Mkuu hayo maji huwa unayapasha sa ngap?huwa na lala na maji ya moto kwenye chupa .
Majirani wamekusanyika hapo na yeye kaungua na maji ya moto. Halafu ukachukua m-samsung s4 wako na kuanza kupost jeiefu! Thikuwezi.
Hebu nielezee ya maji ya moto...ndo inakuwaje? Usije ukavunja thermos bwana!
Kuwa mwenye nyumba ni tiketi ya kupinga chabo wapangaji? Kavuna alichopanda.
Watu wengine tabu kweli! sasa ww badala ya kuendelea na uroda wako unahangaika na mutu ingine! Dunia ni fupi raha jipe mwenyewe kijana. akikuchungulia anamaliza nini kwani?
wewe una balaa... mamo gani hayo ya kumwagia mwenye nyumba maji ya moto? wakati alikuwa anataka apate ushahidi je kweli unaye mlala ni mwanawe au mtoto wa jirani?
Napata shida na baadhi ya story, majuzi huyu ulikuja unasema umetongozwa na mwanaume mwenzako, leo umemumwagia maji ya moto mwenye nyumba yako mhh!!!,
Pole, anza route za madalali mapema maana lazima leo upewe notice ya kuhama ASP.
Mosi - Hii mitandao ya Simu na MB50 zinatupa tabu maana mtu ana Post anavyojisikia tu.
Pili - Umetoka Facebook na kuja kutudanganya Wakubwa zako na hadithi ya kutunga hapo kitandani sijui kwenye kochi...Uandike kwa Aya sio unatiririka tu.
haya bhanambona ni mtoto wa chuo huyo