Chacha Pius (Migungani-Bunda): Uko wapi?

Chacha Pius (Migungani-Bunda): Uko wapi?

Rangi 2

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
397
Reaction score
328
Mwaka 1985 nikiwa mahabusu pale Bunda, ulinisaida wewe na familia yako mara baada ya kujidhamini mimi mwenyewe mahakamani (Hakimu alikuwa anaitwa Monica).

Ulinichukua hadi nyumbani kwenu. Nililala usiku mmoja. Ulinitafutia nauli ya kusafiri hadi nyumbani Tarime. Wakati huo nauli ilikuwa shilingi 100.
Kwa sababu ya changamoto za mawasiliano kwa wakati ule, tulipoteana.

Kama upo humu au kuna mtu anafahamu habari zako, naomba kujulishwa:
Namba yangu ya simu ni: 0756 463 578.
Shukrani!
 
Mwaka 1985 nikiwa mahabusu pale Bunda, ulinisaida wewe na familia yako mara baada ya kujidhamini mimi mwenyewe mahakamani (Hakimu alikuwa anaitwa Monica). Ulinichukua hadi nyumbani kwenu. Nililala usiku mmoja. Ulinitafutia nauli ya kusafiri hadi nyumbani Tarime. Wakati huo nauli ilikuwa shilingi 100. Kwa sababu ya changamoto za mawasiliano kwa wakati ule, tulipoteana.
Kama upo humu au kuna mtu anakufahamu habari zako, naomba kujulishwa:
Namba yangu ya simu ni: 0756 463 578.
Shukrani!
Kwani hapo nyumbani kwao ulipolala, umeenda kuulizia?
 
Sasa kama alikuchukua hadi nyumbani kwao kwanini usiende mpaka huko kwao Mkuu? Japo mambo yatakuwa yamebadilika ila kama unalikumbuka eneo utafanikiwa kumpata au kupata taarifa zake kupitia serikali za mitaa na majirani.

Ni jambo jema kulipa wema, japo nawe umechelewa sana miaka 40 hiyo sasa!

Jaribu kupeleka matangazo redioni hizi kubwa au kama kuna redio za huko Mara.
 
Shukrani sana kwa ushauri na muda wako.
 
Sasa kama alikuchukua hadi nyumbani kwao kwanini usiende mpaka huko kwao Mkuu? Japo mambo yatakuwa yamebadilika ila kama unalikumbuka eneo utafanikiwa kumpata au kupata taarifa zake kupitia serikali za mitaa na majirani.

Ni jambo jema kulipa wema, japo nawe umechelewa sana miaka 40 hiyo sasa!

Jaribu kupeleka matangazo redioni hizi kubwa au kama kuna redio za huko Mara.
Labda asubiri tena miaka mengine arubaini itimie Arsenal itakapochukua tena ubingwa EPL 2044.
 
Mbona mjinga mjinga hivyo wewe yani kwao unakujua halafu unakuja kumtafuta huku tangu mwaka 1985? Shenzi kabisa
 
Mwaka 85 ulipewa Tsh 100 huyo jamaa mtafute kwa gharama yeyote aisee miaka hiyo mzee wangu alinunua piki piki 110 mia kadhaa tu..
 
Mwaka 85 ulipewa Tsh 100 huyo jamaa mtafute kwa gharama yeyote aisee miaka hiyo mzee wangu alinunua piki piki 110 mia kadhaa tu..
Shukrani kwa maoni yako chanya badala ya wale wanaonitukana...
Kwa bahati mbaya nilipoteza mawasiliano nae, si unajua tena miaka ile... na kwa sasa nipo nje ya nchi kitambo kidogo hivyo sina namna ya kumfikia huko kijijini kwake au kupata habari zake.
 
Back
Top Bottom