Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,787
Unajifunza nini toka Kenya Mkuu au hujui kwamba fisadi namba moja ni Makamu wa Rais na hiyo Ni public knowledge sio tetesi.Umeandika pointi ila umejiuliza kama haya yangekuwepo Ben Saanane angepotea mpaka leo? Yule mwandishi wa habari angepotea mpaka leo? Vipi kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi? Tulipofikia chuki imeshapandikizwa, imekomaa na sasa imezaa mtoto ndiyo maana kila kitu kibaya watu wanashangilia. Ukiona mtoto anakuchukia ujue kuna sababu na usianze kumuadhibu kwa vile mdogo basi atakupenda ila utakuwa umeongeza chuki. Jiangalie kwanza wewe umekosea wapi mpaka watu wanakuchukia?
Jifunzeni kwenye Siasa za Kenya. Mfano. Hapa Tanzania Raila Odinga ndiye angekuwa Tundu Lissu anajiapisha uraisi mngemfanyaje? Mtu kuikosoa serikali tu anauwawa.
Unajua kwamba wachina wamejimilikisha SGR baada ya serikali kushindwa kulipa deni.
Unajifunza vp kwa mtu aliyeshindwa?