Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Umeweka fikra nzito na umeona mbali! Kuishitaki NEC kwa kutofuata sheria, kwa kudharau maoni ya wapiga kura sio sawa na kukataa au kupinga kutwawazwa JK! Safi sana! Lakini usikate tamaa kiasi hicho. Najua wanasiasa wanapinda pinda njia hadi wafike wanakotaka! Vuta subira!
Mimi nasubiri kwa hamu kesi za kupinga matokeo ya ubunge kama kule Moshi Vijijini, Njombe Magharibi, Geita nk, lakini sioni kinachoendelea, CHADEMA angalieni msije mkatupelekesha kwingine!
Chadema tumewachagua kutuwakilisha bungeni na wala siyo vinginevyo......wasipokwenda bungeni kwa visingizio vyovyote vile hapo watakuwa wanamkomoa mpigakura na wasifikiri tutawachagua tena........................next time tutakaa nyumbani na wacha hao CCM waendelee kututesa maana yawezekana kabisa taifa hili Mwenyezi Mungu kalilaani................
Kama Chadema wana ushahidi wa ya kuwa kura za vituoni zinatofautiana na zile ambazo NEC ilizitangaza sasa ni nini kinawazuia kulalamika mahakamani? Hicho kiji-Ibara cha katiba cha kuzuia matokeo ya kura za Uraisi yaliyotangazwa na NEC kuhojiwa mahakamani msikisome kijuu juu tu........Hakizuii hoja za kimsingi kusikilizwa na mahakama zetu na huo ni msimamo wao wa tangu mwaka 1995........Kumbukeni kazi ya kutafsiri sheria ni ya mahakama......nendeni huko mkadai haki yenu na kama mahakama ikikataa kuwasikiliza sasa ndiyo mrudi kwetu na hapo tutajua ya kuwa hata mahakama zinadi ukarafati mzito..
Katiba yetu iliweka dhana ya kuwa matokeo yaliyotangazwa na NEC kulingana na taratibu za kisheria ndiyo tu ambayo mahakama haiwezi kuyahoji lakini katiba yetu haikukusudia ya kuwa NEC wavunje sheria za uchaguzi katika kuyatangaza matokeo hayo na mahakama zinapolalamikiwa zikae kimya........................la hasha.................siyo hivyo hata kidogo........
Madai ya chadema kama yana ushahidi ni lazima yafikishwe mahakamani na hoja ya muhimu ni kuwa NEC haikufuata sheria ya uchaguzi na taratibu zake kwa kuyadharau matokeo ya kura kama zilivyopigwa na wananchi na wao kujitangazia matokeo wayatakayo tu wenyewe.........................Mahakama ikipata ushahidi wa kutosha na kuridhika itayatengua matokeo ya Uraisi kwa sababu hayakuheshimu ridhaa ya wapigakura.....................
Nje ya kuufuata utaratibu huu wa kisheria Chadema nasema acheni kutuchezea watu wazima na nendeni bungeni mkafanye kazi tuliyowatuma kama hamtaki semeni na chaguzi za majimbo mliyoshinda zirudiwe na wanaotaka kutuhudumia hata kama ni kutudhulumu wache wafanikiwe kwenye malengo yao.....................
What we asking from Chadema is leadership but not a bunch of endless complaints
Kaa ukijua hiyo nec imewekwa na ccm na mahakama imewekwa na serikali ya ccm hivyo hakuna jipya.
Hapo sasa hatua hizi ambazo Chadema wanataka kuzitumia za mass action zitaeleweka kwa wapigakura kama maamuzi ya mahakama yatakataliwa kutekelezwa.......................CHADEMA wakienda mahakamani hukumu ya haki inaweza kutolewa, lakini je serikali itakuwa tayari kutekeleza hukumu hiyo??
Chadema tumewachagua kutuwakilisha bungeni na wala siyo vinginevyo......wasipokwenda bungeni kwa visingizio vyovyote vile hapo watakuwa wanamkomoa mpigakura na wasifikiri tutawachagua tena........................next time tutakaa nyumbani na wacha hao CCM waendelee kututesa maana yawezekana kabisa taifa hili Mwenyezi Mungu kalilaani................
Kama Chadema wana ushahidi wa ya kuwa kura za vituoni zinatofautiana na zile ambazo NEC ilizitangaza sasa ni nini kinawazuia kulalamika mahakamani? Hicho kiji-Ibara cha katiba cha kuzuia matokeo ya kura za Uraisi yaliyotangazwa na NEC kuhojiwa mahakamani msikisome kijuu juu tu........Hakizuii hoja za kimsingi kusikilizwa na mahakama zetu na huo ni msimamo wao wa tangu mwaka 1995........Kumbukeni kazi ya kutafsiri sheria ni ya mahakama......nendeni huko mkadai haki yenu na kama mahakama ikikataa kuwasikiliza sasa ndiyo mrudi kwetu na hapo tutajua ya kuwa hata mahakama zinadi ukarafati mzito..
Katiba yetu iliweka dhana ya kuwa matokeo yaliyotangazwa na NEC kulingana na taratibu za kisheria ndiyo tu ambayo mahakama haiwezi kuyahoji lakini katiba yetu haikukusudia ya kuwa NEC wavunje sheria za uchaguzi katika kuyatangaza matokeo hayo na mahakama zinapolalamikiwa zikae kimya........................la hasha.................siyo hivyo hata kidogo........
Madai ya chadema kama yana ushahidi ni lazima yafikishwe mahakamani na hoja ya muhimu ni kuwa NEC haikufuata sheria ya uchaguzi na taratibu zake kwa kuyadharau matokeo ya kura kama zilivyopigwa na wananchi na wao kujitangazia matokeo wayatakayo tu wenyewe.........................Mahakama ikipata ushahidi wa kutosha na kuridhika itayatengua matokeo ya Uraisi kwa sababu hayakuheshimu ridhaa ya wapigakura.....................
Nje ya kuufuata utaratibu huu wa kisheria Chadema nasema acheni kutuchezea watu wazima na nendeni bungeni mkafanye kazi tuliyowatuma kama hamtaki semeni na chaguzi za majimbo mliyoshinda zirudiwe na wanaotaka kutuhudumia hata kama ni kutudhulumu wache wafanikiwe kwenye malengo yao.....................
What we asking from Chadema is leadership but not a bunch of endless complaints
Katika historia ya nchi hatujawahi kupata changamoto kama hii ya Chadema na itakuwa ni makosa ya kihistoria kama Chadema wataihukumu mahakama bila ya kuwapa nafasi ya kuyatolea maamuzi malalamiko yao..............Ushahidi wa kimsingi wote wanao...........sasa wasizihukumu mahakama zetu kwa njia hiyo.....................hii kesi itaiweka mahakama nayo kizimbani.........raia tutapenda kuona kama mahakama zaweza kutenda haki na zikishindwa hiyo ni hoja nyingine ya kuzirekebisha mahakama hizo...............Let us test our judicial system before we pass an adverse judgment against them.................Kaa ukijua hiyo nec imewekwa na ccm na mahakama imewekwa na serikali ya ccm hivyo hakuna jipya.
Hivyo hivyo tutakula nao sahani moja! Hoja ikiwa nzito, inaweza ikasambaratisha hao waliopandikizwa kwenye vyombo hivi. Ni kwa ajili hiyo tuliweza kuwapata kina Mwakyembe, Sita nk
Chadema tumewachagua kutuwakilisha bungeni na wala siyo vinginevyo......wasipokwenda bungeni kwa visingizio vyovyote vile hapo watakuwa wanamkomoa mpigakura na wasifikiri tutawachagua tena........................next time tutakaa nyumbani na wacha hao CCM waendelee kututesa maana yawezekana kabisa taifa hili Mwenyezi Mungu kalilaani................
Kama Chadema wana ushahidi wa ya kuwa kura za vituoni zinatofautiana na zile ambazo NEC ilizitangaza sasa ni nini kinawazuia kulalamika mahakamani? Hicho kiji-Ibara cha katiba cha kuzuia matokeo ya kura za Uraisi yaliyotangazwa na NEC kuhojiwa mahakamani msikisome kijuu juu tu........Hakizuii hoja za kimsingi kusikilizwa na mahakama zetu na huo ni msimamo wao wa tangu mwaka 1995........Kumbukeni kazi ya kutafsiri sheria ni ya mahakama......nendeni huko mkadai haki yenu na kama mahakama ikikataa kuwasikiliza sasa ndiyo mrudi kwetu na hapo tutajua ya kuwa hata mahakama zinadi ukarafati mzito..
Katiba yetu iliweka dhana ya kuwa matokeo yaliyotangazwa na NEC kulingana na taratibu za kisheria ndiyo tu ambayo mahakama haiwezi kuyahoji lakini katiba yetu haikukusudia ya kuwa NEC wavunje sheria za uchaguzi katika kuyatangaza matokeo hayo na mahakama zinapolalamikiwa zikae kimya........................la hasha.................siyo hivyo hata kidogo........
Madai ya chadema kama yana ushahidi ni lazima yafikishwe mahakamani na hoja ya muhimu ni kuwa NEC haikufuata sheria ya uchaguzi na taratibu zake kwa kuyadharau matokeo ya kura kama zilivyopigwa na wananchi na wao kujitangazia matokeo wayatakayo tu wenyewe.........................Mahakama ikipata ushahidi wa kutosha na kuridhika itayatengua matokeo ya Uraisi kwa sababu hayakuheshimu ridhaa ya wapigakura.....................
Nje ya kuufuata utaratibu huu wa kisheria Chadema nasema acheni kutuchezea watu wazima na nendeni bungeni mkafanye kazi tuliyowatuma kama hamtaki semeni na chaguzi za majimbo mliyoshinda zirudiwe na wanaotaka kutuhudumia hata kama ni kutudhulumu wache wafanikiwe kwenye malengo yao.....................
What we asking from Chadema is leadership but not a bunch of endless complaints
Crappp!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Crappp!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Jambo ambalo ningependa ufahamu ni kuwa Rev. Mtikila ni kweli alishinda hiyo kesi na hata mahakama ya Rufaa ilikiri katika hitimisho lake kuwa mgombea binafsi ni haki ya kimsingi na serikali ni lazima ilishughulikie kwa sababu nchi hii yaendeshwa kwa misingi ya kidemokrasia................Rev. Mtikila kama hangekwenda mahakamani hayo maangalizo ya kimahakama yasingelikuwepo...............Jaji Mkuu alichokifanya pale ni kumsaidia JK kusiwepo wagombea binafsi katika uchaguzi huu wa 2010 lakini kwa uchaguzi wa 2015 wagombea binafsi watakuwepo........................na hata Rev. Mtikila anawashauri Chadema waende mahakamani na wasipofanya hivyo watakuwa wameliangusha taifa zima........Tambua hawa viongozi wa CDM wanaelewa fika matatizo ya mahakama zetu mfano, Rev. Mtikila alishinda kesi ya mgombea binafsi lakini hadi leo jamaa wanacheza delay tacs, unakumbuka mapendekezo ya Judge Nyalali juu ya vifungu kama 50 hivi vya katiba vinavyotakiwa kubadilishwa lakini hadi leo jamaa wanacheza delay tacs.
Katika historia ya nchi hatujawahi kupata changamoto kama hii ya Chadema na itakuwa ni makosa ya kihistoria kama Chadema wataihukumu mahakama bila ya kuwapa nafasi ya kuyatolea maamuzi malalamiko yao..............Ushahidi wa kimsingi wote wanao...........sasa wasizihukumu mahakama zetu kwa njia hiyo.....................hii kesi itaiweka mahakama nayo kizimbani.........raia tutapenda kuona kama mahakama zaweza kutenda haki na zikishindwa hiyo ni hoja nyingine ya kuzirekebisha mahakama hizo...............Let us test our judicial system before we pass an adverse judgment against them.................
Unajuwa bwana ruta,haya mambo soyo ya kuyakimbilia tu hawa wabunge wa chadema wengi wao wanaelewa sheria,na ukumbuke kuwa wao wanachosema wamekubali kuwa jk ni raisi na hawana uwezo wa kutenguwa hilo,ila lengo lao lilikuwa ni kufikisha ujumbe kwa jamii na dunia kwa ujumla na wamefanikiwa kwa hilo,then mambo mengine ya kisiasa mjengoni yataendelea,nadhani na hilo la kutoka nje pia ni uwakilishi wa wapigakura ama mna udifine vipi uwakilishi?
Mapinduziiiiii daimaaaaaa
Mwaka 1995 akina Mrema na wenzie walienda mahakamani kuhoji matokeo ya Uraisi yaliyotangazwa na NEC na mahakama ilisema ya kuwa inao uwezo wa kuichunguza NEC kama katika kuyatangaza matokeo hayo ilifuata sheria ya uchaguzi na ya kuwa mahakama kamwe haitafumbia macho kama sheria hazifuatwi......................kwa hiyo tafsiri ya hicho kipengere mahakama ilikwisha kitolea misimamo na sisi huku mtaani siyo wafuatiliaji wa maamuzi ya mahakama...........................kwa hiyo kwenda mahakamani siyo kweli unavunja katiba hata kidogo.............Katiba haiwaruhusu kwenda Mahakamani kupinga jambo lolote kuhusu ushindi wa rais uliotangazwa na NEC.
Kitendo cha kwenda Mahakamani kupinga matokeo ni uvunjaji wa katiba.
Kesi wawezayo kuifungua Chadema ni ile ya kupinga Kifungu cha katiba kinachowazuia kupinga matokeo ya Urais.
Kesi ya namna hiyo ikifunguliwa leo haiwezi kuhusisha wizi wa kura zilizo muweka Kikwete ikulu bali itabidi hoja nyingine zijengwe kuipa nguvu kesi hiyo.
Let us say CHADEMA wameshinda kesi hii dhidi ya kifungu cha katiba.
Nikirejea swali langu la msingi kwako.
Je ni msukumo gani utaifanya serikali ya CCM kutekeleza hukumu hii mpyya wakati kuna kigonela cha hukumu ya mgombea binafsi ambayo Serikali ya CCM bado inanajisi utekelezaji wake bila aibu hadi dakika hii niandikapo?