndio maana ukaandika uliyoyaandika.
Lema ni nani hata athubutu kusema wabunge wasiwe maskinni? Ikiwa CCM ina wabunge wa zaidi ya miaka 25 na bado ni maskini je Lema ambaye ndio kwanza ana miaka 3 ataanzia wapi na hilo?
Nimekusoma MkuuSoma post namba 33 ya uzi huu.