chachas mchina: hivi ni lipi sahihi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chachas mchina: hivi ni lipi sahihi.

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by chachas mchina, Feb 23, 2012.

 1. c

  chachas mchina Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna gazeti moja hivi, wameandika kuwa mwakyembe atoa Wakala, sasa ni wakala au ni walaka?? nisaidieni hapo.
   
 2. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Haya ni matatizo ya kila siku ya "r" na "l".
  Neno husika lilitakiwa liwe "waraka" yaani ujumbe
  Kwa hiyo sentenso yote ilipaswa isomeke 'Mwakyembe atoa waraka' Mjomba wangu anavilalamikia sana vyombo vya habari, hasa magazeti kwa sababu waandishi wake hawako makini na lugha ya Kiswahili.Jina la mjomba wangu kwa mfano ni Selestine Marya, lakini alipopeleka barua ya maoni kwenye gazeti moja, wakachapisha barua na kuandika jina la mwandishi: "Serestine Malya" - jina jingine tofauti kabisa.
   
 3. c

  chachas mchina Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @HYGEIA asante kwa jibu lako zuuuri amani kwako.
   
 4. c

  chachas mchina Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @HYGEIA asante kwa jibu lako zuuuri amani kwako.
   
Loading...