By
grafani11
Ndiyo maana vitoto vy aswazini vimekomaa vingali vidogo ukiviuliza mtoto anapatikanaje vinakwambia kila kitu.
Hata mwalimu wa Biology sekondari hana kazi ngumu linapokuja suala la kujifunza kwa vitendo maana wote wameona na wanajua tayari.
Mkuu,Vijana ma Mulugo wana u 'special' wake ktk mambo ya elimu.Labda niseme tu kwa ujumla ni kwamba Tamthilia,Riwaya,nyimbo,mashairi na vitu kama hivyo watu wengi wanaweza kukariri:Na hiyo mimi naweza kuamini kua hata ww ktk masomo yako umekua ukiona watu wakiweza kukariri mashairi marefu na wanayaimba vizuri lakini dhima ya mashairi hayo hawayajui,.namaanisha ukija mtihani wa kumfanya afikiri kitu kinachohitaji udadisi kwa kina wa kitu fulani ktk hilo hilo shairi mtu anashindwa..Elimu ni uwezo wa kudadavua mambo na sio kujua maana ya moja kwa moja,.Biology ilivyo kwa upana wake,suala la kujua kujamiiana sio kudadavua kwa kujiridhisha kwamba unajua hatua za mtoto anavyopatikanaje..
Ila nakubaliana na wewe kwa 100% ktk uelewa wa watu kwa kuona (mara nyingi kwa muono wa vitu vyepesi),ila kuona kwa kibaiolojia kuna vitu vingi huwezi kuviona na ukisema umeridhika kua umejua nini kinaendelea kwa kuona bila mchanganuo wa vitu ambavyo havionekani ktk suala fulani hapo unakua umepungukiwa vitu fulani na kama utakua ni mmoja wa watu wanaosubiliwa kutoa matokeo,basi uwezekano wa kupotosha jamii unakua mkubwa.