hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,642
- 19,017
CHADEMA kimegeuka chombo cha kupinga na kukosoa kila jambo linalofanywa na awamu ya 5.
Raisi akitumbua majipu, akikamata wahujumu uchumi, CHADEMA wamekuwa watu wakuwatetea mafisadi na kuona kama mafisadi wanaonewa. Kipindi cha 2010-2015 Niliipenda CHADEMA kwa kukemea mafisadi na kuyapinga ,hakika kilikuwa kipindi kizuri sana, mikutano ya CHADEMA, mitandaoni kote walikemea mafisadi na wahujumu uchumi.
Mtu aliyekufa kipindi kile akifufuka leo hawezi kuamini kama leo CHADEMA wamekuwa wakiwatetea mafisadi na wabadhirifu wa Mali za umma kama wanaonewa eti Rais Msgufuli ana chuki nao . Mafisadi yamebanwa na sasa yanazitapika hela yalizoiba, cha ajabu CHADEMA bado wanamkatisha tamaa Rais Magufuli aonekane ana chuki na mafisadi.
Kwa kweli Itawawia vigumu kuiona Ikulu, niwaambieni majimbo mengi yatarudi CCM, majimbo kama Iringa mjini, Mbeya mjini ni kama tayari yamesharudi CCM, anayetoka maeneo hayo anaelewa ninachoongea. Sasa nyie endeleeni kupinga na kutetea mafisadi na wahujumi uchumi.
Kwa ziara anazofanya Rais Magufuli mikoani ni dhahiri Rais anakubalika na wananchi sana tofauti na propaganda za mitandaoni za CHADEMA.
Kuna wasiwasi CHADEMA ikapata mbunge mmoja uchaguzi ujao.