"Cha Uchokozi"

Heheheeee Kaizer bhana lol
Huyu beibe nasty naona aje aseme mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha haaah!! Erickb52 usinikumbushe hiyo ishu, maana haiishi kabisa hapa ofisini, mwenzako ndio imekuwa salamu ninayopewa kila siku asubuhi na akina dada......
Huenda ndio sweetlady yule...
Inawezekana aisee maana huwezi jua lol
Mkubalie utaona salamu inaisha heheheeee
 
heheee sikufikiria kaizer utalitilia maanan hivo loooh mefanywa kupewa taarifa juu ya hili.

Mi mwenyewe nilipatwa kuambiwa kuwa ninakawowo cha uchokozi si unajua tena wenye mali akaendelea sema ooh nina english figure, portable na makolombwezo coz mi sina muwowowo ninacho chakuvalia nguo ikakaa vyema jugdement ndo alisema ivo na labda kwasababu twalalaga na suti zetu originali ha ila kwa muonekano wanje tuu labda my brother mentor aje aseme ktk hili
 
ha ha ha haaah!! Erickb52 usinikumbushe hiyo ishu, maana haiishi kabisa hapa ofisini, mwenzako ndio imekuwa salamu ninayopewa kila siku asubuhi na akina dada......
Huenda ndio sweetlady yule...

Hahahaha we Katavi wewe lol

Hiyo salamu inakufaa sana hata hivyo!
 
Last edited by a moderator:

Haaa beibe nasty nani kakustua kwanza kuwa "kimenuka" huku? Lol

Umeona apo cha uchokozi ndo penye point. Ni kumaanisha "sexy"? La kutosha kuvalia nguo lina ukubwa gani....am stuck.
 
Intelligecia wangu any way miili yakina michelle obama ile ila ya kiafrika zaidi hahahaaaa kawaida sio lakupigiwa miruzii mtaa wa kongoo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…